Pendo,wewe ni mjinga sana,mbona haukutaarifu pasco mapema wakati ulikuwa bado uko kwao,kablah Micah hajatoka kwa hiyo nyumba ili watoe taarifa police,Micah akamatwe haraka xana.
Huyu Pendo ni msenge na mshamba pia alf mnavyotunga story mtuambie na ukweli hata kidg bn maana kwa hali ya kawaida amna mtu anayekaa Kmy hivi na kitu kinachompa maumivu😢
Nmewah ngoja nfurahi Asante luks nasmulz mx
Mimi ninge muambea kweli boss wangu
Nakukubali kwa simulizi bomba 🥰
Ninge mwambia my boo
Hii simulizi inaonekana nzuri sana Mr Lumbasi nakukubali sana wewe na anko j mko vizuri
Ningeenda polisi kulipoti
Simulizi hiyi nitamu sana kwakweli hadi na enjoy ❤️❤️❤️❤️
Story n tamu kwa kweli... Lkn !!!!!!!!!!!!
Mm ningelisem
Huyu demu ni mpuuzi mmoja ,atawezaje kumficha jambazi ,kwa maneno tu.
Umeonaeee
Ndugu naombeni mwenye no ya huyu mwenye simulizi nitumiwe part 2 please
Wow am the first once again siku hizi najitajidi kuwahi asante simulizi mix kwa kibao kipya na mzee mzma bw.lumbasi 👍
Sijachelewa sanaaa achanikae mkao wikula nijue kilicho jiri
Mininge mwambia Pasco mapemaa
Simulizi nzur jaman 👌
Jamani hivi kweli wee pendo unaakili au una madudu kichwani muongo msaliti nakuchukia pendo wanawake kama wewe wana boa mshamba
Nimeipenda hii simuluzi Kwa sababu inafundisha , Asante🙏 Kwa simulizi🥰😍
Sema ukweli uokoe uwapendao
Kwanza namimi nasikia uwogaa umenitandaa🙉🙉🙉😿😿🙈🙈
Ninge mwambiya boss.
Pendo ameniudhi kwa tabia yake ya kunyamaza heri tu angekua muazi basi mengi hayangetokea ila simulizi hii ni nzuri sana Asante Lucus
Umeonaa..unajivesha tu ushujaa
Napenda simuliz sana voice yako🥰
Part 2 jameni iko ao
Wawoo simuliz nzul sana💓💓💓
Simulizi tamu sana ila sauti ingekuwa ni mwanamke inge pendeza zaidi
Uwiiiiiiii jamaniiii luca umetisha kinomanomaaaa ❤
Waoooo!!!! It's nice too
Mimi ningepia simu porisi
NINGEKWENDA POLISI MARA MOJA. LINALOKUWA NA LIWE.
Kwenye mambo ya ndoa ni bora uamue mwenyewe bila woga kuliko kuogopa wakati maisha yanakuhusu mwenyewe,na ndoa siyo mali,ni upendo
Ningekwenda police department kwani iko Nini 😢😢😢
Jaman mi nakasirika mapenzi ya kulazimishana jaman, kwanini Upendo asimwambie ukweli boo wake jaman aaaaah!!
Mimi cwezi kuvumilia nasema kila kitu hata nikiuwawa ila nasema angalau naweza kunusuru wengne
Umeonaeee
jaman pendo heshomu kazi yako
Mr Lumbasi tunasubili part 2 jamani vipi
Wajua ukimnya mbaya ukitaka kuogoa watu lazima uwe jasiri
Pliiz pliiz please kaka Luka next part ischelewe maana utamu kunogaaa!
Kweli kwanza leo nimengoja mpaka nimechoka 😢
Yani mtanichoka kwakweli ninge sema tu
Napaswa kuambia wazazi wangu
Hey Mr Lucas please i need part two
Kwakweli nimutihani
Makosa kabisa ugeze ambit ukweli
Mi leo wa kwanza nipeeni likes zenu ❤
Lucas sehemu ya pili please 🙏🇰🇪
Mmmmh
Wakwanza leo
Wanawake wote wakwenye simulizi mabikra😂😂😂😂
Ata mm nashaga jamani 😂😂😂
Mm nigesema ukweli yote nisige tulia😢😢
🤣🤣Yan hata mm nashangaa wote bikra ❤❤mara kuzama chumvini😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
Mm ningesema
Ulikuwa umepotelea wapi Mr Lucas
Pendo ungemweleza doctor ukweli
Ningefunga nikiomba lucas
Ningesema,TU ukweli mana ukweli huweka mtu huru
Yes
Angemwambia Pasco ila Pasco akaakti kama hakuna kitu
Watu mnalala group au
Siezi ficha jambazi mm ningesema2
Uende polisi
asa part 2 ikwapi
Hiyo story ya pendo ya kuwa mjinga imeniudhi.
Please part 2 please please
Ningeenda kuriport police
Nime chelewa sana ila simbaya acha nisikilize kwaza 😊😊❤🎉
iIa pendo umenisinya tu ww
Naitwa moudi kwa mimi nalikod kisha napeleka kituocha polisi
Shida yetu ni uoga kuna siri ni zakuficha but zengine nizakuongea ili kusaidia wengine
Ni kweli mm siezi nyamaza bora nife mm kuliko kusababishia watu matatizo kama sijui sawa lakin najua sinyamazi
Sema ukweli
Ningewezaka kutafuta njiya nyingine na kumuomba Mungu
Hichi kipendo jaman eeeh usifanye hivyo
Wachia ingine please 😢
Part 2 iko wap
Ningemwambia pasco
Pendo,wewe ni mjinga sana,mbona haukutaarifu pasco mapema wakati ulikuwa bado uko kwao,kablah Micah hajatoka kwa hiyo nyumba ili watoe taarifa police,Micah akamatwe haraka xana.
Ila pendo Hana akili kabsa kwann asimtafute p wake, na tangu mwanzo angesema ukweli kuhusu akim asingeteseka ivo , mjinga pendo
Mhmm!huyu Pendo hajitambui kabisa
Uyu Pendo nimuntugani fahamisha Porisi Famiria yamupenzi wako nasikia ucungu apa niripo😭😭😭😭😭😭
Jamani wanawake baadhi yao wamekuwa hawana akir
Huyu Pendo ni msenge na mshamba pia alf mnavyotunga story mtuambie na ukweli hata kidg bn maana kwa hali ya kawaida amna mtu anayekaa Kmy hivi na kitu kinachompa maumivu😢
Ningekuwa kila nikiingia offisini..nazimia
Muendelezo tafadhali
Pendo anaolewa na mimba 😔
Ni tarifu police
Very stor ❤❤😊
Sijaipenda kabisa akili mbaya ya pendo ya
Pendo unauzi sana unanyamaza nini Sasa shauri yako
😊😊😊
Atr nanusu kitu kumoyo hasa uuuiìii
Ngekuwa mm ngenda polic na kujieka muaz
Lucas I love your voice 😘
Me ningesema ukweli maana ata nisipo sema ya tanikuta Kama Yao mkuta laya
Ningemueleza Na Niseme Twende Police
Sikia mjinga wewe huna akili hujiongezi piga sim polisi au karipoti kwenye vituo vya usalama una barua ya ushahidi wa barua ya huyo mika
Hoyo Ndio faida ya uongo na unafiki wako
Part 2 please 🙏 😢😢
Ishatoka part 2
Nimejitahidi leo kucoment mapema sana
kubali jaman
Nasubiri part 2
Nasubuli part 2
Ninge fichua siri
Silaha kubwa ya mwanadada n maombi tu,juu mungu tu ndio muweza
Hili simulizi linanipee tumbo joto 😢
Pole mrembo karibu nikuliwaze lipoe😍
Then you ❤
Part2 please 🙏 😢 😭
Hatamimi poa naogopa Je wewe?
Pendo si useme ukweli
Yaani huyu na anko j wote wanalemba sauti kama wadada mi sipendi
Mbona sioni hii part 2
@LUCAS LUMBASI mwambie asikie
Saw
Mmi nakupenda unavyosimulia uwa naihisi kifiling fulani weh acha😘😘😘
sehem ya kike ulitaka wasemaje sasa