ALLY KAMWE "MAMELODI WAMETUKIMBIA/KUNDI LETU GUMU/MSIMU HUU TUMEPANIA/HATUJUI WENGINE NI SISI TU"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 27

  • @BullahSambiga
    @BullahSambiga 15 годин тому +6

    Kweli semaji umeongea facti sana💪 yaan apo kazi kazi hakuna kumdhalau mpinzani

  • @enockjlory1814
    @enockjlory1814 15 годин тому +4

    Yanga bingwa

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 12 годин тому +2

    Ally Kamwe uzuri wake hanaga kumzarau mpinzani wake.

  • @ShangweKiulamagulu
    @ShangweKiulamagulu 16 годин тому

    Like kwangu all from Tanzania

  • @yasrikomba7874
    @yasrikomba7874 10 годин тому

    Yanga bingwa ❤

  • @RabsonSalmon-ys7bf
    @RabsonSalmon-ys7bf 15 годин тому

    Vzr🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @himanmwalwala7569
    @himanmwalwala7569 12 годин тому

    Unapenda sana kuisema Simba,wee isemehee YANGA

  • @suleimanmwenyemvua995
    @suleimanmwenyemvua995 13 годин тому

    Ali kamwe unahojiwa na Makolo pambana nao hao 😢😮😊

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 16 годин тому

    Makundi ni mwezi November.

  • @devotabashome1090
    @devotabashome1090 15 годин тому

    Siku zote muombea mwenzie mabaya hukuta mwenyewe

  • @FelixmusaLubinza
    @FelixmusaLubinza 15 годин тому

    Mbona matusi kwa semaji janja

  • @himanmwalwala7569
    @himanmwalwala7569 12 годин тому

    Unajitoa ufahamu kamwe

  • @mtakatifutv2101
    @mtakatifutv2101 13 годин тому

    Niamin mm kua hata allykamwe akili yake haipo sawa ,kitendo Cha kusema mamelod amewakimbia wakat waliopanga makundi sio viongoz wa timu,,,iyo ni akili kwel

  • @revocatusmalimi4525
    @revocatusmalimi4525 15 годин тому

    Wewe utanyamaza tu, jiandae saikojia kuondoĺewa

  • @FadhiliIssa-s3c
    @FadhiliIssa-s3c 15 годин тому

    hakuna ugumu apo 😂😂😂

  • @MalikiKavindi
    @MalikiKavindi 15 годин тому

    Wametukimbia kwani wanajipangia wao?

  • @MajidiMtunguja
    @MajidiMtunguja 14 годин тому

    Una akiri za kitoto

  • @raymondsekabigwa5907
    @raymondsekabigwa5907 14 годин тому

    Yaani mamelody wakukimbieni Yanga? Sasa utajua muna wachezaji wazee.

  • @johnmbise8996
    @johnmbise8996 15 годин тому

    Tunza kumbukumbu kijana

  • @kassimntara6901
    @kassimntara6901 15 годин тому

    Bwege kweli ww bahati mnayokuwa mnapata ya timu sizizo na kwako jitekenye tu

    • @NillanMjunga-fr5ze
      @NillanMjunga-fr5ze 15 годин тому +2

      Kwani simba nao hawana kwao?maana nae kapigwa ndani nje

    • @FelixmusaLubinza
      @FelixmusaLubinza 15 годин тому

      Kila m2 apambane kivyake​@@NillanMjunga-fr5ze

    • @HellenLauwo-u6f
      @HellenLauwo-u6f 15 годин тому

      Acha wivu ww kwanza uku umefat nn hatuwatak wT w simba humuuuuu😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @sostenkyando2969
      @sostenkyando2969 15 годин тому

      Acha ujinga ww bwege , team hizo mkipewa nyie mtaanza kulia lia apa . Yanga sio level zenu kolo nyie

    • @FrankKafene
      @FrankKafene 14 годин тому +1

      Hata kolo hana kwao ndo maana kala mkono