TOXIC FT APPY - SIRI YANGU (OFFICIAL AUDIO)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 гру 2024

КОМЕНТАРІ •

  • @toxicfuvu
    @toxicfuvu  19 днів тому +143

    Shukrani sana Kwa Support Yenu

  • @allymwijarubi8932
    @allymwijarubi8932 19 днів тому +12

    Oya anaesema toxic mkali tukutane apa like afu vunga

  • @gweremuhidini4204
    @gweremuhidini4204 20 днів тому +12

    Ngoma kali sana kama unamkubali mwamba weka like twend saw

  • @S2KTZ
    @S2KTZ 18 днів тому +10

    Kwenye hii nyimbo kama unaamini kuwa yuzzo mwamba kajibiwa nyimbo yake weka like apaa

  • @DogoJackyTz
    @DogoJackyTz 18 днів тому +5

    kaka hii kali sana tunataka nyingne kaka sisi ukitoa nyimbo sisi kwetu fulaha sana nakukubali sana kaka

  • @paulnames6624
    @paulnames6624 20 днів тому +6

    Tuichek ata mara 100 twend trending wanangu mpaka ifike trending namba 5 💥💥

  • @athumanibakari-s6c
    @athumanibakari-s6c 20 днів тому +3

    Upo mbele Sana ya mda, nazani hiii ndo Mali inayotafutwa shambani. Big up bro 3:14

  • @taladyver48
    @taladyver48 20 днів тому +5

    Mwili mdogo ila sound ya BUFA 😁😁
    Toxic Fuvu 🙌🙌

  • @Ahsaltz-x4r
    @Ahsaltz-x4r 19 днів тому +5

    Safi Sana kk kitu kimewlewek Kam umeielew hii Ngoma na unamkubal TOXIC gonga like apa 👍

  • @paskopopezekiel07
    @paskopopezekiel07 20 днів тому +22

    Kipaji sana

  • @revocgachajr2076
    @revocgachajr2076 20 днів тому +8

    Nomaa mzee

  • @IsmailHeneriko
    @IsmailHeneriko 19 днів тому +3

    Kaka toa nyng kama hizi huwa napenda ngoma zenye hustle spirit ndani yake💪

  • @NakeBoy
    @NakeBoy 20 днів тому +5

    Best song of the year 🔥🔥🔥🙌🏿

  • @williamabdul3672
    @williamabdul3672 19 днів тому +3

    Kazi kubwa toxic, sio Kama wakina nanii Ngoma nzima anajisifu Kama demu wa kitanga

  • @DekelvaSoujaboy-mb8ps
    @DekelvaSoujaboy-mb8ps 20 днів тому +1

    Leo niko 50 Ngoma kali Sana my mwamba 💥💥 inaitwa kaah mbali na watoto from Lubumbashi 🇨🇩🇨🇩 hunaga kazi mbovu

  • @yohancabbaye7456
    @yohancabbaye7456 20 днів тому +3

    Ni kweli mwanang Toxic wa2 wanatuuliza maswali ili tu wajue tumefanikiwa au laah😞🔥🔥🔥 hongera ngoja Kali sana humo umeongea ukwel mtupu kaka😊😀💯

  • @AbrahamBernard-p6f
    @AbrahamBernard-p6f 15 днів тому

    Hit song 🎵
    It's real wat you receive Siri yangu.. Over

  • @DedeNtimba
    @DedeNtimba 6 годин тому

    For one❤ broo hapa ludeform kiddy kutokea bàgamoyo mzee

  • @selesantos8627
    @selesantos8627 18 днів тому +2

    nyimbo naisikiza kila mda alaf haikinaishi mana ndo maisha tunayoisha na wana

  • @BahusseinLennox-sw8pl
    @BahusseinLennox-sw8pl 18 днів тому +2

    Nlikujua kuchelewa toxic bt nakubali punch zako Siri nyimbo yangu ya mwaka 🔥🔥🔥

  • @Liloursofficial
    @Liloursofficial 19 днів тому +2

    Uko rapper bora sijuwe kwa nini wali mupa tuzo mbuzi
    Leo iyi amesha zimika mu game ila wewe ungali toxic fuvu champion 🎉🎉🎉🎉

  • @skmovies-m8f
    @skmovies-m8f 20 днів тому +2

    jap nimechelewa nipeni like 100 za fuvu mungunawabaliki nyote ue nakizazi chako

  • @isacknguvumali3445
    @isacknguvumali3445 14 днів тому

    We jamaa unatisha kama njaa safi sana good song.

  • @saluuhans
    @saluuhans 20 днів тому +3

    HATA ULOMKOPA ANAOMBA UPATE ILA SIO ZAIDI YA ANACHO DAI 🔥 #punch_Line 🔥🔥🔥✈️💯

  • @ZuchuZclassic
    @ZuchuZclassic 14 днів тому

    Pure talent mmetisha sana isee nipo Kenya nataman tufanye kolabo one day

  • @chumatyres7586
    @chumatyres7586 19 днів тому +2

    Daah bonge moja la ngoma linanihusu kabisa

  • @UNIQUED-y4w
    @UNIQUED-y4w 2 дні тому +1

    Noma sana kaka 🔥🔥🤟

  • @MweusiAlly
    @MweusiAlly 19 днів тому +1

    Amini kwamba kaka bidamu wabaya sana wanatuliza sana bip up sana ngoma kubwa sana

  • @bongoswahilimax
    @bongoswahilimax 20 днів тому +1

    Kuiskiliza hii Ngoma, kama ulikata tamaa, utapata nguvu tenaa ya kupambana .. let's pull it up... One day yes

  • @Abdulazizi-c1h
    @Abdulazizi-c1h 13 днів тому

    Oa sema mwanetu hii ngoma hii kama ulinitungia mm mwanetu, yani kifupi unao waamini ndo awataki ufanikiwe

  • @douglasjuma7603
    @douglasjuma7603 19 днів тому +1

    BLAZ🔥NG🔥🔥🔥now this is true Rap talent music for both community and Societies. A clear message to all

  • @KelvinKivamba-kl1ry
    @KelvinKivamba-kl1ry 19 днів тому +1

    Keep it up toxic fuvu your doing the best for your generation

  • @OmarSalim-p3c
    @OmarSalim-p3c 15 днів тому

    Toxic bro hapa umenigusa kabisa respect my g

  • @AmiryHamic
    @AmiryHamic 19 днів тому +1

    Kaka toxic sumu unajua kuliko anae jisifia Kila siku najua ipo siku utatoboa mungu ata kujalia

  • @RespisPatrick24
    @RespisPatrick24 20 днів тому +1

    Kwa haya madini nasbili kwa hamu ngoma yako na #Dizastavina najua itakua kali sanaa💯🔥💥

  • @DedeNtimba
    @DedeNtimba 6 годин тому

    Ludeform kiddy hongera Mzee umeua

  • @EdassElison-sj2pt
    @EdassElison-sj2pt 19 днів тому +1

    ukiacha n rom n xtamina toxic ni kumbe kingine one love kakkak💪💪💪🙌🙌🙌🙌🙌❤️❤️

  • @simeonmazigo5918
    @simeonmazigo5918 14 днів тому

    Hata anaekudai hataki upate pesa zaid ya anayokudai🙌🙌🙌

  • @IsmailJongo-w5d
    @IsmailJongo-w5d 19 днів тому +1

    Oya boy daaahhhhh ngoma zako kama unanitungia mimi

  • @LafaNyengo
    @LafaNyengo 19 днів тому +2

    Toxic Mimi kiupande wangu nakuku Bari Sana ng Kali ninaenderea kuripit hapa mpa wafike watazamaji elfu 700

  • @DekelvaSoujaboy-mb8ps
    @DekelvaSoujaboy-mb8ps 19 днів тому

    Na kukubali Sana my mwamba toxic mistari Yako inasomeka Sana tunajifunza kupitia song zako ❤❤❤ from Drc Congo Lubumbashi 🇨🇩🇨🇩💥💥🎉🎉🎉🎉

  • @majystar-en9il
    @majystar-en9il 20 днів тому +1

    Fuvu toxic ni motooooooo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 toto la mwanza mwanza

  • @wisedulayo6531
    @wisedulayo6531 16 днів тому

    Toxic in mnyama uyu dogo ana madini mengi kichwani anajua sana,,

  • @XhakaDevvo
    @XhakaDevvo 19 днів тому +2

    Nakukubali toka siku ile ya dakika10 za maangamizi

  • @chambamagai5555
    @chambamagai5555 18 днів тому +2

    Keep doing what you're doing buddah

  • @2Lisha-Zoom
    @2Lisha-Zoom 17 днів тому

    Mkubwa weye ni noma kabisa kila siku napo fatiliya song zako napata namna ya kufanya yangu ❤❤❤

  • @alexmalangalila8340
    @alexmalangalila8340 20 днів тому

    Fuvu lenye Akili na unique sound from madam Appy

  • @jimmycn7078
    @jimmycn7078 20 днів тому +1

    Love from Bujumbura

  • @dankirunda3368
    @dankirunda3368 19 днів тому +1

    Daaaaaaah! Umezingatia wino Sana bLood Yangu 🔥🙌

  • @lawrencerichline4671
    @lawrencerichline4671 16 днів тому

    Siri yangu❤❤ best hip hop song of the year

  • @mandelizer30
    @mandelizer30 20 днів тому +1

    🇰🇪🇹🇿
    Fuzo tosha ☠️
    It's Realities 💯
    Team toxic fuvu like apa👊

  • @FeySany-t3f
    @FeySany-t3f 20 днів тому +1

    From kenya. Nawapenda sana 🇹🇿

  • @SamuelLongwe-z4q
    @SamuelLongwe-z4q 18 днів тому +2

    Nimeikubali sana🔥

  • @hassanmbuyu1240
    @hassanmbuyu1240 20 днів тому

    Huyu ndo best rapper kwa kikazi hikii anayebishaaaaa aje ni mpididy.... God bless u fuvuu

  • @RosecocoRose
    @RosecocoRose 20 днів тому

    Ila toxic wewee kaka ni unaandikaa kinomaa aiseee munguu akuwekeee sanaa hiii game inakuhitajiii 🎉🎉🎉 dada appy na wewe kwa watoto wa kikee unaongozaa dada anguu munguu akuongozee usibadilikeee ❤❤❤

  • @DavidMuyaMvp
    @DavidMuyaMvp 13 днів тому

    1:24 Hata Tuliosoma nao wanapotupigia simu Dhumuni lao ni kusikia tu bado hatujafanikiwa ✋🏿😮‍💨🤚🏿

  • @Abdallah-p6i
    @Abdallah-p6i 15 днів тому

    Toxic wewe fundi yana unajua sana👑👑

  • @akimdollarmusic6304
    @akimdollarmusic6304 15 днів тому

    Congrats guys mumeupaga mwingi
    Hii somo

  • @AteniOnesmo
    @AteniOnesmo 18 днів тому

    King wa pote , leta tungo au mistare, kote jamaa nouma nipo nimekaa pale,

  • @Tellaaxis
    @Tellaaxis 16 днів тому +1

    Toxic kuna siku utakuaon top kibongobongo kaza #tellaaxis

  • @Ki2pe
    @Ki2pe 17 днів тому +1

    More explaining on this new hoot kazi mzury sanaaaaaa😢😢😢

  • @MukanirwaBenediction
    @MukanirwaBenediction 10 днів тому

    Brother maisha yangu hayoyote 😢😢😢 cool ❤

  • @PrinelleGracy
    @PrinelleGracy 15 днів тому

    Pokea mauwa wako m'y bro ume uwa sana ❤❤❤

  • @Newsoundsworldwide
    @Newsoundsworldwide 13 днів тому

    Kubwa sana hii ✊✊✊✊#lyzee

  • @gracelymgimwa-jt6nw
    @gracelymgimwa-jt6nw 19 днів тому +1

    Fuvu kwenye hii 🙌🙌🙌 Powerful Burs

  • @Mtubaki777
    @Mtubaki777 19 днів тому

    Daah Fuvu umesema kweli an, kuna mambo ukiwaeleza watu huwez toboa hata kwauchaw

  • @nicksondominick267
    @nicksondominick267 18 днів тому +2

    Toxic umetishaaa

  • @husseinomary355
    @husseinomary355 20 днів тому

    Saf bro kaz nzur, nakukubal coz unaimba maisha halisi

  • @KwetuHuku
    @KwetuHuku 18 днів тому

    ngoma safi🔥 tunaomba jinai sehemu ya pili

  • @hysbhyssop1109
    @hysbhyssop1109 19 днів тому

    Ila kweli sana bhaaaana!
    Yana nigusa saaana!
    Kisha mwenza kufanya nifukuzwe kazi

  • @OfficialKajenga
    @OfficialKajenga 15 днів тому

    Maisha yangu siri yangu me na mungu tyu

  • @ajizakdeclassic2826
    @ajizakdeclassic2826 19 днів тому +1

    Dah ndo life letu🙌🏽🎧

  • @olivazaituni2440
    @olivazaituni2440 20 днів тому +2

    Bado Conboi ft Appy🔥🔥

  • @Mkemi-w2i
    @Mkemi-w2i 20 днів тому

    Mwane2 kbasila unatisha....kali sana ngoma

  • @eliajapheti8809
    @eliajapheti8809 15 днів тому

    Jamaa anaimba point tupuuuuuu

  • @CassySalum
    @CassySalum 20 днів тому

    toxic ni noma sio lunya anajipa. ufalme mavi. Hana lolote. uwezo huna unajipa. ufalme

  • @FananiGrosper
    @FananiGrosper 20 днів тому +1

    Baba unauaaaaaaaaa💯💯💯

  • @salimhamesa9136
    @salimhamesa9136 19 днів тому

    Uko sawa Toxic nakukubali sana. Nasubiri kolabo yako na Roma Mkatoliki.

  • @edchrisbeatz8976
    @edchrisbeatz8976 19 днів тому +1

    Ila fuvu🙌🏽 ,shkamoo

  • @bizzoforreal8502
    @bizzoforreal8502 19 днів тому +1

    Daaah bonge moja la ngoma

  • @Salim-e1m
    @Salim-e1m 15 днів тому

    Walai uko vizuri broh

  • @zucaboy315
    @zucaboy315 20 днів тому +3

    Toxic angetakiwa azaliwe kenya

  • @Mkosa_bahati
    @Mkosa_bahati 20 днів тому

    🎉🎉🎉ngoma kali sanaaa , hongera sana toxic fuvu!

  • @Millerremmy
    @Millerremmy 19 днів тому

    Hii ngoma moto snaa Yani huwa natamini kumsikia toxic tu na ngoma mpya unatisha kaka

  • @mozahally9855
    @mozahally9855 16 днів тому

    Uliyemkopa anaomba usipate zaidi ya anachokudai alooo sio poa👍

  • @MohamedAdil-s6t
    @MohamedAdil-s6t 20 днів тому +1

    Umetisha 🙌

  • @noelelinuru3012
    @noelelinuru3012 6 днів тому

    Oya ww mwamba msanii haloooo

  • @derickdboy2207
    @derickdboy2207 20 днів тому

    Saund ya bofa mzee una mziki mzuli na uliemshilikisha ndo moto kabsa 🔥🎶

  • @zabronsylvester8787
    @zabronsylvester8787 19 днів тому +1

    Salute kwako. Maisha halisi

  • @MohammedSandali
    @MohammedSandali 12 днів тому

    Toxic kaka unatisha sana🔥🔥

  • @APEXstudio-o6k
    @APEXstudio-o6k 20 днів тому +1

    Oi ☠️ umetishaaa🔥🔥🔥

  • @greentzmusic
    @greentzmusic 20 днів тому +1

    Tufanye goma Moja Toxic 🔥🔥🔥

  • @Mtubaki777
    @Mtubaki777 19 днів тому

    Daah Fuvu umesema kweli an, kuna mambo ukiwaeleza watu huwez toboa hata kwauchaw😭

  • @LillyKizzy
    @LillyKizzy 18 днів тому +2

    Nikukaza roho tuuu broo❤❤

  • @officialedwin1776
    @officialedwin1776 20 днів тому +1

    Tumezungukwa na watu feki wanaotugea moyo FUVU 🔥

  • @salehefeswali5197
    @salehefeswali5197 20 днів тому

    We jamaa n kwel new king in town

  • @anasio-h7i
    @anasio-h7i 19 днів тому +1

    Kazi zuri sana💥💥💥💥

  • @saluuhans
    @saluuhans 20 днів тому +1

    #SIRI_YANGU WIMBO MKUBWA SANA ✈️ 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @fixgb
    @fixgb 20 днів тому +1

    Well done 2024🙌🏾🔥#siri yangu

  • @Mad_afro
    @Mad_afro 18 днів тому +1

    Toxic hakuna kama wew🎉🎉