HATARI!! ISRAEL YASHAMBULIA MAENEO NYETI YA IRAN

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 15

  • @fadhilimusa9732
    @fadhilimusa9732 2 години тому +1

    Waongooooo acheni sifa iran mziki mnene

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa Годину тому +1

      Mziki mnene kwa waislam wenzake lakini siyo kwa wayahudi

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 24 хвилини тому +1

    Haijapiga eneo lolote nyeti....Israel na Mataifa ya magharibi wameaibika, hawakutegemea mashambulio yangefeli..!
    Sasa US amemkataa Israel, anasema hakujulishwa na Israel kuwa atashambulia Iran Leo, hii yote ni baada ya kufeli

  • @MarckMasaki
    @MarckMasaki Годину тому

    Acha upimbi ulikuwepo,mashoga wamepata aibu sana

  • @RojaRojas-o7g
    @RojaRojas-o7g Годину тому

    WAENDELEE KUPIGA WAGONJWA WAZEE WATOTO WAJAWAZITO UKO GAZA NA LEBANON MISIR SIO IRANI WALISEMA IRANI ITAKUWA MAJIVU KIKUWAPI

  • @ayoublupande3007
    @ayoublupande3007 2 хвилини тому

    Acha uongo ww maeneo nyeti gani sisi tunao ishi huku hatujaona hizo nyeti mbona 😅iran wako vzr mno kwenye ulinzi wa anga wasubiri mvua ya moto wa iran😅

  • @chikundeboy9450
    @chikundeboy9450 Годину тому

    Mmefeli washenzi nyie😂😂habar potofu

  • @Ibrahimmeshilieki
    @Ibrahimmeshilieki 41 хвилина тому

    Hii chanel waga ni kweli haiweci sema ukweli

  • @stephanosospeter1709
    @stephanosospeter1709 36 хвилин тому

    Israel inapiga penye mshono

  • @salumabdallah2990
    @salumabdallah2990 Годину тому

    Tuomesheni hizo video ambazo iran amepigwa😂

  • @dasilvajr9647
    @dasilvajr9647 50 хвилин тому

    Hiyo video imeoneaha uhalisia kabisa wa kilichotokea

  • @AFRICA_D669
    @AFRICA_D669 Годину тому +1

    Sio kweli marekani yenyewe imesema mi.....see more

  • @Omar-q2r7i
    @Omar-q2r7i 2 години тому

    Kabisa waongoo teña waogo

  • @KatemboJeremica
    @KatemboJeremica Годину тому +1

    Iran nimbabe sana kwa Israel wasubirie kichapo

    • @cmuthee255
      @cmuthee255 40 хвилин тому

      Hakuna kichapo wanangoja