BREAKING: Nyumba za NSSF Kigamboni zapigwa mnada

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 жов 2024
  • Mradi mkubwa wa ujenzi wa mji mpya wa Kigamboni Dar es Salaam uitwao Dege Eco Village ulioanzishwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya jamii 'NSSF' na kusimama ujenzi wake mwaka 2016 unapigwa mnada.
    Kuliripotiwa kuwepo kwa ufisadi wa zaidi ya TSH bilioni 179 katika mradi huo na sasa anatafutwa Mwekezaji atakaeuchukua.

КОМЕНТАРІ • 286

  • @christiannyamamba9089
    @christiannyamamba9089 2 роки тому +2

    Unatudhalilisha sana tunaoishi UK unaongea kingereza cha hovyo bora ungeongea kiswahili tu

  • @denisjohn1719
    @denisjohn1719 4 роки тому +6

    How can some one stay in UK for 15 years and yet speaks broken English than our Swahili speaking bilingual. Let us learn from our surroundings guys. Anyway Yono are doing real a great job.

  • @aloycekiwia8613
    @aloycekiwia8613 7 років тому +5

    😅😅😅Kamugisha..! don't you ever do that again..15 yrs in UK.?Reaĺly.!

  • @uledimtumwa3045
    @uledimtumwa3045 7 років тому +2

    Mh!!!with about over.. Wahaya bhana.

  • @jorgejorge5210
    @jorgejorge5210 7 років тому +38

    KAMA AMESHI UK KWA MIAKA 15 LUGHA NDIO HIYO JE WAKATI HAJAENDA?NA HUYO MKURUGENZI NI BORA ANGEPIGA KISWAHILI TU HAYA MAMBO HAYAHITAJI ULIMI MGUMU

    • @venancebasil4656
      @venancebasil4656 7 років тому +2

      Jorge jorge miaka 15 daaah kaboa sana

    • @theafricanrenaissance77
      @theafricanrenaissance77 5 років тому +1

      Yule Bw. Mabakila wala hajawahi kuishi UK hata mwk 1!!

    • @seifkiswamba933
      @seifkiswamba933 5 років тому +1

      Kweli babaake hiko kiingereza Cha vidudu yaani ametia aibu Bora angeongea kiswahili

    • @ezmexplores
      @ezmexplores 4 роки тому +1

      😂😂😂

  • @driquesmariques9794
    @driquesmariques9794 7 років тому +6

    but why..hawa yono vipi jamani na kizungu hiki..ndo kukaribisha wazungu daah

  • @deodatusrweyongeza6747
    @deodatusrweyongeza6747 4 роки тому +1

    Aliesikia ndege bichi agong,e like twende sawa

  • @KhalidKhan-ud9cz
    @KhalidKhan-ud9cz 2 місяці тому

    Tanzania mzuri sana kweli 🌹

  • @georgerichard6706
    @georgerichard6706 7 років тому +19

    Uyo mshaji bora aongee kiswahili tuu kizungu awaachie uk

  • @sashoright8213
    @sashoright8213 2 роки тому

    Aminaa mjuz wa lugha Yan kwa kifup Amna lugha nyepes ata nzungu utaskia anatafuta jins ya kulitamka neno lake mwnyewe la kingereza uyo rafidhi kutamka kumemshinda lkn ata angeongea kiswahil ingemkosoa na uo mrad mbona mabilionea wapo hapa Tanzania Kina mzee bakharesa ,shabiby Mo dewij na wngne wangesaidiana kuwekeza na kungependeza tu

  • @fetilishazomar4799
    @fetilishazomar4799 7 років тому +14

    jamn Bora ungeongea Swahili tuuu Daaah Weeeee Watu wapo UK Miaka 25 na zaidi lakin Swahili watu wanaichapaa mbayaa. Utumwa Walugha Haujawahi acha Mtu Salama Aisee

  • @ntalenasson686
    @ntalenasson686 7 років тому +27

    Wahaya kwa kupenda kiingereza tu hawajambo ila bahati mbaya rafudhi mbovu

    • @fredrickvituskebero5071
      @fredrickvituskebero5071 7 років тому

      Ntale Nasson ha ha ha

    • @venancebasil4656
      @venancebasil4656 7 років тому +1

      halafu ngeli yenyewe mbaya ni bora tu angeongea kihaya

    • @ntalenasson686
      @ntalenasson686 7 років тому +2

      Tena Kama yule aliekaa uk miaka 15 ndio bure kabisa

    • @annaniamax8228
      @annaniamax8228 7 років тому +1

      siyo rafudhi tu hata yai lenyewe halivunjiki ! imagine ameish UK zaid ya miaka 5 bt bado anavunja yai kwa shida kabisa ahahahahaaha

    • @iviejustified8109
      @iviejustified8109 7 років тому

      Ntale Nasson siyo Rafudhi tu hata english yenyewe anagonga miguuu no gramma

  • @henrymaro3638
    @henrymaro3638 7 років тому +6

    yono kweli ni madalali but mradi huu wao kupewa ni another loss.I don't think if they have that capacity.second, nafikiri serikali imewahi kuchukua maamuzi kuhusu hiyo project maana hizo ni fedha za members Wa nssf waliokua wanapeleka contribution zao.I think serikali ingewahusisha wachangiaji Wa kwenye fund kwanza kusikia maoni yao kabla ya kupeleka mradi sokoni like that.third I think who every was involved in that project did some securitization and collateralized the future cashflow of the project through rental income or house sales. now with recession we are experiencing now no magic is expected those house uptake won't be much.
    maybe yono instead of looking for individual buyers and corporates in silos they could think of forming a consortium of brokers and approach banks or capital market to establish a secondary market to mortgage those houses.minding that payback period of the project was say more than 15years now that decision decided by who ever in the office will have financial impact and reputation risk to the fund which is very bad for business.
    the statement concerning the sale of the project is enough to cause confusion to members and contributors.
    am aware of SSRA what is their professional advice on this outfit to members of the fund and to the existence of the fund...I think yono would act much smart to see the regulator instead of taking up the deal cause of commission to be earned from the sale of that project.
    I can bet this decision is a double loss to whoever made it go publicly.

    • @ceciliakabyemela9793
      @ceciliakabyemela9793 7 років тому +1

      Henry Maro vision and wisdom have left the building. This project would have been a huge investment for nssf if one looks beyond cutting the nose to spite the face

    • @leriq1
      @leriq1 7 років тому +1

      well said bro.

    • @dawoodtekakie4012
      @dawoodtekakie4012 7 років тому

      Henry Maro sijui nan yupo nyuma ya yono ila kiukweli saiz yao ni kushika magari barabaran, by way kila mbuzi anakula kulingana na kamba yake na huyu mama sio mchaga kama mnavyo sema i think ni mnyaki

    • @sammytiger92
      @sammytiger92 6 років тому

      Henry Maro Wee👉😈😈😈😤!!!.Hakuna Mnyaki aitwae Mushi.mxcuuu.

  • @dilliwa
    @dilliwa 3 роки тому

    Dah jama-jama... Nyeee.

  • @KiangiAri
    @KiangiAri 4 роки тому +2

    Kingeee😂😂😂...Chill man!Kiswahili kingefaa zaidi mzee!

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 2 роки тому +1

    Allah ibariki Tanzania pamoja tutafik

  • @kenyomarion5605
    @kenyomarion5605 7 років тому +3

    Unaishi USA kwa zaidi ya miaka 15 alafu kiingereza bado kibovu namna hiyo!?? huko USA watakua wanacheka sana, Wazungu wakija kukaa hapa TZ miaka miwili tu wanaongea kiswahili kimenyooka kama wamezaliwa huku. Diaspora jifunzeni lugha msituaibishe huko mlipo

  • @johnnydepp3218
    @johnnydepp3218 7 років тому +7

    Ongeya luga yako toka lini mwingereza nchini mwake ulishasikya ananongeya luga ya kigeni?

    • @kelvinkavenga7422
      @kelvinkavenga7422 3 роки тому +2

      Sasa mbona wewe kiswahili kinakupiga chenga😂😂

  • @frankd1156
    @frankd1156 5 років тому

    Duh jamani acheni kiingereza...aibu

  • @malelamalela1362
    @malelamalela1362 10 місяців тому

    Ok

  • @SEMANKA97
    @SEMANKA97 4 роки тому +2

    USD 350 nini?

  • @wariobawtanzania5548
    @wariobawtanzania5548 7 років тому +6

    Hivi nyie watanzania hivi kuna mwekezaji yeyote anaweza kuja kuwekeza kupitia kwa broker? sijui tumelogwa? halafu tunasema tumesomea marketing na economics

    • @sss3s867
      @sss3s867 4 роки тому

      Kwannza mpaka JPM abadilike. Na Kwa kweli ni hatari.watu no waoga. Na WA ya hawana pesa, Kwa sababu mlaji WA chini Yuko Hali mbaya Kwa pesa mfukoni na bank hawakooeshi Kama mkopaji hasomeki.

  • @lydiathadeous6644
    @lydiathadeous6644 7 років тому +5

    Jamani hongereni but those men who are speaking they're not from UK those pronunciation are either Ugandan's or rwands's Ila Wa mama are Tanzanians sasa be specific mctushike maskioooo 😂🤣😂 the good thing is ppl knows some issues

    • @mammyyassie7322
      @mammyyassie7322 7 років тому

      Lydia Thadeous dada wanaishi UK,huyo mkaka uliomuona anaitwa Juma anakaa Mji unaitwa Reading. ni mjanja mjanja wa mjini enzi zake alikua mchanjaji tena hapo kizungu mbona kimenyooka kupita maelezo. yaan ungemuona miaka hio 10+ iliopita ndio ungejua saa hii amekinyoosha km rula

  • @jumakittyler69
    @jumakittyler69 3 роки тому

    Hivi nyinyi mbona msiongee kiswahili kizungu waachieni wenyewe shida mnajig'ata mno

  • @fastfacts1967
    @fastfacts1967 7 років тому +9

    May be the guy meant to say 15 days instead of years.:-)

  • @zuriathzubeir3702
    @zuriathzubeir3702 6 років тому +2

    Mmmmmmmmm? More than 15 years

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 3 роки тому

      Njoo tuuchukue mradi basi

  • @yonamwakanyamale5023
    @yonamwakanyamale5023 5 років тому +1

    Lugha yetu ya Kiswahili ni miongoni mwa Lugha bora duniani.. Acheni kuwa watumwa wa Lugha za wageni... Mmejinyima haki yenu ya kutufikishia ujumbe kwa ufasaha zaidi kwa sababu ya Lugha.. Poleni sana..

    • @kasramwalimu5506
      @kasramwalimu5506 2 роки тому

      Yaan nishida Kwa wa tz kua watumwa hadi ktk lugha

  • @sharondivine2797
    @sharondivine2797 7 років тому +5

    hujui kingereza aibu

  • @johncor1377
    @johncor1377 7 років тому +18

    Huyo mama kasema mradi una thamani ya usd 350 sidhani kama yupo serious ts almost laki saba na hivi sidhan kama yupo serious

    • @jacksonmollel5157
      @jacksonmollel5157 7 років тому

      John Cor kumbe umemsikia na wewe Usd 350 nini sasa milion or bilion hundred.

    • @jacksonnhandy452
      @jacksonnhandy452 7 років тому +2

      John Cor ni USD 320 million. mother alipanic

    • @iviejustified8109
      @iviejustified8109 7 років тому

      John Cor 😅😅😅 wanajigonga miguu sasa sijui alikuwa anamaanisha Million or billion lakini mkurugenzi kambeba brother

    • @samasob8233
      @samasob8233 7 років тому +1

      Haha perhaps he meant USD 350 "shillings" its beyond belief!

    • @mhandyeyoo6591
      @mhandyeyoo6591 6 років тому

      John Cor
      Umesikia eh naenda kununua 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️350
      Eti alikuwa Uk ? Hata maimunaaaaaaaaa kasema tis project 😜😜😜😜😜muhhhhhhh warudushe kizunguuuuuu tuuuu au? Best?

  • @sweetyjanne255
    @sweetyjanne255 4 роки тому +3

    Sura ya Hiuyu Mazaaa🤣🤣🤣Akitumwa Aje Kukudai Utakomaaaa

  • @michaelmotika4477
    @michaelmotika4477 2 роки тому

    Ths is too big for yono this project need an internation firm this is not suctioning cars?!

  • @slimkheri953
    @slimkheri953 7 років тому +11

    About over 😂😂😂😂😂😂 jamani hivi kiswahili kigumu kuongea

  • @tzviral7342
    @tzviral7342 7 років тому +4

    5:30 *With about over* ...khaaaa!

  • @homeboybeyondtheborders4935
    @homeboybeyondtheborders4935 7 років тому +2

    Watanzania tunajulikana nje ya nchi kwamba tuna kiingereza kibovu sana ingawa ni ni lugha ya kufundishia kwa sekondari na vyuo.

  • @sinisfatal431
    @sinisfatal431 6 років тому +1

    Hii ndiyo Tatizo la kuchukulia taaluma ya habari kama kipaji wakati unapaswa ukae darasani.Kichwa cha habari hakisadifu yaliyomo ndani nyumba zimepigwa mnada wakati ndiyo wanatafuta mteja what's the freaking heal.

  • @kevinephily8357
    @kevinephily8357 Рік тому

    kweli dalali ni dalali tu, hawa watu huwa hawana any official credential for marketing zaidi ya kupiga upatu tu ujanja ujanja mwingi sana mdomoni hii nchi something need to change we should have officially marketing educated brokers udalali huu tatizo ni matapeli waliohalalishwa na nani sijui.

  • @marianakapeller4699
    @marianakapeller4699 2 роки тому

    he he he living in UK for 15 years and yet you speak like a grade one student, bravo just speak your mother tongue

  • @remedymoody
    @remedymoody 7 років тому +1

    Mmhh! Kithungu 🤔

  • @ayoubrogath4297
    @ayoubrogath4297 7 років тому +3

    $350=1061268/= wabongo itawashinda milioni moja ngoja nimuibie bi mkubwa😁😂😁😂😁😂 kidhungu hakihitaj mbwembwe

    • @mrsnam6897
      @mrsnam6897 3 роки тому

      Ivi ni kweli usd 350 tuh raha kweli

  • @Lukind47
    @Lukind47 2 роки тому

    Mradi unathamani ya us dollar 350....dah! Kweliii

  • @kibidyaabdul5737
    @kibidyaabdul5737 7 років тому +3

    Hao wazungu walio katwa kimeo huwezi pata mwekezaji kwa makodi ya nchi him hicho kijiji kimilikiwe na ccm au serikali

  • @kassimrajabu7805
    @kassimrajabu7805 6 років тому +2

    Wapi dr.Shika?

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 2 роки тому

    Ni muda umepita sasa vipi kuhusu huu mradi ?

  • @kurashigesir8709
    @kurashigesir8709 2 роки тому

    Kiingereza kibaya na umeisha Uingereza miaka 15?

  • @extramen5534
    @extramen5534 6 років тому

    A,ahaaa watanzania, hawana maisha hayo. Wapangaji wa nyumba hizi kwa walengwa ni tatizo. Sababu mtanzania akiwa na uwezo wa kumiliki gari zaidi ya moja, basi kinachofuata ni kuwa na nyumba yake mwenyewe sio kupanga tena, Tanzania ardhi ni kubwa ukiwa na pesa ya madafu tu unajenga mjengo wa kifahari.
    wenye shida ya nyumba Tanzania ni makapuku, na sio wenye kazi Selikalini.

  • @godfreyaloyce5032
    @godfreyaloyce5032 5 років тому +1

    haina noma mbona wageni wanaongea kiswahili broken na tunawapigia makofi acheni hizo this is business.... as long as umeelewa watu tunasonga mbele "NUNUA APARTMENT NCHI YETU IPATE MAPATO" na NSSF pia...... miradi ikue.

  • @faidamanoni2285
    @faidamanoni2285 7 років тому +8

    UK anayomaanisha ni Ukerewe

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 6 років тому +4

    Diaspora in UK with i am lack 😂🙊😱

  • @GONGALIFESTYLE
    @GONGALIFESTYLE 4 роки тому

    Ahaaaa

  • @namirihamisi3899
    @namirihamisi3899 4 роки тому +1

    Uko na waswahili wenzako ongea kiswahili acha ujinga lugha yenyewe gongana

  • @domnicabuto859
    @domnicabuto859 4 роки тому +1

    Its a pity to see you guys struggling to speak English like that. Why don't you just speak Kiswahili a language you are conversant with so as to enable people clearly understand the project. Poleni sana ndugu zangu.

  • @footmobonline
    @footmobonline 3 роки тому +1

    😂😂😂 Kwani wakiongea kiswahili kuna tatizo gani?
    Okay na huyo mama $350 ndo imetumika kujenga huo mradi. Anajua dollar 350 ni sawa na laki 8😁😁😁

  • @daniellewiskubojakuboja7427
    @daniellewiskubojakuboja7427 4 роки тому

    Jamaa anashindwa hata na kale kabinti kangu ka darasa la 3

  • @annaniasbyarugaba5788
    @annaniasbyarugaba5788 Рік тому

    Please forgive me. I think this guy has not lived in UK for 15years. His English speaks

  • @kamanda007
    @kamanda007 4 роки тому

    Boss sio lazima uongee kiingereza, Swahili tutakuelewa tuu

  • @deongonyani1523
    @deongonyani1523 6 років тому +1

    Mbavu zangu jamani ,kama kakaa nje miaka 15 yuko hivyo je kabla hajaenda alikuaje? Sasa cjui kaja kufanya nini hata cjamuelewa na cjui atarudi tena huko alikoishi kwa miaka 15 , bora kiingereza cha shilole maana hajakaa nje hata mwaka

  • @abdulyiddy358
    @abdulyiddy358 7 років тому +4

    😂😂😂😂😂😂😂😂 jaman nimecheeeka huyo wa UK

  • @gaitanokamage7366
    @gaitanokamage7366 4 роки тому

    Hahahah araundiiiii so wiare happy kama chekechea mkurugenzi wana bod

  • @GONGALIFESTYLE
    @GONGALIFESTYLE 4 роки тому

    Jamaaa mzushi huyooooo waongeee tuu kiswahili kwa ni tatizo nini wanapata shida thuu na hiyo English

  • @shedadiabdul6585
    @shedadiabdul6585 4 роки тому

    Acha ushamba miaka 15 ujui Kiswahili?Kinge chenyewe unafikilia au Ameongea Kinge ili wanjee wamuelewe?

  • @vinny.morales
    @vinny.morales 7 років тому +2

    Did he just said he lives in the UK for 15 years? 🤔

    • @edwinhenry3512
      @edwinhenry3512 7 років тому

      hahahaahahhahhahah

    • @nohatredbutlove5786
      @nohatredbutlove5786 7 років тому +1

      A point of correction "did he just say he's been living in UK for 15 years?" Ngeli ni shida sana my dear. Hapo na mimi nasubiri kukosolewa.

    • @jenniferchilongozi1945
      @jenniferchilongozi1945 7 років тому +2

      hahahaaaa Seif Abdullah we umesahau "has" tu, "he has" coz "he's =he is" na mie nasubiri correction .

    • @nohatredbutlove5786
      @nohatredbutlove5786 7 років тому +1

      Jennifer Chilongozi nipo correct mbona. He's ina apply kwa both he is and he has. Google and see.

    • @jenniferchilongozi1945
      @jenniferchilongozi1945 7 років тому +2

      Seif Abdullah Tv ndo mana nmesema nasubir correction kaka, don't panic tunajifunza

  • @stingosmatingas5569
    @stingosmatingas5569 7 років тому +2

    sio rahisi mradi kama huo mwekezaji kastuka huko baaada ya mwaka ataambiwa kaibia serekali kodi

  • @shabanthomasnjarita1181
    @shabanthomasnjarita1181 7 років тому +7

    huo mradi wa laki 7 inamaana😂😂😂😂 350 USD.

    • @maxilekanoi8257
      @maxilekanoi8257 4 роки тому

      Shaban Thomas Njarita 350 MIL mzee cyo hyo unayodhani huna akili ya kujiongeza pumbavu

  • @sadamramadhan2754
    @sadamramadhan2754 4 роки тому +1

    Naona hapo huo mradi apewe magufuli amalizie, hapo ni miezi mitatu tu atakuwa kasha kamilisha, toeni huo mradi kwa serekali naamini raisi wetu anaweza na pia miradi kama hiyo ziwe zinajengwa kwa kila mkoa.

  • @mcfallenmacha9611
    @mcfallenmacha9611 3 роки тому

    Fifteen years in UK, au alikua houseboy kwneye nyumba ya wabongo tupu na hakuwah kwenda hata Dukani na maybe wabongo hao pia walikua hawapati hata mgeni

  • @FredyVincent951753852456
    @FredyVincent951753852456 3 роки тому +1

    Huu mradi umejengwa kwa fedha za wafanyakazi maskini, faida itakayopatika igawanywe kwa wachangiaji wa NSSF😎

    • @juliusmavanza4310
      @juliusmavanza4310 Рік тому

      Ni kweli tena ingekuwa vizuri kama wangewataarifu wafanyakazi wa sector zote Serikali na binafsi labda wangeweza kujiuunga nakutengeneza umoja na wapewe kwa mkataba Ili wasimamie maana watakuwa na uchungu wa mafao yao

  • @kibidyaabdul5737
    @kibidyaabdul5737 7 років тому +2

    Serikali ichukuwe huo mradi iwape mikopo wafanyazi kwa kipindi cha miaka 20.ila kwenye maduka na malls wapangishe wamalizie kwa ununuzi mmoja moja panatisha huko

  • @deogratiaskatabwa5230
    @deogratiaskatabwa5230 9 місяців тому

    Ndege bichi twendee baba

  • @samasob8233
    @samasob8233 7 років тому +2

    Acheni urongo.....diaspora hawanunui ng'o mpaka mkubali kwamba watanzania raia wa nje wanahaki ya kuwa na uraia mara mbili. Hamjui kama nchi ni kiasi gani ya talent na pesa mnapoteza. mlipeana marushwa na mpango wenu huo endeleeni nao uwaozee

    • @renaldakamugishazeramulake940
      @renaldakamugishazeramulake940 7 років тому

      Sama Sob wagekubali uraia wa nchi 2 zibgeshachukuliwa

    • @samasob8233
      @samasob8233 7 років тому

      Looong time ago!! tuna usongo na nyumbani lakini ujinga mwingi, hata watu wabishe ni ukweli mtupu!

  • @nzomukundafatuma5364
    @nzomukundafatuma5364 4 місяці тому

    Nataka namb ya yono

  • @halithhali8038
    @halithhali8038 4 роки тому

    Habari yako wazima wowo nimependa sana halakini sijajuwa mapema dolangapi please utanijubu

  • @Mimi-wf7mb
    @Mimi-wf7mb 4 роки тому

    Dr Shika yujo wapi? Hajapata habari?

  • @sabrinaabeid4306
    @sabrinaabeid4306 7 років тому +1

    Je hizo nyumba zinapangiswa au zinauzwaa mbona sijaelewaje kama utatakaa kupanga nyumba bei gani feleti kigamboni

    • @sabrinaabeid4306
      @sabrinaabeid4306 7 років тому

      Naombeni jibu kama ipo kupanga Mm Nataka kiasi gani

  • @godfreywebiro4058
    @godfreywebiro4058 7 років тому +1

    😀😀😀😀 usd 300???. mama sema basi kama m.au laki

  • @mtanzaniamzalendo7001
    @mtanzaniamzalendo7001 7 років тому

    huu mradi umeshindwa mapema sanaa,

  • @amirmwamba9063
    @amirmwamba9063 7 років тому

    15 years in UK?!?!?

  • @JohnMalale-q6m
    @JohnMalale-q6m 5 місяців тому

    Kwa Nini mradi Huu wa sipewe chuo kikuu mlimani

  • @eugenemtaza201
    @eugenemtaza201 7 років тому

    Mna mention vitu sijui shule police station wakati ni mafuvu tu. Who will put his money ?

  • @ebenezerfreight3309
    @ebenezerfreight3309 7 років тому +2

    Yaani usd 350 ni nyingi mi niwape 3500$ ten times

  • @allysalehal-jaber4822
    @allysalehal-jaber4822 4 роки тому

    Hebu wacheni kuwafanya watu wapumbavu! Huduma zipo wapi kwenye mapagala hayo? Ama usiku wa manane ndiyo hayo mapagala yanageuka shopping malls?

  • @jijicool7206
    @jijicool7206 7 років тому +1

    Waswahili jamani. Kwani kosa gani kuongea kingereza. Mradi huu unalenga watanzania na wawekezaji toka nje ya nchi. Kwa hiyo ni bora kwa wale wasiongea kiswahili

  • @elliottrahema
    @elliottrahema 4 роки тому

    Toeni urai pacha hizo zitanunuliwa bila tatizo

  • @relaxingnaturegreen
    @relaxingnaturegreen 7 років тому +1

    huyu jamaa haishi UK, kiiengereza mbovu kama hiyo haizungumuzwi England, huyu ni kibaraka tu wamemchua mtaani YONA kutafuta biashara. Huwez kiishi England 15 years alafu bado anaongea kiiengereza kama ya chekechea

  • @johnsonjoshua6707
    @johnsonjoshua6707 3 роки тому

    Pesa zetu za mafao zimeishia hukooo..ndio maana hata ukimaliza mkataba wa ajira yako hawana cha kukupa...wajanja wamekula

  • @peterjohn7613
    @peterjohn7613 4 роки тому

    Hivi si muongee kiswahili Jamani hicho kiswanglish wengine hatuelewi

  • @kisalaTV
    @kisalaTV 3 роки тому

    Huyu atakuwa wabukoba , maana atasierewi hii nger yake full mikato, mpaka nimeskia uvivu kuskiriza🙄

  • @ozzieissa8816
    @ozzieissa8816 4 роки тому

    Excuse me sir you have lived in United Kingdom for 15 years yet you can't speak English mate. United Kingdom it English country. I have a question, all that place is been abandoned and need help or what please explain.

  • @lutusammid571
    @lutusammid571 6 років тому

    USDollars 350 si hata mm naweza wekeza kumbe,mama nahisi umekosea Asee

  • @philipkomba5525
    @philipkomba5525 7 років тому

    dah jamaa kanifurahisha na English take ... nzuriiiiii maana AME Wa over introduce

  • @irenecharles4651
    @irenecharles4651 7 років тому +2

    Ongea tu kiswahili hizo ze ze ze kibaaaao

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 6 років тому

    Ah? Huyu nae three twenty million ndio namba gani? Milard surely ume acha hii video hapa kwa miezi yote hiyo. Hebu futa tu please

  • @cinnamonstar808
    @cinnamonstar808 4 роки тому

    those building dont work.3:43 HUMANS DO NOT DO WELL stacked on each other. Tanzania has so many land? there is no need to build up!. a house , with land you can grew free food in, water access. that is it. Upgraded in life or the building is up to the owners ambition.
    high rise building brings depression | stress | loneliness | pandemic {covid-19} and crime.
    you can only eat with money, you can use rain water; so a need to stay employed stress people out. put people on land. land + house is best

  • @sadamramadhan2754
    @sadamramadhan2754 4 роки тому

    Waje wajenge na Arusha tupate sehem bora ya kuishi.

  • @josephmalisa3432
    @josephmalisa3432 6 років тому +3

    Kitu kinachonishangaza sana bei za nyumba Tanzania ni ghali kulikoni ughaibuni kwa nini?

    • @ianishengoma7339
      @ianishengoma7339 6 років тому

      acha uongo wewe
      marekani nyumba ya kawaida ni dola 200000

    • @gloriachristianshirima5001
      @gloriachristianshirima5001 6 років тому +1

      Poor english kwAni mmelazimishw kuongea english verevere ndo nn??

    • @duduvule8124
      @duduvule8124 2 роки тому

      @@gloriachristianshirima5001 Hahahah😂😂😂

  • @mnzavachris5423
    @mnzavachris5423 7 років тому +5

    mama mchagga asanteh ila ukaawambie wenzio ngeli co kuonekana kujua

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 6 років тому

    There is police

  • @radhiasalum833
    @radhiasalum833 7 років тому +6

    haya kwa wale wenye uwezo.sie acha tukae manzese tu.maana hizo nyumba unaweza pata kisha utakosa usingizi hahahaa

  • @lebronngambi6955
    @lebronngambi6955 6 років тому

    kwann kitu kama icho kisipelekwe njee ya mji jamam kama ni kisarawe Kibaha au bwagamoyo kuliko kulundika kila kitu DSM

  • @matobholwamanonu5919
    @matobholwamanonu5919 7 років тому +4

    Tangaza kiingereza wabonga hakuna atakae nunua

    • @freddymello3227
      @freddymello3227 5 років тому

      Matobholwa manonu ananielezea Mimi,acha aendelee,ntanunua hii kitu!

  • @fakihdarusi4385
    @fakihdarusi4385 28 днів тому

    😂😂😂🎉🎉 IVI HAWA WALIOANZA KUNUNUA INAKUWAJE😂🎉😂😂