NAMNA YA KULIFANYA NENO LIFANYE KAZI MAISHANI MWAKO ! SEH 2

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 25

  • @tatu-jumaa
    @tatu-jumaa 3 роки тому +3

    Mimi nafuatilia sana haya mafundisho nikiwa kilifi Kenya.mimi ni mshirika wa jumapili lakini I have made up my mind to follow the Lord God of heaven.hasa lile neno la "kanisa la uongo" mchungaji Mungu akutie nguvu ufikilie watu wengi zaidi.amen

  • @Mapenzi2635
    @Mapenzi2635 6 місяців тому

    Umenifunza sana, Pr Mmbaga . Mungu akuzidishe katika Neema zake

  • @RahimaShujaa
    @RahimaShujaa 10 місяців тому

    Mungu akubariki mtumishi Mmbaga unanikenga kiroho ninaposikiza mahubiri yako. Amena

  • @paulinemwangi2664
    @paulinemwangi2664 2 роки тому

    Amen Amen

  • @Vel42
    @Vel42 3 роки тому +2

    AMEN AMEN AMEN Pastor nimepona katika JINA LA YESU.

    • @MahubiriPrMmbaga
      @MahubiriPrMmbaga  3 роки тому +2

      Amen

    • @Vel42
      @Vel42 3 роки тому +1

      @@MahubiriPrMmbaga thankyou Pastor,pray for me and my kids.

  • @leahwainaina4396
    @leahwainaina4396 8 місяців тому +1

    Amen

  • @mercynyanchoka6283
    @mercynyanchoka6283 3 роки тому +1

    Umenijenga kiimani pastor mungu aendelee kukupa maneno ya kunena na wana wa mungu

  • @rodahadhiambo3637
    @rodahadhiambo3637 10 місяців тому

    Amina mchungaji,

  • @vailethkinabo7961
    @vailethkinabo7961 3 роки тому

    Amen Yesu nisaidie nikuze kwa Iman na magonjwa na shida zi

  • @eliudkingori2711
    @eliudkingori2711 3 роки тому

    asante sana PASTOR MUNGU Akubariki sana kwa Neno, niko qatar

  • @upendoeliudi5196
    @upendoeliudi5196 3 роки тому

    Aminaa barikiwa sana pastor Mmbaga

  • @lameckmwita6287
    @lameckmwita6287 3 роки тому

    Mungu atufumbue macho tupate kuona.

  • @samdellaworld5334
    @samdellaworld5334 3 роки тому +2

    natamani xana Contact za huyu Pr. Mmbaga please guy

  • @marsellah9295
    @marsellah9295 Рік тому

    Nakufutilia nikiwa saudia mungu awe pamoja nawe .

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 2 роки тому

    Pastor MBAGA NAKUELEWA SAAAANA YAN NITAIHUBIRI INJILI HADI SHETANI AKOME UBISHI

  • @lindaogada8760
    @lindaogada8760 3 роки тому

    Amen and may God bless you All 👏👏👏

  • @joejonesoficial6482
    @joejonesoficial6482 3 роки тому

    God bless u pastor

  • @mashakaraphael8041
    @mashakaraphael8041 2 роки тому

    Mchungaji hakika wewe ni hazina kubwa ktk nchi hii

  • @esthermsely3537
    @esthermsely3537 2 роки тому

    Amen

  • @alfredmoturi7485
    @alfredmoturi7485 3 роки тому

    Amen

  • @maureenjovial6083
    @maureenjovial6083 3 роки тому

    Amen