MBUNGE AKERWA UPIGAJI ADAI "WANAIBA KWA CONNECTION TUTASEMA MPAKA WATUUWE” APENDEKEZA ADHABU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 13

  • @personalitiesan9806
    @personalitiesan9806 Місяць тому +2

    Hii nchi aliyeiza ni magufuli tu......😢😢😢

  • @DeusJackson
    @DeusJackson Місяць тому

    good job 🔥

  • @atimanamanga6289
    @atimanamanga6289 Місяць тому +1

    Wale wezi waliokuwa wanajilipa milioni 400 kwa siku aliowataja Waziri mkuu wako wapi na walichukuliwa hatua gani? Kama hawakuchukuliwa hatua hao, basi usitegemee hawa wengine kuchukuliwa hatua

  • @merrymwakunje4108
    @merrymwakunje4108 Місяць тому +1

    Halaf mm muuza viaz nisipolipa ushur gunia moja fain laki mbili200000 muwe nahuruma halaf muneweza sema zipo wap hizo pesa

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 Місяць тому

    Hukuwekwa bungeni kufanya kamempeni ya kupigiwa kura. Kama mko wasafi wizi ni ubora? Serikali gani inayojisifia kuiba peas za serikali. Na hizo pesa ni za wanainchi siyo za CCM

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 Місяць тому

    Mbona hakuna hata kinachochukuliwa? Ni kama mnawafurahishwa waraji tu? Toka mama amaingia watu wako kura pesa tu na hakuna hata kinachochukuliwa?

  • @mr.erickmwacha8575
    @mr.erickmwacha8575 Місяць тому

    tope tenaa, kizembe hvyo, tope kwa sheria gani sasa.

  • @clauschaula2050
    @clauschaula2050 Місяць тому

    Uzalendo haupo nchini.Baadhi ya wanaoteuliwa ni wezi tu.

  • @jishiwasungwa9758
    @jishiwasungwa9758 Місяць тому +1

    mchango mzuri sana shida utekelezaji wa selikari ndio haupo yanaishia bungeni kama hadithi tu yakusimulia Kila mwaka

  • @jizzotheking9238
    @jizzotheking9238 Місяць тому

    hv ni lin mtaacha drama?? mkiwa mnaongea bungeni mnawamanipulate watanzania like mko na bifu lakin mkitok huko mnagonga cheers

  • @edsonpetro3754
    @edsonpetro3754 Місяць тому

    tuna changamoto kubwa

  • @lucasmasumbuko2098
    @lucasmasumbuko2098 Місяць тому

    Sema mumeambiwa ukwel Wala so kwamba

  • @jitabojilala6162
    @jitabojilala6162 Місяць тому

    Hivi kila mwaka mnatuona kama wajinga watu wanaiba mnawatazama tu? Aisee