Arkas online Allaah aulipeni kila la kheri awazidishie mzidi kutufurahisha namkubali sana mimi shekh nyundo Allah amrehemu amfutie madhambi yake amlipe kwa jitihada yake
Sheikh alipoyazungumza watu wengi walimbeza eti anaongea matusi, ila kumbe watu tunaharibikiwa hivi sasa ndipo tunaona ukweli wa SHEIKH na hatuko nae tena, tunamuombea Allah ampe kauli njema
Apo kwenye tumbaku ndojuzi selikali ndoinagunduaa jamn shehe nyundo punzika kwa aman
Mungu akuhifadhi mahala pema pepon amin
😢umetangulia ila Daima moyoni utabakia, Allah akupe kitabu chako Kwa mkono wa kulia
Ameen
Allah akurehemu akufanfie wepesi wakabri na kaburi lako liwe katiyabuatani za peponi
Allah akurehem na akufanyie kabur iwe ni moja ya bustani ya pepo INSHAALLAH.
Ameen
Arkas online Allaah aulipeni kila la kheri awazidishie mzidi kutufurahisha
namkubali sana mimi shekh nyundo Allah amrehemu amfutie madhambi yake amlipe kwa jitihada yake
AMEEEN
Arkas online tv Allah atakulipeni kwa wema mnaoufanya inshaallah
ALLAH AKUPE YALIYO MEMA PEPONI AMINII AMINII SUMMA AMINII
😊
Alhamdulillah Allah Akurahamu Nyundo Akusamehe
Manshallah Allah ukupe jaana firdaus
Mwenyezi mungu amerehemu
Sheikh nyundo mungu akulehemu sheikh wew ni mfano wa kuigwa 😢
Allah akuhifadhi sheikh wetu 😭😭
Allah mjalie kauli thabiti shekhe nyundo
Allah akurehem na alijaze nuru kabr lako🤲
Allah akujalie uwe miongoni mwa watu wema wa peponi inshaallah
Ameen
Tunakupenda sana lakini Allah subhana wataalah alikupenda zaidi sheikh wetu I miss you.
Mwenyezi mungu akujalie Kauli thabiti inshallah
Allah Akurehemu Akusamehe nasi Atusamehe
Maashallah allah akujaalie pepo nasi tuwe nyuma yako 🤲
Allwahumma ghufir lahu warhamhu wadkhulhu fi janna bighayr hisabi
Allah atukubali Incha Allah
Allahu majaalna minhum mm n mume wangu huko peponi.
ALLAHU rahma sheikh wetu.
Allah akurehemu shekh nyundo🙏🙏
Mwenyezimungu akupe furaha yakabyrini innshaallah
MashaAllah shekh wetu .
Allah akulipe Kila la heri sheikh wetu
Mwenyezi Mungu akurehemu Shekhe 💔💔
Sheikh alipoyazungumza watu wengi walimbeza eti anaongea matusi, ila kumbe watu tunaharibikiwa hivi sasa ndipo tunaona ukweli wa SHEIKH na hatuko nae tena, tunamuombea Allah ampe kauli njema
😂😂😂😂mbavu zangu jamani.Allahu maghfir lau warhmahu waskana..fii jaanah
Mola akufanyie mambo yako yawe mepesi
Allah akufanyie wepesi
Allah akulinde
Mgu akurehemu
Masahallah
Akuregeze kwa rege. ,2023
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Hio kali
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 walah Akuhifathi mahala pema .ulikuwa ukimutowa mutu kwenye hudhuni nawakaingia kweny furaa
Kibokoyaoooo
😢
Tumbaku njo nini
٣
ALLAH akurehemu sheikh nyundoo
Amin
Sorry jaman kwan amefariki huyu Sheikh mm sijui ila huwa namfatilia sana japo ni Mkristo