JEMEDARI: DIARA KIPA BORA ZAIDI KWA MIAKA KUMI YA LIGI YA TANZANIA | AMEMPIKU MANULA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 26

  • @emmanuelthomas1078
    @emmanuelthomas1078 4 місяці тому +11

    😅😅Nabaaado! Kila ulimi unatakiwa ukiri kuwa- Diara is the best🤔🤔

  • @suleimanjokoro
    @suleimanjokoro 4 місяці тому +5

    Hakuna jiwe litakalosalia bila kupinduliwa,,tuone chini kuna nini??💛💚🇹🇿

  • @ommyjuniorjumbe3328
    @ommyjuniorjumbe3328 4 місяці тому +1

    Jeff we shoga tu...unaichukia Yanga sijui imekufanya nn

  • @patridabernard9148
    @patridabernard9148 4 місяці тому +2

    Kwani kati ya hawa yule aliyesemaga Yanga itakuwa nafasi ya nne kwenye ligi kuu msimu huu ni nani???

  • @piusngasa4201
    @piusngasa4201 4 місяці тому +4

    Wachambuzi mandazi nyie

  • @lucymsheshi5871
    @lucymsheshi5871 4 місяці тому +1

    Redio ya wanafiki kinoma akiongoza jemedar na oruma
    Lazima mseme na bado😂😂😂😂😂😂

  • @feliciadeogratias3561
    @feliciadeogratias3561 4 місяці тому +4

    Huyo Jofu 😅😅😅😅😅😅 Aibu yake

  • @JumaMigezo
    @JumaMigezo 4 місяці тому +5

    Jofu leah vp kuhusu pacome maana uliongea sana

  • @AndrewSilas-yb7ur
    @AndrewSilas-yb7ur 4 місяці тому +5

    Brow nimekuelewa mno leo

  • @birundula
    @birundula 4 місяці тому +1

    Siku nyingine muwe na adabu kwa yanga. Baada ya ushindi ndio mnajifanya kusifia

  • @beatusrutaserwa2745
    @beatusrutaserwa2745 4 місяці тому +2

    Diarra kamzidi Kipa wa Billion 2😂😂

  • @patridabernard9148
    @patridabernard9148 4 місяці тому

    Hata mamelodi wanalijua hilo

  • @AliMkumbukwa
    @AliMkumbukwa 4 місяці тому +1

    Katika vtu uliwai ongea jemedali n hili la diala

  • @NestoryMahona-q7d
    @NestoryMahona-q7d 4 місяці тому +2

    Vp kuhsu pacome yanga kupokonywa point imefkia wp?

  • @NdalawaChiga
    @NdalawaChiga 4 місяці тому +1

    washenzi ote makokolo

  • @fredmwakyoma2734
    @fredmwakyoma2734 4 місяці тому +1

    Kumbe ni Jofu tu hiyo Jeaf anaremba tu?

  • @bbclondonulimwenguwasoka6126
    @bbclondonulimwenguwasoka6126 4 місяці тому

    Diarra ni hatari, mi ni Simba fan

  • @--------GEO_SPORT_EARTH_EA
    @--------GEO_SPORT_EARTH_EA 4 місяці тому

    Watakiri wote si diarra tu...
    Wachezaji wote

  • @barikilangoy4737
    @barikilangoy4737 4 місяці тому

    Kikundi cha wachambuzi wahuni

  • @abdulnasuma9729
    @abdulnasuma9729 4 місяці тому

    Daaaaaaaaaaa alafu wala hamjishtukii

  • @gabrielgwawu4026
    @gabrielgwawu4026 4 місяці тому

    Bado hamjasemaaa😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @shukurumgaya5950
    @shukurumgaya5950 4 місяці тому

    Huyo mzee anafanya nini