VIBE LA ALLY KAMWE AKISHUHUDIA CHUMA 4 ZA YANGA DHIDI YA KAIZER CHIEF NDANI YA UJUGU ARENA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024
  • #DaimaMbeleNyumaMwiko #TimuYaWananchi
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 102

  • @violethNamz
    @violethNamz 2 місяці тому +19

    Hongereni sana Kaka zangu. Ali unaonekana uko POA sana ata kwa team yako Mungu akubariki.

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 2 місяці тому +15

    Hongera semaji Ali kamwe 🎉🎉🎉🎉

  • @halimamwingu4478
    @halimamwingu4478 2 місяці тому +20

    Huyu Ali Kamwe yuko social sn, hakai ofisini muda wote. Anakuja kitaa kuchanganyika na sisi wananchi wenzake! Ali Kamwe miaka 10000000000

    • @JumbeOjaso
      @JumbeOjaso 2 місяці тому +1

      Ally kamwe Atapimwa kwa idadi ya wanachama wapya , wale wazamani wanaolipa ada, na mashabiki wanao ingia viwanjani.
      Huku kitaa Yanga hajawahi kupungukiwa hamasa.
      Yanga inahitaji fedha ili ijiendeshe 😮😮

    • @Nope6e07
      @Nope6e07 2 місяці тому +2

      ​@@JumbeOjasokamwe kaongeza wanachama wengi

    • @Nope6e07
      @Nope6e07 2 місяці тому +1

      Wanachama wanakuja tm ikiperform

    • @Nope6e07
      @Nope6e07 2 місяці тому +1

      Wanachama wanakuja tm ikiperform

    • @Nope6e07
      @Nope6e07 2 місяці тому +1

      Na si makelele

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 2 місяці тому +14

    Hongera injinia hersi 🎉🎉🎉🎉

  • @scopy0428
    @scopy0428 2 місяці тому +8

    Ugenin kama Nyumban this is Young Africans

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 2 місяці тому +13

    Daima mbele nyuma mwiko 🎉🎉🎉

  • @halimamwingu4478
    @halimamwingu4478 2 місяці тому +5

    Hii ndio mtaa kwa mtaa sasa 💚💚💚

  • @AchileusNshekanabo
    @AchileusNshekanabo 2 місяці тому +11

    Ndan ya mtaa Al kamwe

  • @patridabernard9148
    @patridabernard9148 2 місяці тому +10

    Eti vitenge ,ila bora ya vitenge vyetu kuliko sanda za makolo na mshaanza kuvaa sanda misri huko

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 2 місяці тому +7

    Aziii z10 africa🎉🎉🎉

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 2 місяці тому +9

    Yanga 🎉🎉🎉🎉

  • @ivonesadah112
    @ivonesadah112 2 місяці тому +5

    Kumbe hapo ndo kwa ujugu😂

  • @amaniomar1755
    @amaniomar1755 2 місяці тому +4

    Mwenyekiti 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MohammedSuleiman-l2b
    @MohammedSuleiman-l2b 2 місяці тому +7

    Daima mbele ❤❤

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 2 місяці тому +6

    Ally kamwe yanga umekuja na mguu mzuri wa mafanikio.

  • @SuhuurFarxaan
    @SuhuurFarxaan 2 місяці тому +20

    Likes za kamwe hapa semaji letu lenye makombe yake mjini🎉

  • @levinathomas6526
    @levinathomas6526 2 місяці тому +9

    Jangwani 🔥🔥🔥

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 2 місяці тому +7

    Yanga🎉

  • @patridabernard9148
    @patridabernard9148 2 місяці тому +6

    Hadi rahaaaa

  • @OlivaMHANDO
    @OlivaMHANDO 2 місяці тому +1

    Mubarikiwe sana aiseee, mumepigaje apo wanainchi

  • @THEQUILLSTORY
    @THEQUILLSTORY 2 місяці тому +2

    Ko leo kamwe hukua na vibe, ulijua ndo moment ya mwisho kua na nafas ya semaj !!!!😢😢😢

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 2 місяці тому +7

    Kila la kher4🎉🎉🎉🎉🎉

  • @isakwisangakongwa4950
    @isakwisangakongwa4950 2 місяці тому +13

    Hamuogopii😂

  • @shaibusaady2420
    @shaibusaady2420 2 місяці тому +4

    Allaah Akbar

  • @abubakaliyahaya2968
    @abubakaliyahaya2968 2 місяці тому +5

    Daima mbele nyuma mwiko

  • @laurencdeo
    @laurencdeo 2 місяці тому +3

    Mzee mpiri...mtampa kisukari😊😊😊😂😂😂

  • @YusuphFanuel
    @YusuphFanuel 2 місяці тому +7

    Wakwanza Mimi apa

  • @DenisSanga-bj5ud
    @DenisSanga-bj5ud 2 місяці тому +3

    Hii ndio maana ya timu ya wanachi

  • @SRONLINETV
    @SRONLINETV 2 місяці тому +24

    Naombeni like zangu

    • @radhiamussa1629
      @radhiamussa1629 2 місяці тому +1

      Kama ulizowekesha vile 😂😂😂 haya niishakupa comasava🖐️

  • @ceciliaathanas751
    @ceciliaathanas751 2 місяці тому +3

    Ndani ya Ujugu Arena 😂😂

  • @eliasmsira2025asdfghjkl
    @eliasmsira2025asdfghjkl 2 місяці тому +1

    Niachie yanga yanguuuuuuuuuuuuuuuuuu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉

  • @DicksonNasibu-tv7vr
    @DicksonNasibu-tv7vr 2 місяці тому +5

    Piga sana

  • @SuleimanMohamed-kw4gh
    @SuleimanMohamed-kw4gh 2 місяці тому

    Polepoleni Basi mikono hiyo na mafeni wenzangu hiyo 😊😊😅😅😅

  • @YusuphFanuel
    @YusuphFanuel 2 місяці тому +6

    Wakwanza

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 2 місяці тому +4

    🤣🤣🤣🤣🤣 awaleti team DANDA

  • @AmaniOmari-ev2gu
    @AmaniOmari-ev2gu 2 місяці тому +1

    Yanga bingwa ❤❤❤❤❤❤❤

  • @aziziabeid6052
    @aziziabeid6052 2 місяці тому +6

    Zamu yangu

  • @hamisishabani4072
    @hamisishabani4072 2 місяці тому +3

    HUU MOTO YANGA MBONI HATARII.YAANI RAHA MPAKA KUMOYO.

  • @patridabernard9148
    @patridabernard9148 2 місяці тому +5

    Hivi hamuogopi??

  • @zakayomaendeleo
    @zakayomaendeleo 2 місяці тому +4

    💚💛

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 2 місяці тому +5

    Dubeeeeee1

  • @KudraEliasa
    @KudraEliasa 2 місяці тому +1

    Hadi lah San jmn yanga laha San jmn Ali kamwe uko vizuli san🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Arashamael
    @Arashamael 2 місяці тому +4

    ❤❤

  • @PhilomenaSteven-x9h
    @PhilomenaSteven-x9h 2 місяці тому

    Jezi taaaaam balaaah 💛💛💚💚💚💚💚

  • @AswilaSeif
    @AswilaSeif 2 місяці тому

    Ali kamwa ❤❤❤🎉Anachangamsha Sana yanga Hana mchezo Ali yupo juuuui🎉🎉🎉❤😂😂

  • @jacktanjackson6434
    @jacktanjackson6434 2 місяці тому +1

    Shaffii Dauda si amesema Alikamwe Kajiuzulu au

  • @GetuliBasso
    @GetuliBasso 2 місяці тому +2

    Ee MUNGU Ibariki Yanga.

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv 2 місяці тому +5

    WE HUOGOPIIIIIII😂😂😂😂

  • @mwajayhaxxan5507
    @mwajayhaxxan5507 2 місяці тому +2

    Daaah hiii video nimeangalia mara 2 🥺🥺🥺mpaka raha yaaan

  • @andersonbruno6255
    @andersonbruno6255 2 місяці тому

    Jaman jaman Ally kamwe mungezee mkataba msemaji bora kwa sasa Tanzania Ally kamwe Asiondoke tafadhar viongozi wetu🙏🙏🙏🙏🔰🔰🔰🔰🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @SubiraMohammed-ks6qg
    @SubiraMohammed-ks6qg 2 місяці тому +2

    Ila semaji jamani hadi raha

  • @alishaplate6290
    @alishaplate6290 2 місяці тому +1

    Jmn huku wanasema aliy kamwe amejihuzuru

  • @GeradinaJohn-xh8pw
    @GeradinaJohn-xh8pw 2 місяці тому +4

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MalinoKadwame-u1c
    @MalinoKadwame-u1c 2 місяці тому +2

    Sas itakuaje kiukweli haji manara inakiwa awe muhamasishaj sio afisa habali kamwe anatosh

  • @radhiamussa1629
    @radhiamussa1629 2 місяці тому +1

    Naachaje kitoogopa mmetisha wapambanaji wetu natumai mtauafanyia kazi mapungufu madogomadogo hasa upande wa kushoto kaizer walijaribu kutushambulia kama wangekuwa very clinical na hisingekuwa uzoefu wa kipa wangepata ata goli moja la kufutia machozi,pia muendelee kufanyia kazi fitness izidi kuimarika,pumzi zakutosha,na speed ya 10G 😁 yaani mapaka waje watubu kwamba team yetu haina wazee na japo wanajificha hawataki tuyaone madhaifu yao ila msijethubutu kuingia mtegoni kwa maneno yao mihimu kufocus na yanayotuhusu ili mwisho wa siku kutimiza malengo yetu especially ngao ya jamii tuanze kunyanyua kwapa kwa hilo kombe pia mzize alikuwa bora sana leo especially anapocheza pembeni alikuwa 🔥 nawaombea kila la kheri mzidi kuimarika ili kutupa furaha zaidi🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @radhiamussa1629
    @radhiamussa1629 2 місяці тому +1

    Song la kibabe la kufanya mazishi ya sanda FC 😂😂😂😂😂🖐️

  • @Maryc2G
    @Maryc2G 2 місяці тому +1

    Yanga hii tutafurahi sana . Kama wewe ni mwana yanga na unafuraha kama mimi kwa ushindi huu gonga hapo chini.

  • @PhilomenaSteven-x9h
    @PhilomenaSteven-x9h 2 місяці тому

    Manara ataweza kupita vichocholoni watuachie Ally kamwe wetu bana

  • @theodoryitambu7652
    @theodoryitambu7652 2 місяці тому +1

    Ally kamwe wale wanaigeria wa football itel waleteni siku ya yanga day

  • @MelisaWilfred
    @MelisaWilfred 2 місяці тому +1

    Kwel kamwe we ndo wakujihudhuri?,me hata siamini

  • @JumaMngumba
    @JumaMngumba 2 місяці тому +1

    🔥🔥🔥🎉🎉

  • @IbrahimMohamed-c3c
    @IbrahimMohamed-c3c 2 місяці тому +1

    💛💚👏🏾

  • @BeathaJoackim
    @BeathaJoackim 2 місяці тому +1

    Nyie hamuogopi hata kucomment ,😁😁 yanga forever 💛💚

  • @AswilaSeif
    @AswilaSeif 2 місяці тому

    ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉😂namba wani wanachi

  • @omaryluambano3495
    @omaryluambano3495 2 місяці тому

    Mzee mpili ndani ya mjengo ujugu arena

  • @EutropiaMinja-rx8sv
    @EutropiaMinja-rx8sv 2 місяці тому

    Ally usijiuzulu mwanangu kipenziiii!!!!!

  • @nuruelmada2877
    @nuruelmada2877 2 місяці тому

    Me nafuraha tyu😅😅😅💚💛

  • @AmaniOmari-ev2gu
    @AmaniOmari-ev2gu 2 місяці тому +1

    Simba asilete timu tarehe 8 Yani atapigwa 8

  • @AllyHaji-w1j
    @AllyHaji-w1j 2 місяці тому

    💛💛💚💚🏅🏆🎖

  • @bkmshiko1816
    @bkmshiko1816 2 місяці тому

    Wangapi wamemuona castor Yanga

  • @Nope6e07
    @Nope6e07 2 місяці тому

    Kamwe mkuu Rudi home YANGA

  • @issakapama5309
    @issakapama5309 2 місяці тому

    Alli usijiuzulu ss tunakupenda utatupajakaroho ukijiuzulu

  • @brownmasai774
    @brownmasai774 2 місяці тому

    Vibe kama holi😢?nani atavumilia limpitie mbali?!

  • @ThuwaibaMkana
    @ThuwaibaMkana 2 місяці тому +1

    😂😂😂😂😂

  • @Nope6e07
    @Nope6e07 2 місяці тому

    Injinia unaona hii na unavunga sio mleteni kamwe

    • @Nope6e07
      @Nope6e07 2 місяці тому

      Kamwe anaupiga mwingi

    • @Nope6e07
      @Nope6e07 2 місяці тому

      Yoyote anaetaka kumtoa kamwe atatoka

    • @Nope6e07
      @Nope6e07 2 місяці тому

      Hapa yanga ni kamwe tunamjua huyo mwngne atulie na zay Lissa

    • @Nope6e07
      @Nope6e07 2 місяці тому

      Hii timu ni yetu ss wananchi na tunamtaka atabaki

    • @Nope6e07
      @Nope6e07 2 місяці тому

      Kamwe mwanetu Rudi home

  • @JosephDaudi-n5l
    @JosephDaudi-n5l 2 місяці тому +1

    Kikwetu utopolo ni mmewamtu

    • @Latifa-m4u
      @Latifa-m4u 2 місяці тому

      mmewenu simba sc

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 2 місяці тому +1

      Kwetu mke wa mtu tena mtu mwenyewe kolo😆😆😆

  • @amanizavala
    @amanizavala 2 місяці тому

    Utopolo mmevaa vitenge vyenu

    • @GeradinaJohn-xh8pw
      @GeradinaJohn-xh8pw 2 місяці тому +2

      Mshapigwa uko na Telecom kaangalie

    • @Latifa-m4u
      @Latifa-m4u 2 місяці тому

      ngoja tukutane na vitenge vyetu nyie na sanda zenu itajulikana nan maiti😮😮

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 2 місяці тому +1

      😂😂😂😂 jikague sio kwa sandakalawe 😂😂😂 zenu

    • @LuciaMagari-h8o
      @LuciaMagari-h8o 2 місяці тому

      Vtenge na sanda ko Bora?!!

  • @Tassyomy
    @Tassyomy 2 місяці тому +2

    𝐀𝐋𝐈 𝐊𝐀𝐌𝐖𝐄 𝐓𝐔𝐓𝐀𝐊𝐔𝐌𝐈𝐒 𝐒𝐀𝐍𝐀 𝐊𝐖𝐄𝐍𝐘𝐄 𝐓𝐀𝐒𝐍𝐈𝐀 𝐘𝐀 𝐔𝐒𝐄𝐌𝐀𝐉𝐈😢

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 2 місяці тому +7

    Yanga 🎉🎉🎉

  • @GwantwaKyangwe
    @GwantwaKyangwe 2 місяці тому +1

    Daima mbele nyuma mwiko