𝗙𝗮𝘁𝗮𝘄𝗮 𝗭𝗮 𝗠𝗮𝗴𝗮𝘁𝗶 | 𝗞𝘂𝗳𝘂𝗿𝗮𝗵𝗶𝘀𝗵𝗮 𝗦𝗽𝗼𝗻𝘀𝗼𝗿

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 53

  • @abbaspaziaog2188
    @abbaspaziaog2188 4 місяці тому +8

    ABUL Khattwaab Abdallah Humeid ALLAH amuhifadh mwamba wa masuffiy na mahzibii

  • @SameerMdumbemalongo
    @SameerMdumbemalongo 4 місяці тому +6

    Hapa kila SUFI ALLAH ANAMUUUMBUA TARATIIIBU.....KUNA YULE MWINGINE DK SULE SAAAHIR

  • @Nature-xe7lu
    @Nature-xe7lu 4 місяці тому +9

    duktur islam akiskia hii atasema masalafi wajitakasa wajiona ni wao tu wa peponi

    • @AbuuBakar1
      @AbuuBakar1 4 місяці тому

      Unawachokoza mahizby 😂 wana matusi mabaya jiandae

    • @AbuuBakar1
      @AbuuBakar1 4 місяці тому

      @@Muislamu shida yako wewe hutaki kufuatilia mambo uvivu unasumbua sana lakini ungekua uko makini na dini yako usinge sema hivyo

  • @AbuuDharry
    @AbuuDharry 4 місяці тому +8

    الله المستعان،

  • @johnlobuin4212
    @johnlobuin4212 4 місяці тому

    Huyu SI sheikh, ni Wala meruingi. Amevalia kanzu tu ndiyo wasiokuwa waislamu wadhani ni muislamu

  • @SirlemNasir
    @SirlemNasir 4 місяці тому +4

    MASUFI MCHENI ALLAH.... MUMEZIDI

  • @japharizuberi8495
    @japharizuberi8495 4 місяці тому +1

    Eti Vijan hawana kazi watafutiwe kazi,
    Swali miraa ni buree??

  • @abdullahiiddi4109
    @abdullahiiddi4109 4 місяці тому +1

    Assalam alaikum brother and sister. Tuweni ni wenye kuelimisha Ummah. Tatua tatizo tusingiliane Ummah wahitaji kuelemishwa. Tafathali elemisha Ummah tatizo Matusi na kukejeliana haisaidi, bali twajiaibisha katika Ummah. Tatueni Matatizo Tuacheni kulalamikiana.
    Allah atuezeshe Kupendana kwa Ajili ya Yake na atujaalie Umoja na kushikana kwa Ummah.
    Amin Amin
    Let's us not be personal.

  • @husseingitonga8921
    @husseingitonga8921 4 місяці тому +6

    Hawana kazi? Je mira ni bure?

  • @ahmedabdalla4836
    @ahmedabdalla4836 4 місяці тому +1

    Awesome awesome ♥️♥️♥️♥️♥️♥️😎❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉😢😢

  • @abuuyasir1253
    @abuuyasir1253 4 місяці тому +1

    Majajida unaweza dhani wanazo funguo za jana siungii marungi lakini fujo mko nazo wacha tu lakini wapo wengine wamepita mfano wenyu

  • @Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh
    @Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh 4 місяці тому +1

    Duu shekhe gani huyu yuwatukana azugumza kama amvuta bangi utaogoza vipi uma kwa kutumiya matusi

  • @ExcitedCricketHelmet-wr4sq
    @ExcitedCricketHelmet-wr4sq 4 місяці тому +1

    Khurafi ni kama iblis amejigeuza mwili ya mtu wako swa kweli hawa

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 4 місяці тому +1

    Mzee wabidaa badotu anaendeleza uwongo wake mtihani anasumu sanahuyu

  • @SameerMdumbemalongo
    @SameerMdumbemalongo 4 місяці тому

    Hata jisura lake ukiliangaliaa vizur utaliona ajua kama anapiga fiks.....KHURAFI KATIKA UBORA WAKE......BADO MAULIDI

  • @swalehmohamed712
    @swalehmohamed712 4 місяці тому

    Ajabu comments za watu... nyie maskizi yenu yamekosa ufahamu... kosa sio lenu

  • @user-jv6cf6nl5d
    @user-jv6cf6nl5d 4 місяці тому

    Sio jukumu la serekali kuhakikisha vijana wote wamepata ajira..Tujiajri tuache kuskuma lawama pasipo kwa uvivu wetu..

  • @YusufAli-gc9cu
    @YusufAli-gc9cu 4 місяці тому +1

    ALLAHUAKBAR

  • @ramadhanali558
    @ramadhanali558 4 місяці тому

    من انحرف عن طريق الرسول فإنه لا يتبع ولا يقتدى به ولوا كان عالما!!!!!!!!!!!

  • @abdulkarimmavuo645
    @abdulkarimmavuo645 4 місяці тому +2

    Tatizo langu na Humeid ni kumkufurisha dr Islam na ustadh bachu. Ki mimi nahisi angewatafuta waelimishane sio kuwadhalilisha ovyo wakati wote wapinga bidaa

  • @firdaushamid8200
    @firdaushamid8200 4 місяці тому

    Vijana hamuna kazi na hizo zakununuwa miraa mwazitowa wapi

  • @amenakenya7993
    @amenakenya7993 4 місяці тому +1

    Subhnallah

  • @badrudindaud1087
    @badrudindaud1087 4 місяці тому

    Subhanallah eti Imam
    shaukani alikuwa akila gati? Itakullah

  • @ABDIRAHMANAHMED-dk7sf
    @ABDIRAHMANAHMED-dk7sf 4 місяці тому

    Mashia walimIngizia hilo imam showkani!😢

  • @hafidhmuhsin1623
    @hafidhmuhsin1623 4 місяці тому +1

    Wewe unaye ita wenzio wajinga wspumbavy ni sawa.?
    Eleza hija zako bila kutukana wenzako

  • @adamjutto5849
    @adamjutto5849 4 місяці тому +3

    Nkipiga punyeto kwa kuepuka madhara ya zinaa halali😂😂😂 dr mubaarak aweesooo,usuufi uchizi

    • @ShabaniMkumbega
      @ShabaniMkumbega 4 місяці тому

      Hayo maneno unamzulia hajasema kuhusu punyeto

    • @ShabaniMkumbega
      @ShabaniMkumbega 4 місяці тому

      Ila fatwa ya kupiga punyeto mwezi wa Ramadhani na haiaribu swaumu ni Albani ndio ametoa Nenda ukasome na walimu wako wakufundishe kupiga punyeto mana kwa mawahabi ni halali

    • @adamjutto5849
      @adamjutto5849 4 місяці тому

      @@ShabaniMkumbega fiq-hi yako ndogo weweee,ktk swala hilo khilaaf ipo,na ametangulia na ibnu hazmini dhwaahiiriyyi,ispokua tu,sheikhul albaaanii amekwenda kinyume na qauli ya jumhuurul ulamaa,na sheikhul albaanii rahimahu llah ametoa dalili iliyowazi kwa mwenye kuzingati hilo,ila pamoja na kutoa qauli hiyo,akasema itapasa mtu ajiepushe na punyeto,masufi hamsomi kwa tadabbur,bali mnasoma kwa hawaa,ili mpate kuja kawadanganya watu,
      Kiufupi sheikhul albaanii kasema hilo,na wapo walomtangulia,akiwemo ibnu hazmin,lkn hakusema kua punyeto ni halali,kasema ikiwa mtu kapiga punyeto,kisha yakatoka manii,swaumj haiharibiki,na katoa dalili,
      Haya wapi na wapi na hayo anayoyasema kijana aweso😁

    • @adamjutto5849
      @adamjutto5849 4 місяці тому

      @@ShabaniMkumbega قس على هذا تصادف رشدا
      وتلطف بكل ما يناسب هذا ،هداني وهداك الله
      Ukielewa hayo,utajua kwa nn nimetoa mfano huo,😁

    • @amourmdetele1498
      @amourmdetele1498 4 місяці тому +1

      @@ShabaniMkumbega
      Kwanza albaaniy hakusema halali wewe ndio ukasome lete maneno ambayo yaeleza ni halali ya sheikh albaaniy أتحداك nakuchallenge, kisha amekosea sheikh albaaniy na wanazuoni wetu wamemkosoa, Alichosema haiharibu swaumu, pia hakuwa muwahabi humjui, wakurupuka wewe upo kumtetea huyu jamaa we waona kazungumza kielimu hapo?, kanukuu madai yeyote kaleta ushahidi na je kajenga hoja zake kielimu, nyie jamaa mnashida gani.

  • @ShabaniMkumbega
    @ShabaniMkumbega 4 місяці тому

    Anaetaka ushahidi aje

  • @awadhsaleh3929
    @awadhsaleh3929 4 місяці тому

    Bangi ina nguvu zaidi na rahisi

  • @ShabaniMkumbega
    @ShabaniMkumbega 4 місяці тому

    Nyie ndio mnafatawa za ajabu za kuwambia wanawake wajisage na wanaume wapige punyeto alibaan amezitoa nendeni mkasome na huyo mafuta awafundishe punyeto ndicho anacho jua kutoka kw alibaan

    • @IssaSimbilla-hw9ev
      @IssaSimbilla-hw9ev 4 місяці тому +5

      Unaakili wewe kweli

    • @abdiwahabmohamed9699
      @abdiwahabmohamed9699 4 місяці тому +1

      Hebu rudia kusoma hicho ulichoandika alaf tafakar,muogop Allah ndugu

    • @ShabaniMkumbega
      @ShabaniMkumbega 4 місяці тому

      Namuogopa Allah vizuriii na akili ninazo ndio maana cwezi kuwa wahabi kwa ujinga wanao ufundisha

    • @ShabaniMkumbega
      @ShabaniMkumbega 4 місяці тому

      Akili ninazo ndio maana nikasema ukitaka ushahidi SEMA mana nyinyi hamsomi

    • @Makikokasongo
      @Makikokasongo 4 місяці тому

      Leta ushahidi tujifunze sotee