huyu ndo manara ila komwe mhh ajijifunze usemaji wa Club komwe anawachanganya washabibiki nanyie washabiki mtakuja kusema komwe hamna kitu hapo kwanza anaematala
Uliondoka Simba kwa maneno mabaya, ukasema Yanga wapo vizuri hawana hujuma, imekuwaje tena wewe Zungu leo unaikandia hivi team yako ya maisha 😅😅😅😅😅UBAYA UBWELA
Safi sana haji
Waandishi wa bongo ndo wanao kugombanisha
Waandishi wagombanishi sana hawa ni waandishi uchwara
Hivi press huwa zinakuwa ni kutangaza biashara au kuzungumzia yanga na hersi
Iko sahihi bugati
Kaka yangu kunyamaza ni jibu tena lenye heshima maisha yapo bila kusema 😊
Tunduma tunasema hivi ulipo kaka Haji na sisi tupo tunawaombea👏👏
HAO WANATUMWA
Kwani mmeo??
huyu ndo manara ila komwe mhh ajijifunze usemaji wa Club komwe anawachanganya washabibiki nanyie washabiki mtakuja kusema komwe hamna kitu hapo kwanza anaematala
😂😂bugat ana nongwa sana 😂😂
Uliondoka Simba kwa maneno mabaya, ukasema Yanga wapo vizuri hawana hujuma, imekuwaje tena wewe Zungu leo unaikandia hivi team yako ya maisha 😅😅😅😅😅UBAYA UBWELA
Aende kwao kigoma akahangaike na mashujaa
Bado sana mtapigana mikwaju
Na Wala haitokei Dua la kuku halimpati mwewe hiloooo
Haji wewe tamarind ni tajiri ila mdogo language una.roho ya kwa mini Julia pupate amani wananchi
Manara hao wamevamia fani za watu, hata d moja haipo. Wangeajiriwa serikalini wangekutana na kibano cha utumishi hewa.
Wepewape hao sijui hizo fani za uandishi wanasomea wapi
Ña hawa Rich Media ndo walewale anaowazungumzia Bugati. Waandishi 'watoto' wamejaa 'utoto' tu. Lengo lao kutunisha vikoba vyao vya watu wangapi wamecomment page zao, walioingia kutazama content zao, baasi, hawana jipya. Cheap journalism per se.
😂😂😂😂
Haji wewe ktk mpira WA Tanzania unaheshima yake, hawa waandishi WA bongo si waandishi. Ni wachochezi Tu wagombanishi,WA
Manara anaheshima kwenye mpira? Akili mbovu.
Njaa
@@husseinkarim7663hata kwenye Chama cha wenye ualbino hana heshima bro iwe kwenye Mpira!!?