- 140
- 166 923
Bible Truth Prophecy Ministers
Приєднався 30 тра 2018
Kusudi la Mungu katika kutoa ujumbe wa malaika wa tatu kwa ulimwengu ni kuandaa watu kusimama waaminifu kwake wakati wa hukumu ya upelelezi. Hili ndilo kusudi ambalo tunaanzisha na kudumisha nyumba zetu za uchapishaji, shule zetu, nyumba zetu za tiba, migahawa safi, vyumba vya matibabu, na viwanda vya chakula. Hili ndilo kusudi letu la kuendeleza kila safu ya kazi katika makusudi. Ms 154, 1902, p. 4. {1MR 228.2}
Golden age, Mfalme Nebukadneza na Marekani katika Unabii . EV. SILAS KANUDA January 22, 2025
Golden age, Mfalme Nebukadneza na Marekani katika Unabii . EV. SILAS KANUDA January 22, 2025
Переглядів: 1 052
Відео
_MASIHI 2031_, UNABII WA KUSTUA NDANI YA BIBLIA. PART 4 EV. SILAS KANUDA
Переглядів 1,9 тис.День тому
"Kusudi la Mungu katika kutoa ujumbe wa malaika wa tatu kwa ulimwengu ni kuandaa watu kusimama waaminifu kwake wakati wa hukumu ya upelelezi." Ms 154, 1902, p. 4. {1MR 228.2} Phone: 255629394311 Whatsapp: 255756669811 Email; silaskanuda@gmail.com Bible truth Prophecy ministers
Uharibifu jiji la los Angeles, ujumbe kuihama Miji mikubwa. Ev. silas kanuda January 13, 2025
Переглядів 937День тому
"Kusudi la Mungu katika kutoa ujumbe wa malaika wa tatu kwa ulimwengu ni kuandaa watu kusimama waaminifu kwake wakati wa hukumu ya upelelezi." Ms 154, 1902, p. 4. {1MR 228.2} Phone: 255629394311 Whatsapp: 255756669811 Email; silaskanuda@gmail.com Bible truth Prophecy ministers
JIJI LA NEW YORK KATIKA UNABII, MHURI WA MUNGU ALIYE HAI NA MVUA YA MASIKA. EV SILAS KANUDA
Переглядів 947Місяць тому
"Kusudi la Mungu katika kutoa ujumbe wa malaika wa tatu kwa ulimwengu ni kuandaa watu kusimama waaminifu kwake wakati wa hukumu ya upelelezi." Ms 154, 1902, p. 4. {1MR 228.2} Phone: 255629394311 Whatsapp: 255756669811 Email; silaskanuda@gmail.com Bible truth Prophecy ministers.
_MASIHI 2031_UNABII WA KUSTUA NDANI YA BIBLIA. PART 3.
Переглядів 852Місяць тому
"Kusudi la Mungu katika kutoa ujumbe wa malaika wa tatu kwa ulimwengu ni kuandaa watu kusimama waaminifu kwake wakati wa hukumu ya upelelezi." Ms 154, 1902, p. 4. {1MR 228.2} Phone: 255629394311 Whatsapp: 255756669811 Email; silaskanuda@gmail.com Bible truth Prophecy ministers.
_MASIHI 2031_ UNABII WA KUSTUA NDANI YA BIBLIA. PART 2._ EV. SILAS KANUDA
Переглядів 1,6 тис.Місяць тому
"Kusudi la Mungu katika kutoa ujumbe wa malaika wa tatu kwa ulimwengu ni kuandaa watu kusimama waaminifu kwake wakati wa hukumu ya upelelezi." Ms 154, 1902, p. 4. {1MR 228.2} Phone: 255629394311. Whatsapp: 255756669811. Email; silaskanuda@gmail.com. Bible truth Prophecy ministers.
_MASIHI 2031_ UNABII WA KUSTUA NDANI YA BIBLIA. PART 1.-EV. SILAS KANUDA
Переглядів 3,3 тис.Місяць тому
"Kusudi la Mungu katika kutoa ujumbe wa malaika wa tatu kwa ulimwengu ni kuandaa watu kusimama waaminifu kwake wakati wa hukumu ya upelelezi." Ms 154, 1902, p. 4. {1MR 228.2} Phone: 255629394311 Whatsapp: 255756669811 Email; silaskanuda@gmail.com Bible truth Prophecy ministers.
JUA JINSI HAMIRA INAVYOUA MAISHA ya KIROHO . NA EV. SILAS KANUDA
Переглядів 764Місяць тому
"Kusudi la Mungu katika kutoa ujumbe wa malaika wa tatu kwa ulimwengu ni kuandaa watu kusimama waaminifu kwake wakati wa hukumu ya upelelezi." Ms 154, 1902, p. 4. {1MR 228.2} Phone: 255629394311 Phone:( 255756669811 Whatsapp) Email; silaskanuda@gmail.com Bible truth Prophecy ministers.
Ushindi Wa dhambi kabla ya Sheria ya jumapili, trump project 2025.
Переглядів 1,2 тис.Місяць тому
{contact; O629394311} Kusudi la Mungu katika kutoa ujumbe wa malaika wa tatu kwa ulimwengu ni kuandaa watu kusimama waaminifu kwake wakati wa hukumu ya upelelezi. Hili ndilo kusudi ambalo tunaanzisha na kudumisha nyumba zetu za uchapishaji, shule zetu, nyumba zetu za tiba, migahawa safi, vyumba vya matibabu, na viwanda vya chakula. Hili ndilo kusudi letu la kuendeleza kila safu ya kazi katika m...
Sheria ya jumapili miaka ya 1888s, WASHINDI Wataimba wimbo WA Musa na mwanakondoo.
Переглядів 1,1 тис.Місяць тому
Kusudi la Mungu katika kutoa ujumbe wa malaika wa tatu kwa ulimwengu ni kuandaa watu kusimama waaminifu kwake wakati wa hukumu ya upelelezi. Hili ndilo kusudi ambalo tunaanzisha na kudumisha nyumba zetu za uchapishaji, shule zetu, nyumba zetu za tiba, migahawa safi, vyumba vya matibabu, na viwanda vya chakula. Hili ndilo kusudi letu la kuendeleza kila safu ya kazi katika makusudi. Ms 154, 1902,...
HAKUNA AJUAYE SIKU WALA SAA, KAULI HII WENGI WATAKOSA MBINGU.
Переглядів 2 тис.2 місяці тому
HAKUNA AJUAYE SIKU WALA SAA, KAULI HII WENGI WATAKOSA MBINGU.
Trump ameshinda uchaguzi marekani, matukio makubwa sana MBELE Yetu, KRISTO anakuja upesi.
Переглядів 3522 місяці тому
Trump ameshinda uchaguzi marekani, matukio makubwa sana MBELE Yetu, KRISTO anakuja upesi.
taratibu dini na serikari America zinakaribiana na karibuni zitaungana, Sunday law update!
Переглядів 3812 місяці тому
taratibu dini na serikari America zinakaribiana na karibuni zitaungana, Sunday law update!
JINA LAKO LIMEANDIKWAJE VITABUNI MBINGUNI?, WAKATI WA TAABU MBELE.
Переглядів 7982 місяці тому
JINA LAKO LIMEANDIKWAJE VITABUNI MBINGUNI?, WAKATI WA TAABU MBELE.
KUFUNGWA KWA HISTORIA YA DUNIA HII KUMEKARIBIA SANA.
Переглядів 1,8 тис.5 місяців тому
KUFUNGWA KWA HISTORIA YA DUNIA HII KUMEKARIBIA SANA.
Mwisho wa miaka 6000, na Ukomo wa dhambi.
Переглядів 5 тис.6 місяців тому
Mwisho wa miaka 6000, na Ukomo wa dhambi.
vuguvugu la mwisho la marejeo ya Yesu, na kufungwa Kwa mlango wa Rehema.
Переглядів 2,9 тис.6 місяців тому
vuguvugu la mwisho la marejeo ya Yesu, na kufungwa Kwa mlango wa Rehema.
WASABATO WASIOTII MAONYO WATAPOTEA.
Переглядів 1,7 тис.6 місяців тому
WASABATO WASIOTII MAONYO WATAPOTEA.
KUISHI MASHAMBANI, KIPANDE CHA MBINGUNI.
Переглядів 1,5 тис.6 місяців тому
KUISHI MASHAMBANI, KIPANDE CHA MBINGUNI.
JE MAMBO HAYO YATAKUWA LINI, NAYO NINI DALILI YA KUJA KWA YESU NA MWISHO WA DUNIA?
Переглядів 1,3 тис.6 місяців тому
JE MAMBO HAYO YATAKUWA LINI, NAYO NINI DALILI YA KUJA KWA YESU NA MWISHO WA DUNIA?
TUMEFIKA WAPI KWENYE UNABII?, JIMBO LA LOUISIANA AMRI ZA MUNGU KUBANDIKWA KILA SHULE NA CHUO.
Переглядів 1,5 тис.7 місяців тому
TUMEFIKA WAPI KWENYE UNABII?, JIMBO LA LOUISIANA AMRI ZA MUNGU KUBANDIKWA KILA SHULE NA CHUO.
pope kuongoza mkutano G7, hivi karibuni kutatokea na mabadiliko makubwa sana duniani, jiandaeni.
Переглядів 3,1 тис.7 місяців тому
pope kuongoza mkutano G7, hivi karibuni kutatokea na mabadiliko makubwa sana duniani, jiandaeni.
papa Francis awa papa wa kwanza kuongoza mjadala G 7
Переглядів 5767 місяців тому
papa Francis awa papa wa kwanza kuongoza mjadala G 7
majesuit na waprotestanti ulaya kuandamana dhidi ya mabadiliko ya hali ya hewa june 22
Переглядів 1,6 тис.7 місяців тому
majesuit na waprotestanti ulaya kuandamana dhidi ya mabadiliko ya hali ya hewa june 22
WASABATO JIANDAENI NA KILIO KIKUU, HAKI KWA IMANI NDIO KIINI CHA UJUMBE WA MALAIKA WATATU.
Переглядів 1,7 тис.7 місяців тому
WASABATO JIANDAENI NA KILIO KIKUU, HAKI KWA IMANI NDIO KIINI CHA UJUMBE WA MALAIKA WATATU.
HATARI MBELE YETU (SUNDAY LAW), JE NI NJIA GANI UMECHAGUA.?
Переглядів 1,3 тис.7 місяців тому
HATARI MBELE YETU (SUNDAY LAW), JE NI NJIA GANI UMECHAGUA.?
MBIO ZA MABADILIKO YA TABIA YA NCHI KUELEKEA COP 29.
Переглядів 4007 місяців тому
MBIO ZA MABADILIKO YA TABIA YA NCHI KUELEKEA COP 29.
Barikiwa mjoli
Amen mjoli
Amen
Jitayarishe wakati nihuu!
Ubarikiwe
Amen
Good God work be blessed
Amen
Amen Amen Amen 🙏 🙌
Barikiwa mtumishi
Waiberania 4: 9 Mm namini
Amen
Ee mlinzi wa zayuni piga mbiu usinyamanze kamwe hadi mwisho.
Amen mlinzi
Songa mbele Shujaa wa MUNGU aliyehai
Amen shujaa barikiwa sasa
Hakika
Amen amen
Ubarikiwe sana mtumishi
Amen mtumishi
Mtumishi naomba unitumie namba yako ya Whatsapp
amina kazi nzuri ntu wa Mungu tumekaribia nyumbani, Tuna mngoja Bwana muda mchache mammbo ni mengi
Amen hakika tuko karibu sana
Waonga na wasioamini , Jehanamu inawangoja , wasabato ,wanaogopa Sana jumapili na kumuogopa papa kuliko thambi ,mnaemuogopa jumapili wakati thambi mnafanya, wajinga kweli nyinyi
Ubalikiwe mjoli😊
Mungu atusaidie.
Amen
God bless you man of God amen 🙏
Amen
Amen 🙏
Amen
Amen 🙏
Amen
Amen mtumishi wabwana
Amen
Asante nimebarikiwa
Barikiwa sana
Ubalikiwe sana mtumishi kwakutuweka tayar
Barikiwa sana Mtumishi
AMINA.mtumishi
Barikiwa sana
ua-cam.com/users/liveteMK5u1ibn4?si=qggZNdY5oDliKRfm Mfatie huyo Ev onyango ana series 7
Jitahidi pia kufuatilia part ya 5
Miaka 6000 haitimii 2031 ,miaka 6000 ilishapita zaman tu , Tuhubiri Yesu anakuja na sio mwaka 2031 kutimia miaka 6000
Asant mjoli, we unaiamini hivo na Mimi ndivyo NINAVYOAMINI barikiwa sana, muda utazungumza kama imepita au bado haijapita tuendelee kujiandaa
Kwanini Umesema , Miaka 6000 imesha timia , Je ilitimia Liniii ?? Ikiwa Roho ya unabii inasema pambano hili litafungwa baada ya miaka 6000, Sasa ikiwa miaka 6000 ilishatimia kwanini Pambano Bado halijafungwa
@simonmhagama-vl7cb woo umeuliza swali la logic sana
Mimi nauliza wakati waliokufa wenye Dhambi watabaki hapo kwa miaka 1000 na walio hai wenye Dhambi watakuwa wapi?
Wenye dhambi walio hai watakufa baada ya ujio wa kristo
Barikiwa sana kwa majibu mazuri mpendwa
Ubarikiwe sana mtu wa MUNGU
Amen mtu WA Mungu
Amina mtumishi somo zuri kwa wakati sahihi.
Amen
Hatukujua Kama ange kuja mapema kiasi hiki
Tujiandae
Amina Ubalikiwe ndugu kwa somo zuri na kutukumbusha
Amen
Amen .asante kwa kunifumbua macho Mungu na azid kukubariki na kukutunza
Amen Barikiwa sana
Amina Kazi nzuri sana, haujasema maneno Yako Bali ni ya Mungu
Amen barikiwa sana
Amen preacher go ahead behold Jesus is coming soon 🙏
Amen be blessed
Barikiwa mhubiri MUNGU aendelee kukutumia kunena iliyo kweli
Amen amen
Mtu wa Mungu mbona namba yako ulionitumia haipatikan?
0629394311 au 0756669811
Ubalikiwe
Amen
Barikiwa sana mtu Mungu
Amen
Mungu atusaidie Mjoli
Mungu akuongoze mtumishi, heri aaminiye maneno ya Unabii huu na Biblia , tunaomba pia uwe una weka mawasiliano namba za simu, tuna tamani kujifunza zaidi hasa kwa kukuuliza direct
0629394311
Hakuna baraka kwa mtu mwenye Dini kuna rana ya uasi maana anaejua kutenda jema lakini hatendi hiyo ni thambi ya uasi Hukumu ya mtu mwenye Dini na mwenye thambi wakawaida nitofauti yule aliejua kutenda jema hakutenda atapigwa sana yule ambae hakujua athabu yake itakuwa ndogo atapigwa kwa ujinga wake kwakutokujua,
Abalikiwe nini ,kachanganya Dini ya sabato na injili huo niuongo injili na Dini ni nuru na giza ,makao makuu ya shetani ni kwenye tasisi za kidini ,humo ameweka watumishi wake wengi mno na ndiyo viongozi wa Dini vyombo vya Dini ni vyombo vya ufitinishaji na kuwa gawa watu,wasiwe na umoja , kila mtu akiwa na dini yake hana amani ni mtu wa dini nyingine neno la Mungu linasema tafuteni kwa bidii kuwa na amani na watu wote bila utakatifu huo hakuna atakae muona Mungu, tafakari hapo ninani mtu alie na Dini atakae muona Mungu ,Kwaneno hilo kukosa amani na mtu wa dini tofauti na Dini yako ,hakuna atakae muona Mungu mtu wa Dini, kuwa na amani na watu wote huo ndiyo utakatifu wa Mungu,kwa kila amwaminie Yesu kristo,Yesu aliwapenda wenye thambi wote,akafa kwajili yao ninani mtu atakaejitoa kufa kwajili ya mwenye thambi alie kuthulumu shamba ,kesi nyingi kwenye mabaraza ni za wanadini ,wazuri ,
Usiçhanganye Dini na wokovu ukitaja Dini ya kisabato nisawa na kumtaja mpinga kristo,watu wadini ndiyo wapinga Kristo,na Kama wewe ni mtu wa Dini ya kisabato na mtu yoyote akikaa kwenye Dini romani sabato kkT Pentecostal Hawa wote ndani yake roho ya Dini ndiyo roho ya uongo Mtumishi akija na injili ya Toba ya Bwana Yesu kristo huyo katumwa na Bwana Yesu kristo, Wewe unachanganya mafundisho ya Dini na wokovu nisawa na kuchanganya mafuta ya taa na maziwa, mitume wa Yesu kristo Walimuhubili Yesu kristo tu,hawakutaja tasisi za Dini ,waliubili hivi tubuni mkabatizwe kwajina la Yesu kristo na mtapokea kipawa Cha Roho mtakatifu,lakini ukihubili injili ya Yesu kristo na ukitaja Dini yako hiyo ni roho ya uongo, usichanganye neno la Mungu na mapokeo ya Dini yako wewe utakuwa miongoni mwa manabii wa uongo, Maana katika bibilia Kuna roho ya mpinga kristo na roho ya unabii wa uongo na sheteni ,roho ya unabii wa uongo imo ndani ya tasisi za kidini ,pili Roho ya mpiga Kristo nayo imo kwenye tasisi za kidini shetani ndie mkuu wao,akiwasimamia na kuwapa nguvu ya kupotosha kweli ya Mungu,toka kwenye tasisi za Dini Hubili neno la Mungu tu kwa wote wenye mwili maana Mungu ni Mungu wa wote wenye mwili, usitaje Dini yako Dini ni pepo la kuwazuga watu,
Wewe ni wewe ujui mtumishi wa Mungu yu kweli pole sana
Mungu akubariki Umesema ukweli wa mambo bila kuongesha Wala kutoa.,tuko pamoja
Amen
Ameen
Barikiwa
Ubarikiwe sana KANUDA
Barikiwa sana Mtumishi WA Yesu
Mtumishi nimekwelewa vizuri mno ,
Barikiwa sana
Prepare for great disappointment,we don't know the time or hour.Time setters like you will lead people astray.
It's ok
Mnambiwa yenye Mungu anafungulia wajumbe wake. yenye hajafunguliwa Mungu mwenyewe atakuja kujibu
Sanaa.tupu
Mtumishi mafundisho ya mahubiri yako yananigusa sana Mungu aendelee kukutumia hivyo sote tuchukue hatua ya kubadilishwa kwa kuacha dhambi kwa kweli tunamhitaji huyu Yesu atuwezeshe na nguvu yake ya Roho Mtakatifu.
Hakika Yesu na awe kiini Cha wokovu wetu