Me nadhan Hawa jamaa wangejikita kwenye maswala haya ya ushauri wa kimaisha na siyasa lkn kuhusu Dini nadhan Bado hawana ufaham wowote kuhusu Dini na uwepo wa Mungu me nawakubali san kwenye upande huu wa siyasa na jamii kuhusu maisha kijumla nawakubali san 👏
Wenye dini ndio hawana ufahamu na hizo dini. Sio wao. Kua na dini. Ukristo au uisilam. Ni ujinga mkubwa sana. Mimi nililijua hilo miaka mingi sana.. Na nikakataa hadharani bila woga.
Hakika! Lakini pia changamoto ipo kwenye mfumo wa elimu tuliorithi wa kikoloni unamuandaa mwanafunzi kuajiriwa zaidi kuliko kujiajiri! Somo la uzalishaji na ujasiliamali halijapewa ulazima,uzito na umuhimu unaostahili!
hapo kwene kuacha kazi ndo watu wanaposhindwa,,but mimi niliweza aisee,,nilipangiwa sehumu ya hovyo sana pakanisaidia kufungua AKILI,,SO nmewahi kuwa mtumwa kwa miaka 4 na gov..
Yani uki msikiliza uta bisha kwenye coment na mbeleza watu ila ukiwa mwenyewe chumbani uta sema hawa jama wana sema kweli kwanza wana chambua na kusahihisha tanzania bara la Africa 🌍 kwa ujumla
imechukua miaka ya uhuru mpaka 2024 kwa mifumo ya magereza kung'amulishwa kwamba wafungwa kujisaidia kwenye ndoo ni kutweza utu wao, bila shaka hili nalo tulirithi kwa mkoloni.
We Jamaa ni Genius nimeacha kukupinga sasa saiv nimekuwa mfuasi wako
Mrindoko upewe nchi ili ufute makanisa yote na misikiti ni utapeli na uhuni tu jeshi hatuna tuna Mambo tu duuuh ni kweli kabisa😂😂😂😂 😂
Kazi nzuri ❤ naomba umalizie hicho kipande ulishia
Wenye utimamu ndo wanaweza kuelewa hawa jamaa 😂
😂😂😂eti watu wawache kazi ndio ire gusaidia mjinga ni kumuumiza
Always good teachings
Nampendaga huyo jamaa anamhoji mlindoko, amekaa kujifunza zaidi ndio maana jamaa anafunguka sana
Keep it up brothers🎉 nawapenda saana.
Waajiliwa wote walemavu wa akili 😂😂😂
😂😂 awajamaa Kama unaakili kisude ajui kureason lazima utawaona miyeyusho
Me nadhan Hawa jamaa wangejikita kwenye maswala haya ya ushauri wa kimaisha na siyasa lkn kuhusu Dini nadhan Bado hawana ufaham wowote kuhusu Dini na uwepo wa Mungu me nawakubali san kwenye upande huu wa siyasa na jamii kuhusu maisha kijumla nawakubali san 👏
Wenye dini ndio hawana ufahamu na hizo dini. Sio wao. Kua na dini. Ukristo au uisilam. Ni ujinga mkubwa sana. Mimi nililijua hilo miaka mingi sana.. Na nikakataa hadharani bila woga.
Ebu niambie dini zime tu saidia nini apa tanzania maana kama uhalifu upo mpaka kwenye dini ,ndoa zina vunjika kila kukicha
Fact FACTS FACTS Kabisa 😅😅😅😅
Kama huna kiwanda chat SILAHA maana yake huna jeshi.. Unawana mgango 😢🌍🌍🌍🤔
Hakika!
Lakini pia changamoto ipo kwenye mfumo wa elimu tuliorithi wa kikoloni unamuandaa mwanafunzi kuajiriwa zaidi kuliko kujiajiri!
Somo la uzalishaji na ujasiliamali halijapewa ulazima,uzito na umuhimu unaostahili!
Du kaka hongera sannaaaaa ningekuwa na dada ningekuozesha
Wazee wa mizinga shusheni mawe hii nchi inawasomi na viongozi wapumbavu
Naomba mzungumzie Juu ya BRICS NA MWELEKEO WAKE
Kweli jamani daaah
Pamoja sanaa🎉🎉
Wachokonozi nimewaelewa sana hayo maonyesho hayagana maana kama silaa tunanunua kwao ni ujinga
hapo kwene kuacha kazi ndo watu wanaposhindwa,,but mimi niliweza aisee,,nilipangiwa sehumu ya hovyo sana pakanisaidia kufungua AKILI,,SO nmewahi kuwa mtumwa kwa miaka 4 na gov..
🤣 Leo mmeongea point. Hata Mimi sijawai fanyia mtu kazi na naishi vizuri tu. Greetings from Nairobi
Walioajiliwa wengi wao Hawana hali ya kujiaminini nafsini mwao,hali ya usubutu haiko nafsini mwao😂😂😂
Akili kubwa
Tuko pamoja sana ❤❤❤❤
nakukubali weka namba nikutumie jelo
Hiyo ni kweli
😂😂😂 hatari sana afrika tuko watmwa sana
Tanzania tuanze maandamano Mrindoko apewe nchi🫡
Please please!!
Naomba mzungumzie Juu ya BRICS NA MWELEKEO WAKE
Daah wewe mwamba hatari sana
Sabuni ya ubongo🧠🙌🙌🙌🙌 leo ni nondo juu ya nondooo😅👊👊
Mnaakili sana nyie jamaa na ili mtu awaelewe awe na muelewa lkn kwa mtu aliekalilishwa mambo awezi waelewa
Yani uki msikiliza uta bisha kwenye coment na mbeleza watu ila ukiwa mwenyewe chumbani uta sema hawa jama wana sema kweli kwanza wana chambua na kusahihisha tanzania bara la Africa 🌍 kwa ujumla
Exactly
Daah nawakubali sana ni muda wa africa kuachana kabisa na elimu feck demokrasia tupa kule tunamalizia na dini zote ludisha kwao ulaya na uarabun
Kwani hatumuoni Mr Kim Jong Un anafanya nini:)
Rispect brow
Akili ni mingi sana asee
😂😂
imechukua miaka ya uhuru mpaka 2024 kwa mifumo ya magereza kung'amulishwa kwamba wafungwa kujisaidia kwenye ndoo ni kutweza utu wao, bila shaka hili nalo tulirithi kwa mkoloni.
Tutaandama kama Burkina Faso ili mchokonozi tukupe NCHI😂😂😂😂😂
Hii ni akili kubwa sana
Umenena 🎉🎉
Jitikise kihisia wewe emplyee acha ujinga😂
Hakika kweli elimu ni gharama
Fact
Sjui wao wanasemaje😂
Iron dome ilisha feli bwana ile siku irani wamewazingua usiku
Kujitikisa kihisia...😂😂😂😂
Sawa sawa kabisaa kuajiriwa ni akili ndgo
Mlindoko apewe nchi ya Tanzania aiongoze yeye halafu mwenzie awe makamu ndio nchi yetu iende vizuri
😂😂😂
Haraf siraha zetu zilipigwa vita
Wito mkubwa
kama kuna mtu hajaelewa hata haya inabd ajinyonge kabs
Nawakubali
ongera sana umeongea ukweli sana
Tuko pamoja
Pamoja sana
We mjinga unaakili sana😅
Kiufupi umekua kinywa cha rohoyangu ishi miaka mingi kaka
Umesema tuonane paradiso ndo wapi huko ?
Ufaka unaanza kwa ku chekacheka 😂
Stori za jaba 😂😂😂
We mkenya acha uduwanzi
Vipi wachokonozi....kutumia kikombe cha plastic kunyea chai au kinywaji cha moto kiafya imekaaje????????
Kmbk na sisi tunanjaa
Wataaluma sasa shule ya siku nyingine prof tunasubili
Kwani wao wanasemaje?
CNN
Kuna mtu kaajiriwa apo UA-cam Ili wewe video yako ifike uku mtaani.
Hahahahah wenye ajira zao sasa wanaanza kuleta faili la utetezi😂😂😂😂😂
Unamaanisha nini unaposema nchi kuna kanda tatu tu zinazotakiwa kuwa wanataaluma umetumia vigezo gani.
Aidha, hongera kwa fikra tunduizi.
Usikose video inaendelea...
Dkk 5:40 mpka 45,kujua mtu katenda kosa na kuthibitisha pasi na shaka kwamba katenda ni jambo jingine.
Wewe sherehesha watu tu😅😅
Naomba mzungumzie Juu ya BRICS NA MWELEKEO WAKE
😂😂
😂😂😂