KILICHOENDELEA KWENYE KESI YA WAISLAM WANAOIPINGA BAKWATA MAHAKAMANI
Вставка
- Опубліковано 10 лют 2025
- 🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
🔘WhatsApp (+255 692 318213)
🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionli...
Allah ata tujaaria na tutashinda tuko p1 mashkh wangu
Big Up....
Sawa Bora wewe unaejitambua.
Allah aendelee kuwaongoza na kuweza kufikia malengo ya Waislam wote.
Hana sifa ya kuitwa shekh hajafikia kuitwa shekh. Labda kama inamaanisha. Shekh ya uzee sawa
Sheikh ni wewe@@AbdulAbeidjumanneJumanne
Penye niya iponjiya insha Allah mungu alifunguwe jambo hili
Allah atufanyiewepisi. Lengo litimie lnshaallah
Allaah akulinde ajaalie jambo lifanikiwe
Mungu ajalie bakwata uvunjwe haina maana kwa waislamu na haipo kwa ajili ya waislamu
Sawa sheikh wetu Ponda unacmama imara ktk kuicmamia haki tumechoka waislam kubuluzwa na serikal na vibaraka wao bakwata
Nyerere kakuachieni bakwataaaaa inaumaaa kwel
Chuki mbaya ndugu
We mzee mwanga
Allaah Amrehemu na amueingize kwenye papo yake ya juu
Mmeshendwa kupata kula kwenye siasa sasa mnadhihirisha njaa yenu waziwazi!
Wewe hujui kitu mzee
Haki itapatikana inshallah ❤❤❤❤
Sawa sawa shekhe
Sahihi ponda
Uko sawa
Njaa mbaya!
Kivipi Yan?
Hujui kitu Hassan kaaa kmya
@ramadhanimsangitzdigita nadhani wewe pia haujui kitu so kama kimya nawe inakuhusu.
Kuhitilafiana kwenye dini yetu nijambo ambalo lipo, si vyema kuninyamazisha kisa tu sikubaliani na kile unachokiamini wewe.
Sote tunapambania kesho yetu iwe njema lakin wewe na mimi hatumjui aliye sahihi mbele ya Allah.
Ukijiona unachokiamini wewe ndicho anachokiridhia Allah na wengine wote wanakiuka hiyo nayo ni shirki.
Ndo maana hata Maimam wetu wakuu 4 walilumbana mwisho wakatuachia nasi tuchague kati yao wakumfuata na yeyote utayemfuata uko sahihi.
Nadhani ungekua wewe ni mojawapo ya Maimam wetu hawa basi ungetuaminisha wewe pekee ndo sahihi kuaminiwa na ungeharamisha kuwaamini wengine na kama haitoshi ungetutia motoni.
ALLAH ATUFANYIE WEPESI PENYE MAZITO NA ATUSAMEHE MADHAMBI YETU.
Tafuteni kazi mfanye!
Nyinyi mnatumika na makundi ya kimadhehebu
Wewe hujui kitu kuhusu bakwata ndugu ni Bora ukae kimya tu
Allah yupo nanyi Viongozi wetu
Mnafanya haya kwa kutaraji malipo kwa Allah
Bakwata yenyewe tushqichoka sie na baada ya kujua ni Chombo cha nani na vipi kilisimikwa na kuuwawa kwa East African Muslims well fare Society
Sheikh ponda vipi kuhusu ilala islamic ambayo ipo chini ya usimamizi wako umefanya jitihada gani kuwasaidia waislam au ndio vile nyani haoni kundule?
Nana mbaya!
👏👏👏
Wawahi bora tuongozwe na ibibisi kuliko Bakwata vibataka wa Nyerere
Hahaha ujinga ni kitu kibaya sana
Umefika mbali ndugu
Allah alifanye liwe jepesi jambo hili .
Ili bakwata isiwe kikapu
Sawa sawa...kwanza tumenyimwa..kujenga vyio viku.. universities..za kiisilamu.. lakini wale wakristo wanajenga...mashule za kikafiri..na universities
Utaishia kutukana NENDA gaza
❤
Nyoosha maneno Ponda, sema mnataka mahakama ya kadhi!
Hayakuhusu Babu
Ponda anasema kua waislam kua chini ya chombo kimoja bakwata ni kinyume cha sheria za nchi na Haki za kibinadamu.
Huyu ni mpotoshaji na anatumiwa ili waislamu wasiwe na chombo chao kimoja.
Wewe ponda na wenzako na wala sio msemaji wa waislam wa Tanzania.
Bakwata haijanzuilia mtu kuanzisha taasisi yake .
Kesi inahusu Bakwata lkn comments naona Nyerere ndio anapewa lawama sijaelewa kwa kweli
Mm sio mwisilam rakin sheeh ponda nimtu simati sana kichwani
Sana
Fanya uujue uislam bila kuzembea ili uingie katika ibada ya kumuabudu (mungu) Allah peke yake asiekua na mshirika , iwe ndio sababu ya kupewa pepo na ujiepushe na moto mkali ulio andaliwa kwa makafiri.
Shekh ponda muogope mola wako. Shule ambazo zipo chini yako hazilip mishahara zinafanya dhulma hapo huon kuwa ni dhulmq uko busy na bakwata? Basi ungekuwa umesoma ili upewe u muft bakwata. Ukitaka uadilifu anza kwako kwanza
HIVI SHEKHE PONDA HATA MKIACHIWA MUJIAMULIE LAZIMA MUKIENDA KINYUME NA WATAWALA HIZO TAASISI ZENU ZITAFUTWA MOJA KWA MOJA
Shekh tuorodheshe vitu tunavyovikosa
Makafiri wa kisalafi na miwahabi hawatashinda! Taasisi haiwezi kuwa chini ya makafiri
Subhannalla hiyo.kauli ya makafiri kuwaita waislaam Wallah itakuja kukucost.sana sikubya hesabu.kama huto tubia na kuwaomba msamaha wewe pinga yao ila usiwakufurishe Waislaam bila Sheria inayorusu kuona wamekufuru
Kesi hi ingekuwepo kenya..
Mm ni mkristu ila napenda waislam wa Tanzania wafunge ramadhani na kufungua sawa na waislam wenzao wa duniani
Mungu awaongoze waislam mlinalize kwa amani na upendo
Majira duniani . Hayafanani, so ni kitu hakiwezekani...
Tatizo lenu tukiwaacha serikali itashindwa kudhibiti vikundi vya kigaida vinavyokuja kwa jina la waislamu
Fanya ibada wacha kutafuta fursa za kijinga
Kiingine..tumenyimwa.. elimu ya mtume Mohammad SAW....shule za msingi na secondary..na universities..mitaala yetu hatambliwi..na wala..hataki
Yani sisi waislaam sijui tupo vipi Yani ponda unadai unataka uongoz halafu hujabaatika kusoma sana elimu ya dini ya kiislamu acha chuki na bakwata...mtaishia hivyo hivyo kwenda mahakamani...i
PONDA mbona hadai uongozi ? Anataka mambo yakae sawa, BAKWATA wanakaa kama madalali
Sheikh ponda Hana uchu wa madaraka kabsa angekua anauchu wa madaraka saiz kashapewa kwa jinc anavyoisumbua serikal na vibaraka wao bakwata
Ww hujitambui kabisaaaaa
Wanajichosha hawa,bakwata ni viongozi wa serikali kw tiketi ya dini,watahangaika sana
Tusipoangalia waislam tutafika Mbinguni tumechoka sana 😂😂
Waislamu hatwendi mbinguni, sisi ni PEPONI.
Mingu ni ya Allah,
Hujielewi mtu dai haki yako mwenyewe kwanza
haki ya waslam haipatikani mahakani kw manaswara
Mgefungua na kesi mahakama itamke waz kuwa BAKWATA ni tawi la KANISA katoliki
Mmekosa kazi za kufanya mnagombana na serikali? Kafungueni madarsa acheni upumbavu
Mbona wewe ndie
Mpumbavu wa kwanza ni Wewe
Ninga Sana Wewe
Haiwezekani Kila taasisi kulazimishwa kurudi bakwata
Usiseme waislam sema wewe na kundi lako uislam haupo pamoja na hayo unayoyafanya wee unataka usawa na wakristo umetoa wapi hiyo kitu rudi madrasa kasome dini tena
Kwani Serikali, ndiyo inakupangia mambo ya msingi ya uislam?.maana mi sioni uwepo wa BAKWATA, unanikwamisha vipi kufanya uislam wangu
BAKWATA chombo cha kudhibiti mihemko toka kwa waumini wa dini ya kiislam Tanzania.
@@richardnganya2311Kabisaaaaa kaka
We kausha kibaraka wa bakwata
Jibu hoja kaka Acha kebehi@@BakariMtangenange
Bakwata ni mzimu unao watafuna Waislamu wa Tanzania
Hatukubali kuongozwa na wahabi hata siku moja na siku ikitokea wahabi kaongoza BAKWATA au kakabidhiwa umufti basi ndio siku tutajitoa BAKWATA na ndio siku tutamkataa mufti hadharani akishuhudia
Haki zipi?
Haki za binadamu? Wewe Ponda unaleta Siasa kwenye Dini haja yenu ni kuishika nafasi ilionayo BAKWATA mnaleta ulokole ndani ya UISLAM
Adinani huenda huujui Uislam. Kama ungekuwa unaujua huwezi kudharau kinachosemwa na Ponda. Bakwata haina nguvu kwa Waislamu.
@songombingo108 Nguvu ipi hiyo BAKWATA haina?
Ukitaja BAKWATA ndio Uislam nchini TANZANIA
Unachochea vurugu?
Ninavyofaham mimi bakwata ni taasisi ya kidini kama taasisi nyingine ila taasisi hii yenyewe imejifunga ktk mambo sita 1.NDOA 2.TALAKA 3.MIRATHI 4.WAKFU 5NA6 nmesahau ukiyaangalia haya mambo ni nyeti Sana ktk umma wa waislamu leo waislamu tunakua maskini sababu Ya bakwata wanashindwa kusimamia mali za wakfu tukanufaika nazo waislamu lakini wanakula wachache
Na kuchukuwa wake za watu wakipeleka shauri .
@zuberimohamedi5761 😁doh hii kali
Hawa wahuni kesi Yao itupwe mbali
She ponda unazeheka vibaya uwahabi wako kaanao mwenyewe bakwata ni chombo sahihi kwetu Tanzania
Tafuteni kazi mfanye
Bakwata walaji tu
😂😂😂😂
Ponda umechuja
Tatizo moja tu mbona wakiristo au dini nyengine hamna kitengo kwenye serikali hii kuubaka uislam
Huna akili we mzee tena mjinga nyie ndio mnao gombanisha waislam kila siku wewe tu na choko choko zako zisizo kwisha
Bakwata haipo kwa ajili ya waislamu ni Watu wa maslahi yao binafsi
Sheikh ubwabwa
Tukopamoja muungu yupo nasi
Serikali Haina dini mbona wakristo Wana madhehebu mengi lakini wamenyamaza nyie vipi, mnajidharilisha.
Huna unalolijaua tulia tu
Hivi viongozi wa BAKWATA nani huwa anawachagua?
Kuna utaratibu wake.
Apa sasa mkifanikiwa tutaanza kusali
Haya TUONE kama watafanikiwa maana sijaona sababu za kuishtaki bakwata tuache siasa
HAYA NDIO MAMBO ya WAISLAMU KUZYNGUMZA SIO MAULIDI KHITMA KUPIGA PICHA NA KUBISHABA WEBYEWE KWA WENYEWE
Haya ndio matatizo ya kukosa kazi.
Acha dharau baba ako anafanya kazi gani au mchuuzi
Mboni huya kazi yake ni shoga
@@JosefuSwaimashetwani makubwa nyie
Baba ako kazi anayo
Shetwan ni wale wote wanamwiita Yesu kuwa ni mugu mkuu@@JeanMuzaliwa-bs6qh
Waislam ukiwapa uhurù mda sio mrefu patakua na waasi na kuwana, yani ugaidi sana
Kingine tumenyimwa...mahakama ya kadh mpaka Leo