HUYU AUBIN KRAMO MNAMCHUKULIA POA? TAZAMA HAPA SKILLS AND GOALS ZAKE
Вставка
- Опубліковано 2 сер 2023
- Tazama uwezo wa kusakata kabumbu wa Aubin Kramo mchezaji wa Simba. HUYU AUBIN KRAMO MNAMCHUKULIA POA? SUBIRINI SIMBA DAY MUONE TAZAMA HAPA SKILLS AND GOALS ZAKE.
Naam alisajiliwa akitokea ASEC MIMOSAS na sasa anawatumikia mabingwa mara 22 wa ligi ya Tanzania Simba Sports Club.
Aubin Kramo anasumbuliwa na majeraha toka amefika lakini hilo haliondoi ukweli kwamba jamaa ni hatari sana.
#simbasc #nguvumoja #simbaday
Kramo mungu akujalie dua zetu tupo pamoja
Huyu ni fundi mungu mjalie apone mapema @@@@@@
Ons day yes we bilive you
Eeeee mungu mjalie kramo iliaongeze nguvu kwenye kikos chetu anajua Amina,.
MUNGU UMPE AFYA CRAMO APONE MAPEMA
Shida sasa timu ilo msajiri itamualibu sana na bench
Kawaida sana
Cjui kalogwa mwenetu maan hatuja mfaid
Au sio😂😂😂😂😂
Jamani lakini huyu jamaa anajua
Pacome,,sankara
Apone acheze mmetuchosha nae
Yani jamaa mtamu sana
Mwamba karogwa
Mwamba anakuja xana
Huyu mwamb akpona bas na Simba imepon