broo hata hivyo ulivyosema haviwezekani, vitakuja kuwezekana pia. Tulivyonavyo leo kuna mwanzoni vilikuwa kama ndoto. Dancing, playing, etc ni vitu ambavyo hata tukiendelea zaidi, tukafanya tests, nk tunaweza kuvifanya. Kama kwa AI ni possible kabisa maana inaweza tambua reaction watu wanayotoa, if they smile robot iliyo na AI inaweza kutambua, na hata tukiweza kutengeneza robot ambae ni flexible kama binadamu na sio wazito kama wa sasa ni vitu vinavyowezekana. Coz robot anaweza kupiga calculations zake za chap, kama kuna space ya kuexploit anaweza akaifahamu, at what speed, and which angle pia ya kuweza kupiga na kufunga. ila i dont mean kwamba tutachanganya marobot na watu wacheze mpira; No, ila ikifika huko as long as football ishakuwa entertainment, who knows, mtu anaweza akaja na idea ya football match anayochezesha robots🤔
Itakuwa imerahisisha kazi ya photographer Kwasababu kama mtu ameshoot harusi material ya video yakapotea inaweza kutumia AI na event nzima ikawepo wakiwa maharusi walewale na wageni waalikwa na matukio yote yakaonekana kwa mpangilio alivyoshoot
AI katika mfumo wa elimu sio suluhisho bali hushusha uwezo wa kufikiri maan assignments kwa sasa Wengi hutumia chat gpt ambayo ni AI ,kwangu mimi Ai ipewe limits katika eneo la utumizi wake ,we need our brains 🧠 to solve education not AI
Bado kunawatu hawajaelewa maana ya Ai Mimi ni mmoja wa wanufaika wa Ai imenisaidia kute geneza cover ya nyimbo yangu bila kwenda location kupiga picha na cover imekaa poa kuliko kawaida hivyo nili save pesa lakini pia ilininusuru na utapeli wa mtandaoni ilinishauri vizuri sana nikabaini tapeli wa mtandaoni.
Nop kila teknolojia inayo kuja ina faida na madhara yake hiv unajua ujio wa smartphone umekosesha kazi wangapi okay so point ni hii jifunze teknolojia inaitaji nini then nenda nayo 😂😂😂 kwaiyo utaandika prompt ya harusi then ikuletee video
Mh.Erick shigongo amewahi zungumzia kuhusu AI bungeni Ila sizan kama bunge lilimuelewa Kiukweli Mimi ni computer scientist but naiogopa huwa nawawazia sana vizazi vijavyo. AI naiogopa Mimi Tena sana .ila Kwa ambaye huelewi huwezi tambua itawafanya nn vizazi vijavyo
Kaka nimekuelewa sana mfano kuna wimbo wa Msanii AZAW kutoka Uganda kaimba wimbo akiwa amemshirikisha Mozes Radio na wakt tunajua Radio hatuko nae dunian. kidogo ilinipa changamoto.
Binadamu atakuwa binadamu tu dunia tumeumbiwa sisi na wanyama na majini na sio maroboti jamaa yangu kwa mtazamo wako basi kila kitu kitakuja kufanywa na aí au roboti
😂😂😂Hiyo AI itanyamazisha wanafunzi kelele?😂😂😂😂. Hivi assume mwanafunz analeta vurugu mwlm yupo darasan je ufanye hamna mwalimu hiyo system ynyw atang'oa
Snash tafuta video ya kanye west VULTURES(havoc version) ni full AI video na kawaida uwezi gundua..lakini AI itachukua ajira nyingi tu tofauti mfano kwenye magari najua ww ni mtu wa magari Tesla na gari zingine zenye autopilot magari yote mpaka lori zitakuwa zinajiendesha zenyewe bila mtu kiukwel AI will take everything
Video Games Zijazo Zitakuwa Na Uhalisia Hata Movies Ambazo Hazijawahi Kutengenezwa Sababu Ya Kumpata Character Sahihi Wakufit Mfano God Of War Zitatengenezwa
I don't think AI is gonna be a problem in a Third World country like Tanzania. With such a poor education system, I'll be very surprised if rural Tanzanian kids can recognize a computer
broo hata hivyo ulivyosema haviwezekani, vitakuja kuwezekana pia. Tulivyonavyo leo kuna mwanzoni vilikuwa kama ndoto.
Dancing, playing, etc ni vitu ambavyo hata tukiendelea zaidi, tukafanya tests, nk tunaweza kuvifanya. Kama kwa AI ni possible kabisa maana inaweza tambua reaction watu wanayotoa, if they smile robot iliyo na AI inaweza kutambua, na hata tukiweza kutengeneza robot ambae ni flexible kama binadamu na sio wazito kama wa sasa ni vitu vinavyowezekana. Coz robot anaweza kupiga calculations zake za chap, kama kuna space ya kuexploit anaweza akaifahamu, at what speed, and which angle pia ya kuweza kupiga na kufunga. ila i dont mean kwamba tutachanganya marobot na watu wacheze mpira; No, ila ikifika huko as long as football ishakuwa entertainment, who knows, mtu anaweza akaja na idea ya football match anayochezesha robots🤔
Kweli kabisa ,
Mazee AI yaeza nipatia dem mkali.
Nimechoka na madanqa ya Buza
AI inasaidia sana kustructure email, proppasal, projects but now makampun yameshtuka yantumia AI detector wametukamata now
Itakuwa imerahisisha kazi ya photographer Kwasababu kama mtu ameshoot harusi material ya video yakapotea inaweza kutumia AI na event nzima ikawepo wakiwa maharusi walewale na wageni waalikwa na matukio yote yakaonekana kwa mpangilio alivyoshoot
Hhahhaahhajahahja wewe jamaa
Hakuna ulichoelewa ndugu
AI katika mfumo wa elimu sio suluhisho bali hushusha uwezo wa kufikiri maan assignments kwa sasa Wengi hutumia chat gpt ambayo ni AI ,kwangu mimi Ai ipewe limits katika eneo la utumizi wake ,we need our brains 🧠 to solve education not AI
Bro.....sasa niangaike nini akati AI inaniwezesha kila kitu....this is the future ubongo tumia wewe
ah siipendi AI kwasababu iyo
Tutaanza Kusikiliza miziki ya watu walio kufa na movies pia 😂😂😂
me wakwanza kuview leo naombeni likes zangu
Unakimbilia ku comment kabla aujaangalia video wabongo huu mchezo mumeupata wapi 😂
badala mtu achangie mawazo kuhusu video anakimbilia kusema kaview wakwanza apew like, sas like za nini😂😂
Vichaa hamuishi kwakwel, kwaiyo wew uneona likes na kuwa wakwanza inaimpact gan kwako.
Oya mzee kwani watu wakilike comment yako unapata faida gani😂😂😂
@@Grako3404 Inabidi tuulize ukute watu wana make money.
Bado kunawatu hawajaelewa maana ya Ai Mimi ni mmoja wa wanufaika wa Ai imenisaidia kute geneza cover ya nyimbo yangu bila kwenda location kupiga picha na cover imekaa poa kuliko kawaida hivyo nili save pesa lakini pia ilininusuru na utapeli wa mtandaoni ilinishauri vizuri sana nikabaini tapeli wa mtandaoni.
Hapo vinyozi watakua salama
Duuh ni mapinduz makubwa sana ya technology
ongea kwa sound yako bhana mbona ushaanza kuwa wa kawaida
Big up bro for what you feed us🎉
Nop kila teknolojia inayo kuja ina faida na madhara yake hiv unajua ujio wa smartphone umekosesha kazi wangapi okay so point ni hii jifunze teknolojia inaitaji nini then nenda nayo 😂😂😂 kwaiyo utaandika prompt ya harusi then ikuletee video
Kazi yetu Iko pale pale tutapiga pesa vile vile
Duuuhh😢😢😢😢
Mh.Erick shigongo amewahi zungumzia kuhusu AI bungeni Ila sizan kama bunge lilimuelewa Kiukweli Mimi ni computer scientist but naiogopa huwa nawawazia sana vizazi vijavyo.
AI naiogopa Mimi Tena sana .ila Kwa ambaye huelewi huwezi tambua itawafanya nn vizazi vijavyo
Ao AI wakija tuwapeleke shambani walime kinoma noma 😂😂😂 mbna watasema
Wazo zurii
Kaka nimekuelewa sana mfano kuna wimbo wa Msanii AZAW kutoka Uganda kaimba wimbo akiwa amemshirikisha Mozes Radio na wakt tunajua Radio hatuko nae dunian. kidogo ilinipa changamoto.
Mmmmm kwa apo mm naona mamantilie tu wa buza ndo atabaki🎉
Snash kwenye upande wetu wa movies umetutupa sana
Asant bro nilikua nimelala
👍
Mbeba zege yupo salama na mvuvi😅😅😅
Hakuna Alie. Salama kaka yangu huko kite wanaweza fanya Tena kwa ufanisi mkubwa bila ubabaishaji😅
Tugei website basi unachukua movie yeyote
Kwenye upande wa afya wafamasia naona kama watapona 😅
Saivi tuna app ya PI AI kama mtu anaitaka sem nikupe link
Samahan broo hivi unaweza kunisaidia namba ya ey ya wasap
makamera man siwatabak ndan wanatumia hizo a.i so ajira itakmbia vip coz a.i haiez jiendesha yenyewe snash
Binadamu atakuwa binadamu tu dunia tumeumbiwa sisi na wanyama na majini na sio maroboti jamaa yangu kwa mtazamo wako basi kila kitu kitakuja kufanywa na aí au roboti
Inabd tujiandae kwa mabadiliko haya
Mafundi,na watu wa vipaji wako salama wasomi wetu bongo ndio wanaona moto
😂😂😂Hiyo AI itanyamazisha wanafunzi kelele?😂😂😂😂. Hivi assume mwanafunz analeta vurugu mwlm yupo darasan je ufanye hamna mwalimu hiyo system ynyw atang'oa
Mbaifike bongo hiyo nishaa jenga kwa pesa photoshoot 😂
Acha ijeeee! Wavivu watajuata. Si hawataki kazi ngumu 😂😂😂😂
hao ndowenye watafaidika kwasababu ai nirahisi sana
Tumekwisha😢😢
Snash tafuta video ya kanye west VULTURES(havoc version) ni full AI video na kawaida uwezi gundua..lakini AI itachukua ajira nyingi tu tofauti mfano kwenye magari najua ww ni mtu wa magari Tesla na gari zingine zenye autopilot magari yote mpaka lori zitakuwa zinajiendesha zenyewe bila mtu kiukwel AI will take everything
umeelewa lakn maama ya a.i na unachokionge wewe
Fundi ujenzi ndio tupo salamaa 🙌🤝
kaangalie 3D printing nyumba inaprintiwa ngoja nikupe link ya video😅
ua-cam.com/video/LVNZbl8in_Q/v-deo.htmlsi=jNCPNLX0H5Bu6Tsu
angalia hio video
@@Max9_captain si lazima utumie mikono kujenga hiyo nyumba mkuu? Ndio ninacho semea
Je harusi itashoot 😂😂
Serikali yenyewe sasa
Kaka...
MADJ KIDOGO TUKO SALAMA KIDOGO SANA 😂😂😂
Nilijua ni GTA V hio gari
Bro skuiz umekauka kabisa na review za movie please naomba ufanye review ya movie moja inaitwa damsel 2024 tuielewe vizuri.
i think tuta adapt
Wasanue pia kuhusu crypto currency na blockchain technology Kaka watu wanelala pia 😅
Ai inakua ila ni muhimu sana vizazi vyetu tuvikuze tukiiangalia kesho yao
Video Games Zijazo Zitakuwa Na Uhalisia Hata Movies Ambazo Hazijawahi Kutengenezwa Sababu Ya Kumpata Character Sahihi Wakufit Mfano God Of War Zitatengenezwa
Kaka tu dondoshee hiimuvi paralel imenichanganya
Selikari halijangalia hili kwa makini sio kila kitu tunapokea tu mara 5G vimechunguzwa au short
Bro AI ni shida inafanya kazi zote wabunge hawana tena uwezo wa kudanganya wananchi
ishaanza kufanyakazi au bado ?
Hatar xan
Piga bas oppenheimer ..cjaielewa
Na mfanya biashara je
Bro kuna jamaa nafikir ana kitu chako anaitwa ,micro viewrs ==check video hii naina kuna kitu chako humu (Mobile data on but not working)
Atapona wakala tuu
wakala wa nin
mawakala wapo Africa tu, uko duniani kuna ATM tu hakuna wakala. na uku itakuwa ivyo ivyo
I don't think AI is gonna be a problem in a Third World country like Tanzania. With such a poor education system, I'll be very surprised if rural Tanzanian kids can recognize a computer
This the meaning of @techinswahili