Mimi niko Mombasa kwajina Mama Munira, nafatilia sana masomo yako na napenda sana kujuwa miti kama Dawa,kwakweli nakushukuru mola Akuzidishie in sha allah.
Sheikh mimi nlikua vizuri sana kabla ya ndoa nlikua nakazi nzuri na nlikua nawekwa sehemu za VIP tu shuguli zangu nilipendwa na mabosi wote wakike na wakiume baada ya ndoa niliugua nikapoteza kila kitu mpaka marafiki na baada ya muda kwenye ndoa mume wangu pia akaanza nionyesha dharau ananicheat waziwazi yani mambo y amebadilika nikawaza labda kwa kuwa sina kazi ndo maana mume wangu kanidharau nikaanza kuangaika kutafuta kazi zaidi ya mwaka sipati kazi nikajaribu kutafuta ostaz hili anisomehe labda mambo yatafunguka baada ya visomo ostaz aliniambia mume wangu amechkua nyota yangu na yeye ndo sababu ya mimi kuwa katika hali hii sheikh sitaki kumfanyia mume wangu jambo lolote baya hila nahitaji kujua ni Vipi naweza kujitoa katika hali hii?
Sheikh yusuf bin ally asante sana kwa elimu hakika tunajifunza na kujua mengi mno mashallah Allah akujalie maisha malefu na yenye kheri. pia akukuzie kipaji nauwezo ili uelimishe na usaidie watu zaid yahao 10,000 biidhnillah tupo pamoja inshaallah 🤝
Sheikh kwa haya yote uliyo yazungumza, nahisi kama unanizungumzia mimi. Sababu, kila ninapo kwenda naambiwa nyota yangu imezamishwa, na kwengine naambiwa nyota yangu inatumiwa na mtu mwingine. Mpaka leo sijaoa na umri umekwenda.
Himiza umma umkaribie Allah, wacha mambo ya urongo. Kama kuna majini hayo nirushie mie. Fundisheni mambo ya faida. Aina yako watukanisha Uislam. Tafuta biashara ingine.
As, alaykum warahmatullaahi wabarakaatuh, Skh maneno yako ni mazuri maashaallaah sasa tunaomba dalili ya kuwa nyota wasemayo hao hao watu wanaojiita watu wa nyota tafadhali maana kuna jambo hapo linatatiza huku.
Sheikh pole kwa kuumwa jicho ila Allah atakupa shifaa Mimi nna tatizo la kutokwa na mziwa ikiwa sina mtoto wala cna mimba je nifanye nn ili nipone tatizo hli nipate mtoto na mie
I'm a Christian and I love your teachings ,
Shukurn Sana Nimejifunza Alhamdulillah
G00d mawaidha sheikh🎆💐❤️🥰😍💜🎊🎁🥺
Asante sana sheikh !!?.....Kenya....watamu.
Mashaallah mashaallah my brother apo kweli kabsaaa yaan
Alikupati adi Allah ajalie tuangalie connection zetu na Allah Kwanza ziko vipi tutengeneze connection zetu na Allah yatakua mepesi
Shukran sheikh Allah akulipe theri
Yallab akufanyie wepesi duniani mpaka akhera
Mungu akupe maisha marefu maana bila wewe tusinge jua chochote kwenye ulimwengu huu kwa elimu hii
Mimi niko Mombasa kwajina Mama Munira, nafatilia sana masomo yako na napenda sana kujuwa miti kama
Dawa,kwakweli nakushukuru mola
Akuzidishie in sha allah.
Shukrani sana mualimu mungu akupe kheri
Subhanallah 😢
Mashaallah mafundisho mazuri Niko kenya
Mwenyezi mungu akuzidishie uruma
Duh...Ustadh ni kama unaniongea mimi,kila kitu umeongea yanihusu na nimetibiwa na kila njia na siponi.mungu Maombi unopened shufaa
Unachokisema ni chakweli kabisa shehe mim imenitokea hii lakini Kila ninapopita sifanikiwi shehe nisaidie
Shukrani sheikh kwa mafunzo yko.
Allah akupe kila la kheri duniani na akhera amiin.
Sheikh mimi nlikua vizuri sana kabla ya ndoa nlikua nakazi nzuri na nlikua nawekwa sehemu za VIP tu shuguli zangu nilipendwa na mabosi wote wakike na wakiume baada ya ndoa niliugua nikapoteza kila kitu mpaka marafiki na baada ya muda kwenye ndoa mume wangu pia akaanza nionyesha dharau ananicheat waziwazi yani mambo y amebadilika nikawaza labda kwa kuwa sina kazi ndo maana mume wangu kanidharau nikaanza kuangaika kutafuta kazi zaidi ya mwaka sipati kazi nikajaribu kutafuta ostaz hili anisomehe labda mambo yatafunguka baada ya visomo ostaz aliniambia mume wangu amechkua nyota yangu na yeye ndo sababu ya mimi kuwa katika hali hii sheikh sitaki kumfanyia mume wangu jambo lolote baya hila nahitaji kujua ni Vipi naweza kujitoa katika hali hii?
Pole
Shukran Sana, mwenyezi Mungu akulipe kheri kwa ilmu unayoitoa..
Amiiiin inshallah
Mashallah mungu akupe uwezo zaidi kufundisha shekhe
Mashallah sheikh allah swt akuzidishie ilmu na iman
Amiiiin inshallah
Shukran manshallah Allah akulipe Hkreli na akupe mwisho mwema
Mashaalah asante shehe
Musidhani sababu mumeamini Allah ato waonja mitiani ni yetu tumeumbiwa tusiogope Sana tujikurubishe kwa Allah yatakua mepesi inshallah
MashaAllah! Leo shirk imukuw kubwa sanaaa
Sheikh yusuf bin ally asante sana kwa elimu hakika tunajifunza na kujua mengi mno mashallah
Allah akujalie maisha malefu na yenye kheri. pia akukuzie kipaji nauwezo ili uelimishe na usaidie watu zaid yahao 10,000 biidhnillah tupo pamoja inshaallah 🤝
Amiiiin inshallah shukran
Yaan ustadhi km unaniambia mimi wallah.😂😂😂😂
mnapatikana wapi
Shukran ya Sheikh Yussuf ,Jazakallah Kheir insha'Allah.
Mashallah nimekuelewa shekhe duuh ,Allah atulinde nashalizao
Mashallah shekh wangu ALLAH akuzidishie kwa somo nzuri na akupe afya njema na umri mrefu mwenye manufaa
asante mungu akubariki
Mashaallah mashaallah Allah akulipe kheri
Mashaallah Allah akuzidishie Sheikh Yusuf
Wallahi ALLAH akuzidishie khairi zake kwa kutupa ilmu yako inshaallah
Allah akuhifadhi elimu kubwa sana
Thank you for the teaching/training and may Allah bless you mightly.
Allah akuzidishie elimu shekhe na allah azidi kukuhifadhi
Amiiiin inshallah
Njooni kwa YESU KRISTO muokolewe na hayo mateso ya mashetani na dhambi zenu
Tunashukulu sana
Subhana Allah, mwenyezi mungu atuhifadhi na watu wa baya
Amiiiin
Masha Allah our beloved Swaahibu Al-Ashjar, your lecture are very beneficial around the globe, May Allah grant you sakeena/tranquility Ameen yarab🙏🙏🙏🙏
Amiiiin inshallah
Sub haana Allah
Mashallh
Mashaallah Allah azidi kukuwezesha ili uzidi kutuelimisha inshaallah
Mashallah
Mashallal Mashallal Allah akupe umri Inshaallah Amiin 🤲🤲🤲
Mungu akubariki sana na akupe maisha marefu mana unafungua watu macho
Thx
Waleykum salaam jazzka Allah kheri
Mashaa Allah
Subhanallah jaazakallah kheri
Jazakaallah a Allah kheir
sukra kwa elimu yenu japo Niko mbali bt tuko pamoja
Mashallah Jazakallah kheir
MashaAllah..from MOMBASA
Allah akupe umri mrefu Inshaallah
Mshindwe kwa jina la YESU na mlegee na hayo majini yenu
Ukiona hayakufai usikoment laana tu llah
😂😂😂
Subhana llah 😢😢
Uko vizuri
Shukraan sana sheikh
Hadi machozi yamenitoka namm mdogo wangu yupo hivo hivo kumbe kachukuliwa nyota 😭😭
Mashaallah
Mashaallah 🙏
Shukuran naomba namba
Shekh watu wakizingira kwa ubaya maraukuti marachupa wanakuekea mbele mara kijiti nn mana yake
Shida shekh simu yako hupokei
Assalaam alaykum warahmatullah wabarakatuh,, jazzakallah kheyr shekh Yusuph,, kisomo Cha online hakifai,,
Subuhanaa llah Kwel tupuu usemayo
Subhanallah
Naomba njia ya matibabu
Shekhe tusaidie dawa mujarabu ya kusafisha nyota na kua na mvuto mkali sana
Nangoja
Sheikh kwa haya yote uliyo yazungumza, nahisi kama unanizungumzia mimi. Sababu, kila ninapo kwenda naambiwa nyota yangu imezamishwa, na kwengine naambiwa nyota yangu inatumiwa na mtu mwingine. Mpaka leo sijaoa na umri umekwenda.
Kafara gani hizo naomba nifahamishe
Je unaweza kumusafishia mtu nyota yake
Asate kwasomo lako.nizuri sana
Naomba unisaidie dawa Nina tatizo silielewi kila ninachofanya hakiwi na nishahangaika sana natupa pesa tu
Naomba tufahamishe namna ya kuisafisha nyota iliyochafuliwa au inayotumiwa na mtu mwengine
Allahumma
Amiiin
Kwel.ustadh mmm nna zohali hisimami.risk.haisimami.kit.chochote wLlah nshachok
Mm nkitaka kupiga chafya haiji hii hali inanitesa sana cjui tatizo nn naomba unisaidi sheikh ..😢😢
😭😭😭😭ostadh nisaidie nina tatizo kama hili mimi...natumiwa jini kwa ndoto ananitesa alaf kila ninalolifanya silo mimi😭😭😭
Punguza kuskiza miziki hii mziki unawatia majini nguvu sana
@@ruu6592 pia azidishe kumsalia mtume Muhammad (s.a.w)
haya matatizo ninayo nyota yangu ilikua kali sana nilikua napata hela sana sasa hivi Kila ninachokifanya hakuna kitu
Mie nachanjwa naomba msada
Himiza umma umkaribie Allah, wacha mambo ya urongo. Kama kuna majini hayo nirushie mie. Fundisheni mambo ya faida. Aina yako watukanisha Uislam. Tafuta biashara ingine.
Maa Shaa Allah
Je unaweza kusoma mwenyew hiz dua na kafara na zip kafara sahihi kupiga? Hiv kuangika kafara Katika kitu inafaa?
Je mwl.na kama hujitambui na ulishaona hizo chale utafanyaje
Sheikh zote ninazo hizo
Mash Allah
Mashaallah x3 alhmdulillah... shukran sana ... wallah mie allah akipenda nataka kuja Znz kwenye clinic yeni.. ipo wapi?
Mwana kwerekwe
Assalamualaikum sheikh,mimi ni Nina dalili zote ulizoeleza.naomba usaidizi tafadhali
Jinsi ya kuondoa uchawi tueleze
As, alaykum warahmatullaahi wabarakaatuh, Skh maneno yako ni mazuri maashaallaah sasa tunaomba dalili ya kuwa nyota wasemayo hao hao watu wanaojiita watu wa nyota tafadhali maana kuna jambo hapo linatatiza huku.
Hee
Sheikh pole kwa kuumwa jicho ila Allah atakupa shifaa Mimi nna tatizo la kutokwa na mziwa ikiwa sina mtoto wala cna mimba je nifanye nn ili nipone tatizo hli nipate mtoto na mie
sukurani sheikh
Ushawahi kwenda Hospitali??
Ustashi assalamu alaykum naomba tufundisha dawa ya kumdai mtu pesa nakadhalika
Kama kuna dawa ya kumdai mtu pesa basi mtume angetufundishaa hakuna dawa ya kumdai mtu
Sheikh mtu atajinusuru vipi
Kwenye uislamu hakuna kitu icho ukiona mtunanajifundisha elimu za nyota ni uchawi sasa wewe shehe unawahamasisha watu elimu za uchawi
Ustadh...dawa yake ni gani?
SubhanaAllah
A a utakuja lini Mombasa nakungoja unitibu
Ili kusafisha Nyota nifanye nni
Kweli ila majini hutawala nafsi ya mtu tu cio ety wanapita Kwa mishipa ya damu wameumbwa Kwa moto na atuna uwezo wakuwahimili,
Shekh naomba namba yako
Kwenu mshumaa naweza andika majina yngu?samahan dada
cantact yako