_MASIHI 2031_ UNABII WA KUSTUA NDANI YA BIBLIA. PART 2._ EV. SILAS KANUDA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 44

  • @SamsonAthman-vb7pn
    @SamsonAthman-vb7pn Місяць тому +1

    Ubarikiwe sana KANUDA

  • @KabulaEzekiel-w3j
    @KabulaEzekiel-w3j Місяць тому +1

    Mungu akubariki sana 🙏🙏🙏

  • @GrdMwika
    @GrdMwika Місяць тому +1

    Ubarikiwe mtumishi

  • @ChazMakavu-f9w
    @ChazMakavu-f9w Місяць тому +1

    Ubarikiwe mtumishi wa mungu, kwa neno la uzima, kwa hakika unatuongoza vyema katika kulijua andiko, kupitia roho mtakatifu

    • @bibletruthprophecyminister2329
      @bibletruthprophecyminister2329  Місяць тому

      Barikiwa mtumishi

    • @ChazMakavu-f9w
      @ChazMakavu-f9w Місяць тому

      @bibletruthprophecyminister2329 amen

    • @ChazMakavu-f9w
      @ChazMakavu-f9w Місяць тому

      Nataka kuwa muumini wa kanisani kwenu ili nijifunze Zaidi mtumishi wa mungu, mnapatikana maeneo gani kwa hapa dar es salaam,? Sitaki kuungana na huo mpango wa j,pili, mfumo wa kishetani, mana tunapo wahubiria
      Ni nyakati za mwisho hawaelewi kabisaa

  • @robinsonondari
    @robinsonondari Місяць тому +1

    Mungu azidi kukujalia mjungaji,ulimwengu umechoka,nitapataje kitabu cha pambano kuu nakala ya kiswahili.from kenya

  • @AngelaKagendo-r9p
    @AngelaKagendo-r9p Місяць тому +2

    Asante mtumishi. ila la muhimu ni watoto wa Mungu kuishi kila siku kana kwamba ni siku ya mwisho. hakuna ajuaye siku yake ya kifo, tutubu kila wakati ili tukilala mauti mapema, tulale na matumaini ya ufufuo wa kwanza. pia hakuna ajuaye mlango wa rehema utafugwa lini.naomba tujiandae kila wakati tusifungiwe nje. we have only now.

  • @chinyeletsekamana
    @chinyeletsekamana Місяць тому

    Mungu akuongoze mtumishi, heri aaminiye maneno ya Unabii huu na Biblia , tunaomba pia uwe una weka mawasiliano namba za simu, tuna tamani kujifunza zaidi hasa kwa kukuuliza direct

  • @a7mateoSongz
    @a7mateoSongz Місяць тому +1

    Amen Mungu akubariki 🙌

  • @lucywarioba2488
    @lucywarioba2488 Місяць тому +1

    AMEN NABARIKIWA NA MAFUNDISHO YAKO BABA YETU ALIYE MBINGUNI AZID KUKUBARIKI NA KUKUTUNZA

  • @lucasmanyama4677
    @lucasmanyama4677 Місяць тому +1

    Be blessed mtumishi

  • @adonikarova6445
    @adonikarova6445 Місяць тому +1

    Bwana kaka barikiwa kwanza,nataka nijue kwa Mungu tunajua callender ni ya siku 30 pekee sasa lakini huu unabii naona kama unahesabiwa kwa calendar ya kawaida iko je hapo... asante

    • @bibletruthprophecyminister2329
      @bibletruthprophecyminister2329  Місяць тому

      Mwaka WA 31 Ad ilitumika calendar ya Gregory na ndio hiyo iliyotumika na calendar hiyo halibadili kitu kwa Sababu ya makosa ya calendar ya julian calendar ambayo iliku rekebishwa kwa kuongeza masa kaadhaa au siku kwa kalendar ya Gregory hakuna kinachobadilika.

  • @liberatusmboje8332
    @liberatusmboje8332 Місяць тому +1

    Wasabato Huwa hamjifunzi.mlishafeli mara kadhaa,hii nayo ije ikufanye utafute Imani na maarifa ya kweli

  • @ChichaloToy
    @ChichaloToy Місяць тому +1

    Nisawa kabisa hichi nikinchoerea laki watu Huwa bashiii

  • @ChichaloToy
    @ChichaloToy Місяць тому +1

    Ila nikweri kabisa ushali huo mchlo untimia uwe unanesha

  • @ESTERKIBONA-k4h
    @ESTERKIBONA-k4h Місяць тому +1

    Unabii huu huenda ukawa na mashaka maana hata 2000 walisema mwisho wa dunia

  • @amirigogolo6004
    @amirigogolo6004 Місяць тому +1

    Ujumbe wetu sio wa kuweka siku saa miaka au week kitabu Cha matukio ya siku za mwisho sura ya 3

  • @liberatusmboje8332
    @liberatusmboje8332 Місяць тому +1

    Nilikuwepo mwaka 1996 wakati mnapita nyumba Kwa nyumba mkisisitiza mwisho umefika,mlihesabu Kwa mahesabu hayo hayo kuwa 2000 ni mwisho lakini wapi?wasabato Huwa hamjifunzi

    • @bibletruthprophecyminister2329
      @bibletruthprophecyminister2329  Місяць тому +1

      Mahesabu achana nayo mpendwa jitahidi kuachana na dhambi, hii ndio itakuponya, sisi tunakuletea tu ujaribu WA MAREJEO ya YESU ili usijisahau

    • @grecemakalwe8286
      @grecemakalwe8286 Місяць тому

      Pole sana ndugu yangu , hulazimishwi kuamini ukiona kinachofundishwa wewe hukunaliani nacho basi ila muda utaongea na huenda ukaja kujutia sana na hutoweza kurudisha siku nyuma

    • @bibletruthprophecyminister2329
      @bibletruthprophecyminister2329  Місяць тому

      @grecemakalwe8286 kwa kweli

    • @venancenkoronko9250
      @venancenkoronko9250 Місяць тому

      Hawa ni matapeli wa injili , hakuna wanachokijua kuhusu kristo , Ila tu wana kiburi Cha kiroho 😂😂😂, wakikuta umekaa kizembe wanapita na wewe😊

    • @bibletruthprophecyminister2329
      @bibletruthprophecyminister2329  Місяць тому

      @venancenkoronko9250 poleni Sana