HOUSE GIRL EP 04 | SEASON 2 | love story💞💕

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 жов 2024
  • #bongomovie #housegirl

КОМЕНТАРІ • 631

  • @salumumadukwa5516
    @salumumadukwa5516 2 місяці тому +42

    Anaeamini mke wa chiko atakuja kuwa mke wa Mr Tasha like hapa

  • @AbiMselem
    @AbiMselem 2 місяці тому +22

    Kama unaamin chiko atakosa vyote yan mtoto pamoja na mke gonga like

  • @TumainiMbati
    @TumainiMbati 2 місяці тому +21

    Zatiti nakupenda sana mama yangu achana na chiko anayekutesa mama zatiti nakupenda sana staki kuona chozi lako mpendwa wangu

  • @annayambayamba8614
    @annayambayamba8614 2 місяці тому +197

    Wakwanza kutokea swideni tunao omba zatiti apate mchumba na ndoa yake amkomohe chiko achia like apa❤❤❤😢🎉🎉🎉

    • @MarieOlepa
      @MarieOlepa 2 місяці тому +9

      Zatiti anaendana Na Mr tasha ndio mtu wa kufariji moyo wake

    • @abedysteven4930
      @abedysteven4930 2 місяці тому +2

      Mhhh

    • @Ibraahjr
      @Ibraahjr 2 місяці тому

      Mr tash muoe zatit

    • @fadhilarajabu1440
      @fadhilarajabu1440 2 місяці тому +1

      Zatiti ataolewa na Mr Tasha 😊

    • @violangaira
      @violangaira 2 місяці тому +1

      Mm naona Mr Tasha ndio atamuoa zatiti na atapata ujauzito

  • @Elidasamue
    @Elidasamue 2 місяці тому +25

    Anae amini zatit ataolewa na Tasha agonge like apa

  • @Tumasalo99
    @Tumasalo99 2 місяці тому +11

    House inazd kuwa motrooo🔥🔥🎉.....Nani mwengine anapenda urafiki wa Zatiti na Sandra🥰

  • @نيجي-ن1د
    @نيجي-ن1د 2 місяці тому +12

    Pole daa Zatiti jikaze Mungu anampango mwema na we wanaocheka ss watalia baadaye

    • @monicaMbigi-i1x
      @monicaMbigi-i1x 2 місяці тому

      Ni sahihi kabisa

    • @GOSSOTV
      @GOSSOTV Місяць тому

      Nikwli kabisa zatiti ampate mchumba ili izidi utam

  • @DahuMatata
    @DahuMatata 2 місяці тому +91

    Tunao Amin zatity atakuwa na mahusiano na Tasha week like hapo 😊😊😊

    • @DianaMuyoka
      @DianaMuyoka 2 місяці тому +1

      Walai naona Ivo pia mm😂😂😂 kumbe tunafanana akili

    • @suzan2929
      @suzan2929 2 місяці тому +2

      Lakini zatity anaboo kushinda aki lilia mwanaume mwenye hana haja na yeye

    • @EnosKipngeno-ef2wc
      @EnosKipngeno-ef2wc 2 місяці тому

      Walai tunaombea;;;

    • @hus-keenwizer679
      @hus-keenwizer679 Місяць тому

      Acha kukach feelings n movie😂😂​@@suzan2929

    • @GOSSOTV
      @GOSSOTV Місяць тому +1

      Nikweli zatiti aolewe na tacha

  • @AishaNibizi
    @AishaNibizi 2 місяці тому +56

    Jamani wakwanza kutoka Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 wenye wanafulaiya za titi apate muchumba like zangu jamani

  • @EstherMutisya-rf4qq
    @EstherMutisya-rf4qq 2 місяці тому +11

    Yaani nawapenda sana kai na zuri,,ila we sania sikupendi

  • @ASHANDEGWA
    @ASHANDEGWA 2 місяці тому +19

    Wangapi tunaona Zatiti akiolewa n Mr Tasha😊InshaAllah

  • @brendanawanga
    @brendanawanga 2 місяці тому +5

    Dadangu zatiti usife jamani ww ni rafiki yang plz tulia furaha Yako ipo njiani ❤❤ utapata anaye kupenda zaidi mungu yupo🙏🙏amini Kila kitu Kiko Kwa mbakilio xawa dadangu ❤❤❤❤

  • @BintmohamedNasiri
    @BintmohamedNasiri 2 місяці тому +10

    Zatiti ukisuka unakaaa vzr kuliko kuvaaa mawigi❤yaani we ni mrembo mashaallah

  • @MARYNAGUJustin
    @MARYNAGUJustin 2 місяці тому +8

    Zatiti wangu punde tu utapata furaha hata zuu alipitia hayo sasa anainjoy nakupenda kazi nzuri damani Sania bwana chema chajiuza kibaya chajitembeza hahaha

  • @Hapygideon
    @Hapygideon 2 місяці тому +37

    Mi sijui wangapi ila sijawahi pata like mmmh

    • @LeilaAdija
      @LeilaAdija 2 місяці тому +1

      🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @Hapygideon
      @Hapygideon 2 місяці тому

      @@LeilaAdija thank you

  • @vailethrichard-t3s
    @vailethrichard-t3s 2 місяці тому +33

    Kwa wanaotamani zatiti aoane na Tasha gonga like ❤😂

    • @HawaBeka-t4c
      @HawaBeka-t4c 2 місяці тому

      Utakuwa na wew unaumizwa na mapenz

  • @GloriaNahimana-x8p
    @GloriaNahimana-x8p 2 місяці тому +73

    Mwenye bahati mbaya ata like jamani chipati chijuwi ni kwanini mwenye anafurahia ndoa ya yazuu na KAl anipe like ❤🎉❤

  • @Reyb-oi2hp2jq5u
    @Reyb-oi2hp2jq5u 2 місяці тому +29

    Naona watu wanaomba like basi na mm leo nipen like Yangu nimechelewa😂😊

  • @Carlos_furaha
    @Carlos_furaha 2 місяці тому +25

    leo naomben like hata kumi tuliosubili niwaone 👍

  • @ZeinabBakar-je4nr
    @ZeinabBakar-je4nr 2 місяці тому +10

    Genz nitawatimua mm nawapa like zangu mm hamnpi like ,bt kazi nzuri sana jamani

  • @sharifanyumayo6314
    @sharifanyumayo6314 2 місяці тому +6

    😂😂😂Kama kunaanayeamin mama Tasha kagundua kitu Kwa Sania na kawasikia wanavyojibishana na Zuu tujuane hapa 🎉🎉🎉

  • @AjuwayeTano
    @AjuwayeTano 2 місяці тому +16

    Leo namm nimekuwa wa kwanza namm nipe like ha kum to

  • @AminaNgumba
    @AminaNgumba 2 місяці тому +4

    Yaan hiz like zingekuw hel bas mngetajirik looo😂😂 badal y kuwap mshikamano busat TV waendelee kutoa vtu vzur tuburudik nyie mnaomb like

  • @Fredmsemw
    @Fredmsemw 2 місяці тому +7

    Inamaana mm niloko njombe kupewa like nivigumu mbona mm zenu nalike😂😂😂😂😂

  • @MICHYHAODO
    @MICHYHAODO 2 місяці тому +41

    Wakwanza kutoka Qatar naomba like zenu wadau

  • @marthanassari3524
    @marthanassari3524 2 місяці тому +13

    Mbna kama Zuu na Kai wanamshangaa Sania wangu. Mniachie Sania. Amebadilika jaman.

  • @grasygrasy1701
    @grasygrasy1701 2 місяці тому +5

    Naona ndoa ya zatiti na Mr Tasha ❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @AaAs-u8i
    @AaAs-u8i 2 місяці тому +6

    Nampenda sn Sandra anavyo mfariji zatiti❤❤❤

  • @HyasintaWisdom
    @HyasintaWisdom 2 місяці тому +14

    Wanaosem zatit atakuf au ataishi kwa maneno ya rafki yake gonga like apaa❤❤😅😢

  • @VanessaZumbe
    @VanessaZumbe 2 місяці тому +4

    Hakika nyie mnajuwa kutupatia raha mashabiki zenu nawapenda bure🎉❤❤❤

  • @macrinafuraha-zg3mi
    @macrinafuraha-zg3mi 2 місяці тому +18

    Sania ata uvae nguo yakukuziba vidole vya miguu tena huwezi badilika kwa hali hio umevalia ngozi ya kondoo ndani ni mmbwa mwitu wewe ukiskiza zuu basi utasaidika sana

  • @delickmarco3945
    @delickmarco3945 2 місяці тому +5

    Sasa we zuu toa hayo manywele bhna uwe Kama mwanzo ulikua Good kichwan.

  • @NeemaJohn-s7r
    @NeemaJohn-s7r 2 місяці тому +4

    Hengereni Kawa KAZI nzuri ❤❤

  • @BenditaAguia-md4qp
    @BenditaAguia-md4qp 2 місяці тому +36

    Leo ni mewai kutoka moçambique🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿 naomba like 5 to

  • @Mr.franckayo
    @Mr.franckayo 2 місяці тому +12

    Nmewahi naombni like zang

  • @Mado-p5n
    @Mado-p5n 2 місяці тому +6

    Zuu nakukubali sana naiga mengi kwako

  • @BikyeombeLubembela
    @BikyeombeLubembela 2 місяці тому +9

    Jamani nime wai Leo kweli nipeni like zangu plz nime kuwa wa kwanza ❤❤🎉🎉

  • @mariawawuda
    @mariawawuda 2 місяці тому +7

    Jamani naona house girl inazidi kusisimua ....hongereni sana wa busati🎉🎉🎉🎉

  • @syliviaSoyita
    @syliviaSoyita 2 місяці тому +4

    Chiko bado hujasema labda la kuongezea sijui kama utawai pata mke aina ya zatiti maana uliyatimba pole sana

  • @BintmohamedNasiri
    @BintmohamedNasiri 2 місяці тому +3

    Huyu kai ana wazima haki 😢kwani malaya hafai kuolewa jamani 😊wengine wanafanya umalaya kwa kua hawana wakuwatimizia ila wakipata watu watu saihiii wanaolewa na kutulia na ndoa zao

    • @nurumwinyi796
      @nurumwinyi796 2 місяці тому +1

      Kai anaongea hivyo kwa sababu yameshamkuta kwa candy,baada yakupata ndoa candy hakubadilika ndio alizidi

  • @tausimct
    @tausimct 2 місяці тому +31

    Nimewai jaman naombeni ata like 2

  • @EmmyAsimwe
    @EmmyAsimwe 2 місяці тому +12

    Kama Kuna mwingine zatit amemtoa machoz kama mm gonga like apa

  • @AishaSalum-j4e
    @AishaSalum-j4e 2 місяці тому +8

    Zuuu badilisha wigii hiloo halikupendez kipez ❤️❤️❤️🌹🌹

    • @RoseNjoka_23
      @RoseNjoka_23 2 місяці тому

      Alafu avae na brazia😅

    • @AisherKhamiss
      @AisherKhamiss 2 місяці тому

      Yan hali mpendezi kabisa na hayo malingo kisa kampata kay

    • @AllyMkola-u7e
      @AllyMkola-u7e 2 місяці тому

      Ni muvi ndo imemtaka acheze ivo ila ili uamini zuu ni piss kali basi endelea kuangalia muvi zao zingine.

  • @Naaah-cc3kq
    @Naaah-cc3kq 2 місяці тому +10

    😂😂naomba muache kuomba like atakaye omba mm nayy tunakutana jiandae sana sana wakaka omba uone

    • @MariaSalim-u5z
      @MariaSalim-u5z 2 місяці тому

      Kiukweli wanaboo wew mpaka wananisinya mm😂

    • @Naaah-cc3kq
      @Naaah-cc3kq 2 місяці тому

      @@MariaSalim-u5z Kwa kweli

  • @AdamZainab-mb7qj
    @AdamZainab-mb7qj 2 місяці тому +8

    Jamn nigaieni like 😢 maan Nikiomb sipew😚😚

  • @ZenaAfreka
    @ZenaAfreka 2 місяці тому +2

    njoo zatiti oman 2takufariji😂❤❤

  • @AtuweneNgulo
    @AtuweneNgulo 2 місяці тому +3

    Zatiii acha kulia lia nawe 😂😂 heee!!!!!

  • @BethMkoma
    @BethMkoma 2 місяці тому +21

    Tasha amuoe zatiti jmn Kama unakubaliana na mm like bc

  • @OmaramimoOmar
    @OmaramimoOmar 2 місяці тому +2

    Good my favorite episode!

  • @MaziamJororo
    @MaziamJororo 2 місяці тому +10

    🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤nipen like zangu kutoka oman🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲

  • @NasraJuma-b4v
    @NasraJuma-b4v 2 місяці тому +4

    Mbona bado utamu aujanipata hi sizon 2,nimm tu au

  • @Fathasssane-vs2th
    @Fathasssane-vs2th 2 місяці тому +7

    Team strong❤ tujuane

  • @FatumaShadrak
    @FatumaShadrak 2 місяці тому +5

    Wanao amini zatiti ataolewa na Mr Tasha hebu gonga liki hapo

  • @DamarisDammie
    @DamarisDammie 2 місяці тому +8

    Wale wa kukimbilia kucomment 🤣🤣🤣

  • @habibaniru
    @habibaniru 2 місяці тому +4

    mnaboa Sana nyie watu Kwan hizo like mnazozitaka zinawasaidia nn maana kila mtu like like

  • @FaisalAlrefai-u2y
    @FaisalAlrefai-u2y 2 місяці тому +2

    Zatiti pole sana dadangu njoo nikupee kakangu

  • @SaimoniChacha
    @SaimoniChacha 2 місяці тому +3

    Sijui mm niwangapi nachujua movie nzr mmetisha wanangu Mariam kutoka oman zatiti karib oman tunajiand na wagen

  • @deogratiusyudatadei5658
    @deogratiusyudatadei5658 2 місяці тому +8

    Namba moja🎉

  • @macrinafuraha-zg3mi
    @macrinafuraha-zg3mi 2 місяці тому +7

    Hee nimewahi leo🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @OruchoWilkister-b4q
    @OruchoWilkister-b4q 2 місяці тому +1

    Nampenda sana sandra na moyo wake mzuri ❤❤❤ Kwa satiti

  • @BintmohamedNasiri
    @BintmohamedNasiri 2 місяці тому +2

    Sikuhizi wanaume hawaliliwi zatiti tunaenda nao bampa tu bampa 😂😂😂😂😂we huogopi akimwaga Unga nawe unamwaga mboga watu walale njaaaa😂😂😂😂 au sio team strong

  • @ZuhuraGama
    @ZuhuraGama 2 місяці тому +7

    Jaman mimi kutokea China 🇨🇳 naomben like zangu😢😂

    • @REHEMAMGAYA-s1q
      @REHEMAMGAYA-s1q 2 місяці тому

      Wanao sema zatit atpat mume gongen laik

  • @fatfat9093
    @fatfat9093 2 місяці тому +2

    Sania ww unataka Mr Tasha lazima utawezana kweli hii move inaamafunzo mengi cn kujali utu na urafiki wakweli na kuheshimu wa2

  • @agustinemsambila2501
    @agustinemsambila2501 2 місяці тому +5

    Kazi nzuri

  • @JaffarIliasy
    @JaffarIliasy 2 місяці тому +3

    Naomba ata line moja jamaniiiiiiiii wapenzi wa busati tv please ❤🎉🎉

  • @gracenyauma
    @gracenyauma 2 місяці тому +7

    Qwani izi likes mnaomba ziko na maana ngani nami ntaka walai

  • @daxpcomandomz3450
    @daxpcomandomz3450 2 місяці тому +4

    Wakwanza Leo love much from 🇲🇿 Mozambique

  • @MustyNgongo
    @MustyNgongo 2 місяці тому +4

    Kutoka sauth tasha awoane na tasha ingependeza xnaaa jmn ata like mbili 2

    • @JemimahNzai
      @JemimahNzai 2 місяці тому

      Kwahio tasha aoane na tashaaa so tasha ajioe😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀

    • @MaryamMaryam-ru1qt
      @MaryamMaryam-ru1qt 2 місяці тому

      Hahaha jmn kakosea2​@@JemimahNzai

  • @HidayaAbdallah-l2l
    @HidayaAbdallah-l2l 2 місяці тому +2

    Haya jmn tunapata mafunzo na Raha pia ❤❤❤❤❤❤

  • @ShamimAbdul-tf3fw
    @ShamimAbdul-tf3fw 2 місяці тому +1

    Kay mi sjapenda kila umuoneapo Sania bs wew wamwijia Tasha juuu,, acha alikuambia mara gp han mausiano na Sania sjapenda kuona Tasha akiwa naasira bhan..

  • @Byaunda-zi7ue
    @Byaunda-zi7ue 2 місяці тому

    Kazi zuri sana kweli Muna juwakuingizasana Kai na zuu nawatakia ndowanjema tena muzaewatoto wazuritu Mungu awalinde beautiful. Butterfly 🦋❤❤❤❤

  • @افااقع
    @افااقع 2 місяці тому +1

    Zatiti yani unalia kwa uchungu sana mpaka unanitoa machozi wee nimrembo sana usikate tamaa❤❤❤🎉🎉karibi hapa🇰🇪🇰🇪

  • @JoinaKahwa
    @JoinaKahwa 2 місяці тому +6

    Fanyeni mchakato tasha amuoe zatiti arudishe furaha yake kwani wanaendana

  • @Wraptablet416
    @Wraptablet416 2 місяці тому

    Wimbo mzuri akika ❤❤❤unaitwaje plz naombeni Jina la wimbo wausika🎉🎉🎉

  • @LadyKCG
    @LadyKCG 2 місяці тому +3

    Huku watu hawalali aki thank you so much busati tv kwa kazi nzuri 🙏

  • @RahimaHussein-vm5ux
    @RahimaHussein-vm5ux 2 місяці тому +3

    Ila sania 😂asisikie wanaongelea abar za mke mwema ashawmda kupiga magoti😂😂😂😂

  • @SalomeSumbizi-ll9wc
    @SalomeSumbizi-ll9wc 2 місяці тому +2

    Naiona Couple ya Zatiti na Mr Tasha ebu iwe Ivo jmn🎉🎉❤

  • @jovithakawimbe7472
    @jovithakawimbe7472 2 місяці тому +5

    Kila mtu amewahi amewahi na kutaka like ivi mnajifunza kweli😊

  • @محمدالقحطاني-ظ3ط1ص
    @محمدالقحطاني-ظ3ط1ص 2 місяці тому +2

    Zatiti imetosha unalia adi unaniliza hata mimi mpenzi mtazamaji❤❤❤

  • @gloryjoseph8663
    @gloryjoseph8663 2 місяці тому +2

    Wanaosema mama Tasha amefanana na Tasha kweli like hapa.

  • @DanielDominick-qs6sk
    @DanielDominick-qs6sk 2 місяці тому +6

    Wa kwanza jaman lik zeb ata 5

  • @StellaNamasaka-id3vb
    @StellaNamasaka-id3vb 2 місяці тому +2

    Kazi suri na ❤❤❤

  • @Sayd-pi5lq
    @Sayd-pi5lq 2 місяці тому +1

    Wadau me naic huu mziki soon nitakua kwenye penz la dada wa kaz umeisha mda wake mana tyr nipo kwenye penz mm 😂😂😂😂😂

  • @JanetRiziki-ut2is
    @JanetRiziki-ut2is 2 місяці тому +2

    Haya mr tasha kazi unayo 😂😂😂😂

  • @EdjustaBenedicto
    @EdjustaBenedicto 2 місяці тому +3

    Gonga like kwa ajiri ya Sandra Ni rafki mwemaaa

  • @NadiaRamadhan-q1m
    @NadiaRamadhan-q1m 2 місяці тому +2

    Waooh Kay anamuchukia Sania kwa7bu yamukeo muuh nipeni like yangu

  • @MaltaHabyalemye
    @MaltaHabyalemye 2 місяці тому +2

    Vema kabsa.
    Filam hiyi ni number one

  • @SaumuJumwa-u4v
    @SaumuJumwa-u4v 2 місяці тому +1

    Team strong 💪 njooni tupamban asubui sai 😢halafu wenye wanajua dada wa chiko atammiss zatiti gonga likes hapa😂😂😂

  • @NoorAli-gk8bj
    @NoorAli-gk8bj 2 місяці тому +2

    Pole sana zatiti Jmn adi unani toa machozi duh

  • @Anna-li9by
    @Anna-li9by 2 місяці тому +1

    Zuuu kavue Hilo wigi bhana dar

  • @aminajuma-rw2rt
    @aminajuma-rw2rt 2 місяці тому +4

    Kiukweli mie nimempenda lafiki ake zatiti ao watu ni watu jaman na mie napenda

  • @Phoebenafula
    @Phoebenafula 2 місяці тому +2

    Ijapo nimechelewa lakini nimefika nyote rudi mnipe likes zenu❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥🔥🌹🌹

  • @amisjafar-pd4tg
    @amisjafar-pd4tg Місяць тому

    mimi naomba sana zatiti aolewe na tasha kama mnaniunga mkon gongen like❤❤❤❤

  • @RehemaNgumbao-f1s
    @RehemaNgumbao-f1s 2 місяці тому +1

    Hongeren ❤❤sana team kai nyote nawapenda❤❤

  • @samiasalum9690
    @samiasalum9690 2 місяці тому +4

    Kai utanikera sasa Acha kufatilia maisha ya watu dili na maisha yako Bana aiiiiiii

  • @JosephineMbelwa-jy3qy
    @JosephineMbelwa-jy3qy 2 місяці тому +1

    Natamani nipate rafiki. Kama rafki ake zatiti 🎉🎉🎉❤

  • @Sofiashabani780
    @Sofiashabani780 2 місяці тому +2

    Nitaagalia badae kwaumakini bayeeeee😂😂😂😂😂😂

  • @KamselaOg
    @KamselaOg 2 місяці тому +5

    Safi sana

  • @hawaali8371
    @hawaali8371 2 місяці тому

    Wamwisho Kutoka Qatar.🎉🎉❤. Hongereni Kwa Kazi Nzuri Yenyeafunzo

  • @thomasmwaipale2621
    @thomasmwaipale2621 2 місяці тому +3

    Wadada naombeni likes zenu tu ❤