ANGALIA MWANZO MWISHO SHEKH NYUNDO ALIVYO ZIKWA LEO NA VILIO VILIVYO TAWALA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 112

  • @yussufdjroo1446
    @yussufdjroo1446 4 роки тому +21

    Mungu Atupe mwesh mwema , Never ever Forever ,No One like SHEKH NYUNDO

  • @roseatienoogutu7641
    @roseatienoogutu7641 Рік тому

    innalilahy wainna ilahy sheikh wetu mpendwa Allah akufanyie wepesi makao yko akupe kitabu chako kwamkono wakulia mbele yko nyuma yetu shukran Kwa dhawa zako umetufunza mengi jazakallah kheir Allah aipenguvu familia yko atuletee nghaa japo sio wewe vilevile but mfano wako Alhamdhulilah shukuru Allah

  • @nagibsalim9120
    @nagibsalim9120 4 роки тому +2

    Masha Allah kweli sheikh nyundo ni mtu wa watu na mungu ailaze roho yake pahali pema

  • @Mfaume65
    @Mfaume65 4 роки тому +12

    Allah mlipe kila analostahl ktk juhud zke alizokua akizifny ktk din yko na cc tulobak utujaalie mwisho mwema aaamin

  • @zayyatiyussuf9566
    @zayyatiyussuf9566 4 роки тому +2

    Shukran Ktv tz online hakika hii ni FAHARI yetu

  • @asfarsham9037
    @asfarsham9037 4 роки тому +4

    So sad wallahi 😭😭😭😭.Sh Nyundo wetu umetukimbia ghafla.Allah ajaalie tuwe wenye kuyafata ulokuwa ukituambia na wewe akulaze mahala pema.ameen

  • @jambo3751
    @jambo3751 4 роки тому +7

    Allah amsamehe madhambi yake na amuingize kwenye pepo ya firdaus na sisi Allah atupe husnil khatima Amin.

  • @abdallaramadhan3850
    @abdallaramadhan3850 4 роки тому

    Inna lillah wainna illaihi rajiown sisi ni wa Allah na kwake tutarudi..Mwenyezi Mungu akusamehe makosa yako sheikh nyundo,akurehemu na akulaze mahala pema peponi...Kwa hakika tutakukumbuka daima,mchango wako n mkubwa sana uso kifani ktk kuusukuma mbele uislamu...Mola akulipe ujira mwema na akupe kauli thabiti...Hakika ww umetanguliya na sisi tuko nyuma yako..

  • @philipoinzag2379
    @philipoinzag2379 4 роки тому +2

    Nyota njema huonekana mapema inshallah kwa uwezo wake mwenyezimungu amjalie pepo sheh nyundo na sisi tuliobakia mwenyezimungu atuonyeshe njia tuwe wenye kutenda mema kama sheh nyundo Amin

  • @sharmilarashid5401
    @sharmilarashid5401 4 роки тому

    Inna Lilah wainna ilahi rajiuuna Allah akuweke pepo yajuuzaidi daima yaa rabbyl Allah miina insha Allah

  • @zayyatiyussuf9566
    @zayyatiyussuf9566 4 роки тому +3

    Innalilah wainailah rajiun tutakumiss sana sheikh Nyundo uwepo wako na darasa zako nasaha zako zuri Allah akujalie nuru ndani ya kabur lako na marehemu wote wakiisilam Allah atuswamehe na ss maiti hai watalajiwa

  • @mesalimrashid6312
    @mesalimrashid6312 4 роки тому +1

    Ya hayyuanfsu mutumainna irijiila Rabbika radhiatan marudhwia fadhukuli fii ibadi wadhukuli jannatt.from msa kenya very sad wallahi.

  • @tausilifestyle795
    @tausilifestyle795 4 роки тому

    Allah amlaze mahala pema peponi sheikh nyundo

  • @bintsalimalbimany5340
    @bintsalimalbimany5340 4 роки тому +13

    Allah laze mahala pema pepon Innalillah wainnailaih rajiun😢😢😢😢

  • @hidayaalisaid1083
    @hidayaalisaid1083 4 роки тому +6

    Allah amrehemu sheikh nyundo kwa kweli kifo ni njia ya haki na hakuna atakae saliya

  • @hanifasilima4816
    @hanifasilima4816 4 роки тому +7

    INNALILAH WAINNA ILAIHI RAJIUN mung ampe qauli thabit atujalie mwisho mwema na SISI AMEEN ishallah

    • @abdul-rahmanfakijuma1879
      @abdul-rahmanfakijuma1879 4 роки тому +1

      Allwah ampe kauli thaabit, a amlipe jannah aamiyn

    • @Amneamne-qi2du
      @Amneamne-qi2du 4 роки тому +1

      Innalillah Wainna lilah rajoon Allah ampe Kauli kipenzi chetu ajaarie Jannat firdus iwe makazi yake

    • @saidaliy1567
      @saidaliy1567 4 роки тому

      Hanifa Silima amiiiin

  • @zahrasalum8041
    @zahrasalum8041 4 роки тому

    Mmungu amlaze pahala pema peponi amuondolee adhab za kabur Ameen

  • @truthspeaker2062
    @truthspeaker2062 4 роки тому +2

    اللهم اغفرله ورحمه وأسكن له مكانا في الجنة
    From oman

  • @abdivuai8221
    @abdivuai8221 4 роки тому

    Mungu amlaze pema shekh nyundo

  • @ismailjuma3692
    @ismailjuma3692 4 роки тому

    Allahumma ghufirlahu warhamhu wamaskanata fill janna

  • @mutaladjasmini4815
    @mutaladjasmini4815 4 роки тому +1

    Allah akuepushe na adhabu ya kabri na kufufue ndani ya umati MUHAMMAD rehma na amani ziwe juu yake

  • @mussakijangwa196
    @mussakijangwa196 4 роки тому +1

    Allah akukubalie shahada yako sheikh nyundo

  • @suleimankhamis738
    @suleimankhamis738 4 роки тому

    Mwenyezi mungu ampe kauli thabit shekh wetu Hussein hassan nyundo

  • @hamzakombo2347
    @hamzakombo2347 4 роки тому

    Innalilah wainailahi rajighuuni n3nda salama shekh wetu na sisi twaja ila mda hatujaujua tupo nyuma ako Allah atakuhifadhi sehemu salama kwa baraka zake in sha Allah

  • @bintsalimalbimany5340
    @bintsalimalbimany5340 4 роки тому +2

    Husnulkhatima yarab👐👐👐👐

  • @marjana1126
    @marjana1126 4 роки тому +1

    Allwah ampe kauli thabit nassi atupe hatma njema amin

  • @MdSumon-jm6xq
    @MdSumon-jm6xq 4 роки тому

    Wanawake haturusiwi kwenda mazikoni na kuchanganyika na wanaume mmemkosea Sana Allah na marehemu pia inaonekana mawaidha yake hayajawaingia bado

  • @abdul-rahmanfakijuma1879
    @abdul-rahmanfakijuma1879 4 роки тому +2

    Allwah ampe maisha mazuri ya barzakh na amjaalie jannatul firdausi iwe ndio makaazi yake aamiyn

  • @rasykizanjbari4996
    @rasykizanjbari4996 4 роки тому +1

    Innalillahi waina ilayhi rajiun tulikupenda sana shekh nyundo kipnz chetu ila mungu yeye kakupenda zaid pumzika salama fildaus iwe pepo yko

  • @fallymetoo191
    @fallymetoo191 4 роки тому +2

    INNALLILLAHI Wainna ilaihi rajeuun

  • @jumasafi2635
    @jumasafi2635 4 роки тому +4

    Mungu ampe makaazi mema

  • @ummoislam4832
    @ummoislam4832 4 роки тому

    Allah ampe kauli thabiti:Allah tujaalie mwisho mwema yaranbi

  • @harounkhamis6125
    @harounkhamis6125 4 роки тому +4

    Ina illah waina illah rajiun

  • @mariamsuleiman437
    @mariamsuleiman437 4 роки тому +1

    Mashallah sio kwa humaa huu jamani mungu a type mwisho mwema jeneza juu juu

  • @alakhyhajjbinhassan4496
    @alakhyhajjbinhassan4496 4 роки тому

    Innalillah wainna ilaykhi rajiun 😭😭 Hakika hii safari yetu sote; so Tusijisahau INSHA'ALLAH 🤲

  • @sadiaabed6687
    @sadiaabed6687 4 роки тому +1

    Mashaallah allah amrehemu amepata watu mashaalla mungu ampe makaazi mema ammin

  • @yasinamiri7649
    @yasinamiri7649 4 роки тому +2

    Inalilahi waina lilahi rajuuni

  • @shamsahaji6202
    @shamsahaji6202 4 роки тому

    Allah anrehemu na amsamehe alipokosea amin.

  • @khadijasalum2302
    @khadijasalum2302 4 роки тому +2

    Allahuma ameen yarrab innallillah wainnailaihu raajiuun allah amsameh makosa yake ampe kauli thabit amghufurie madhambi yake kaburi lake liwe nnur yarrab

  • @rajabuhassani1105
    @rajabuhassani1105 4 роки тому +1

    mungu tujalie mwisho mwema

  • @mohammedikingazi5166
    @mohammedikingazi5166 4 роки тому +1

    Allah mpe kauli Thabit sheikh wetu inshaallah

  • @maryamhussain8041
    @maryamhussain8041 4 роки тому +3

    Innalillahi Wainnailayhi rajiuun ALLAH amfanyie wepesi

  • @rukiamohammed5031
    @rukiamohammed5031 4 роки тому

    😭😭Inalilah wainailah rajiun mungu akupe kaul thabit mungu akuangazie nuru kwenye kabur lako shekhe wetu 😭😭

  • @mohammedhemedi1038
    @mohammedhemedi1038 4 роки тому

    Innalillah wainnailayhirajiuuna Allah ampee kaulii thabit . Amsamehe makosa yake. Na apate matunda kwa aliotufikisha.

  • @aishajazzah1019
    @aishajazzah1019 4 роки тому +1

    Innalilahi wainnairaihi rajiun

  • @a.856
    @a.856 4 роки тому +4

    Amin amin

  • @Aisha-om9go
    @Aisha-om9go 4 роки тому

    Inalillah waina lillah rajiun

  • @mozasaid3869
    @mozasaid3869 4 роки тому

    Innalilahi wainnailahi rajiuun Allah amsamee makosa yake pale alipoteleza! Allah ampe Kauli thabiti

  • @Da-cr6ow
    @Da-cr6ow 4 роки тому +1

    Ewe Allah mwingi wa huruma mpe nuur katika makazi yake mapya nasi utupe mwisho mwema Ammin

  • @lavieestbelle3263
    @lavieestbelle3263 4 роки тому +1

    Innalillah wainailaih rajiuun.

  • @bornvillagevlog4566
    @bornvillagevlog4566 Рік тому

    Bahati kunywa sana, allahu akbar

  • @salem9874
    @salem9874 4 роки тому +4

    Shema hakidumu Allah amsamehe makosa yake

  • @yalsadsaeed
    @yalsadsaeed 4 роки тому +2

    Inna lillah wainna ilayhi rAajiuun Mungu ampe kauli thabit

  • @naimahassan4858
    @naimahassan4858 4 роки тому

    amiin😭

  • @khamishamad5741
    @khamishamad5741 4 роки тому

    Inshaallah Allah amfanyie wepes

  • @zawadiomari3757
    @zawadiomari3757 Рік тому

    Mungu ampe pepo

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 4 роки тому +1

    Innalillah Wainnailayhi Raji'un . Kila nafsi itaonja mauti. Mola akulaze pema peponi.

  • @abadalaali7736
    @abadalaali7736 4 роки тому

    Wale ambao walikuwa hawakuelewi Sasa watakuelewa. Allah akupe kauli thabiti sheikh nyundo

  • @MohamedAhmed-yi1yf
    @MohamedAhmed-yi1yf 4 роки тому +3

    Allah tunamuomba ampe Janah

  • @thuvakonde2584
    @thuvakonde2584 4 роки тому

    Mtu mwema utamjua ktk mazishi yake mwenzetu mwendo kaumaliza vyema Allah ampokee amuweke anapo stahili Inna lillah wa inna ilaihi rajiun

  • @omanseeb8609
    @omanseeb8609 4 роки тому

    Ina lilah wain ilah rajiuna allah atupe mwish mwema

  • @talibuabdil4395
    @talibuabdil4395 4 роки тому +1

    Innaalillaah wainnaailayhi raajiun

  • @الزغويالزغوي-ض3ن
    @الزغويالزغوي-ض3ن 4 роки тому

    إنا لله وإنا إليه راجعوووووون
    اللهم اغفر له وارحمه وعافه وعف عنه

  • @rehemaomar9680
    @rehemaomar9680 4 роки тому

    Allah amlaze pema Peponi

  • @tumakassim6286
    @tumakassim6286 4 роки тому +2

    Innalillahi waina ilaihi rajiun

  • @la_raib953
    @la_raib953 4 роки тому +2

    Chema hakidumu

  • @husseinthabit7302
    @husseinthabit7302 4 роки тому +1

    Inna Lilah wainna ilayhi raajiun

  • @mamysalum5122
    @mamysalum5122 4 роки тому

    Tumeondokewa na kiongoz wetu wazanzibar ila ndio hatma yetu mung amlaze mahalipema pepon amiin😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @aminahamisi8672
    @aminahamisi8672 4 роки тому

    Yaarabi tujalie mwisho mwema

  • @wadimtwana7286
    @wadimtwana7286 4 роки тому

    Inna lillahi wainna ilayhi raajiun

  • @mariamsuleiman437
    @mariamsuleiman437 4 роки тому +4

    Kuzikwa Na watu wengi ni dalili ya peponi

    • @zuleikhakhamis3303
      @zuleikhakhamis3303 4 роки тому

      qur-an ishamaliza kila kitu ata ukisaliwa na watu zaidi ya 40 apo inakua Allah alaam warasuli inakua vizuri sana

  • @MdSumon-jm6xq
    @MdSumon-jm6xq 4 роки тому

    Hatatokea Tena kama nyundo 😭 wanawake tuwe na nidhamu mazikoni kwenye mazishi mmeenda kutafuta nini si mngetua majumbani kwenu na kumuombea dua wanawake tujitambue haturuhusiwi kuchanganyika na wanaume

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 4 роки тому

    Inalilah wainailahi rajiuun

  • @سعدالمنجي
    @سعدالمنجي 4 роки тому

    Allah tunakuomba umrehemu na umjaalie pepo iwe.makazi yake

  • @othmanlida6957
    @othmanlida6957 4 роки тому

    sauti nzuri mtangazaji

  • @hamilcharles6830
    @hamilcharles6830 4 роки тому +2

    Innaalilahi Wainnaailahi Raji'uun

  • @aishahamad3904
    @aishahamad3904 4 роки тому

    Innalillahi Wainna Ilayhi Rajiuun

  • @agriparose3942
    @agriparose3942 4 роки тому

    😭😭😭😭😭shekh Nyundo jamani

  • @farajimzungu9169
    @farajimzungu9169 4 роки тому

    Allah amrehem shekhe wet

  • @abdullayahya8717
    @abdullayahya8717 4 роки тому

    Hapa kila mtu angechangisha sh/1000 basi vizuka wake wa4 alau huzuni ya kuondokewa na mumewao ingepungua kdg

  • @abdallafeda8836
    @abdallafeda8836 4 роки тому

    Muungu amjaalie kauli thabiti, inasikitisha lkn ndo Muungu ashamuhitaji mja wake😥

  • @khamishamad5741
    @khamishamad5741 4 роки тому

    Ili apate kufuzu, na cc 2we w2 wa kheri ili 2ingi3 jannat

  • @maryamsuleiman2944
    @maryamsuleiman2944 4 роки тому

    Innalilah wainnailahi rajiun 😭 😭

  • @shmsmhmd1629
    @shmsmhmd1629 4 роки тому

    hakika allah amrehemu na amsamehe makosa yake madogomadogo alioyafanya kama binahadamu kwani akuna mkamilifu ktk ulimwengu huu isipokuwa allah pekee hakika sisi sote tutarejea kwake kama alivyoteleta ndivyo tutakavyo rejea innalilahi wainnalilahi rajihun

  • @mbugunisaidi6127
    @mbugunisaidi6127 4 роки тому

    Allah ampe kaul thabit

  • @sumaiyamihrma7852
    @sumaiyamihrma7852 4 роки тому

    Innalillah Wainnalillah rajoun 😢😢😢

  • @meryamahmed777
    @meryamahmed777 4 роки тому +1

    Yarabi.mpe.kaul. thabit

  • @tumatuma6478
    @tumatuma6478 4 роки тому +1

    watamama hapo ndo nilikuwa huwa nacheka mkitaniana

  • @miangijunior4358
    @miangijunior4358 4 роки тому

    Assallaam Allaykum Warahmatullahi Wabarakatuh
    TV zote za Zanzibar ikiwemo nyinyi online tv Nawaomba mtafuteni muendeshaji wa (HABARI MATUKIO ONLINE TV ) Mumwambie afute Videos aliyoichukua wakati mwili wa Sheikh Hussein Hassan Nyundo unalazwa kaburini Ndugu zangu Jambo lile ni lafaragha huku tunakoelekea wapi nduguzangu Wallahi ningelikuwa huko Zanzibar huyu jamaa ningemtafuta mm mwenyewe na ningempata Wallahi kitu ambachoningemfanya ingekuwa fundisho kwa wengine wenye tabia hiyo na hatakama amefurahiya kifo Cha Sheikh wetu huyo niyeye Sasa hasijionyeshe dhahiri hivyo mtafuteni huyo (Habari Matukio) online tv mwambieni Afute hiyo Video haraka pale amezuiya tusiweze kucomments Ila tuana wapa nyinyi samu hizi na mfikishieni kwa ajili ya Allah.

  • @ahmeidyoung2410
    @ahmeidyoung2410 4 роки тому +4

    Kila naps inaonya mauti

  • @aishasalumu582
    @aishasalumu582 4 роки тому

    Kila la heri ktk safari yake ya mwisho nasi twaja nyuma yako

  • @mwadinihaji565
    @mwadinihaji565 4 роки тому

    Umetanguli sisi tupo nyuma yko nenda salama dua tunakuombea

  • @yaqoobwahibi2905
    @yaqoobwahibi2905 4 роки тому

    Fatuma wahabi, mungu akunusuru na adhabu za khabri shekhe wetu nyundo napia akuweke mahali pema pepon.

  • @aishaaisha2957
    @aishaaisha2957 4 роки тому +1

    😢😢😢😢😢

  • @fettyameir4514
    @fettyameir4514 4 роки тому +1

    Allah husnul khatma 😢

  • @salmaelhinai833
    @salmaelhinai833 4 роки тому

    Innallilahi wainailahi rajioun

  • @khadijamohanani6476
    @khadijamohanani6476 4 роки тому +1

    Innalillah waina illahi rajiuun