IBRAHIM BACCA ATUA OFISINI KUKAGUA MAKOMBE/ATOA AHADI HII HAPA KWA WANAMCHI.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 вер 2024
  • #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko

КОМЕНТАРІ • 53

  • @user-id5yn8ns7r
    @user-id5yn8ns7r 6 місяців тому

    Umetisha baca

  • @naliakafatuma9870
    @naliakafatuma9870 6 місяців тому +8

    Hongera Sana Kila la kheri kwenu nyote kazi njema barikiwa Sana Yanga

  • @malietamaliet
    @malietamaliet 6 місяців тому +5

    Bacca anaonekanaga mpole kumbe kana maneno hivi big up broo💚💚💛💛🇹🇿

  • @user-yu9hn2cq3y
    @user-yu9hn2cq3y 6 місяців тому +3

    Inshaallah inshaallah inshaallah 🙏 makombe yaongezeke jangwani kila la kheri kwako bacca

  • @FirdausyAbubakary-bl2wo
    @FirdausyAbubakary-bl2wo 6 місяців тому +1

    Nakupenda Bacca Allah akuhifaadh

  • @ahmedalsaadi7108
    @ahmedalsaadi7108 6 місяців тому +19

    Wazazi wote wawachezaji ambao walishawai kucheza tz waalikwe kuona makombe😊

    • @Twalibuzubeli
      @Twalibuzubeli 6 місяців тому +1

      Umeongea point br ilikua wazee wote walio kuwepo ambao wameicheze yang waalikwe kuyatizama makombe hayo

    • @sylvestercameo6263
      @sylvestercameo6263 6 місяців тому +1

      ​@@TwalibuzubeliHizo ndizo fikra pevu, wazee wetu wanapaswa kuenziwa kwani wamepambana sana kwa damu na jasho kuijengea Yanga historia ya heshima na mafanikio.

    • @user-yu9hn2cq3y
      @user-yu9hn2cq3y 6 місяців тому +1

      Point 🙏

    • @FirdausAlly-ls8fw
      @FirdausAlly-ls8fw 6 місяців тому +1

      Exactly 💯 🙌

    • @user-vu6pd7pg9e
      @user-vu6pd7pg9e 6 місяців тому +1

      Comment ka hiy itunzwe❤❤ una mantik sn Mungu akubark

  • @abuunayfatu8701
    @abuunayfatu8701 6 місяців тому +11

    Wakaanza nipeni maua yangu🎉

  • @rukiakyaka1827
    @rukiakyaka1827 6 місяців тому +2

    Aamina Inshaallah

  • @ramadhankitanzi3808
    @ramadhankitanzi3808 6 місяців тому +2

    Yanga forever ❤❤❤

  • @JANE-jv4eq
    @JANE-jv4eq 6 місяців тому +6

    Yanga kuna lahaaaa

  • @abdallahjuma382
    @abdallahjuma382 6 місяців тому +4

    Kubwa sana hii Inawafanya wachezaji kupambana zaidi ili kupata makombe zaidi.

  • @amaniomar1755
    @amaniomar1755 6 місяців тому +3

    Mashallaah nimependa

  • @michaelsoka8321
    @michaelsoka8321 6 місяців тому

    Mimi nashauri nyuma ya makombe ziwekwe picha za wachezaji walio kuwa sababu ya makombe hayo kwa kipindi icho

  • @youngfather5118
    @youngfather5118 6 місяців тому +3

    Bacca miyeyusho kweli😂😂😂

  • @elipidiusgerazi1924
    @elipidiusgerazi1924 6 місяців тому +1

    Ila bacca😊😊😊😊

  • @jimmymgata7555
    @jimmymgata7555 6 місяців тому +1

    Mabingwa wa kihistoria💚💛🖤

  • @sharifabahar9905
    @sharifabahar9905 6 місяців тому +2

    😂😂😂😂😂yani bacca mwanaume wa ndoto zangu nilivyo sikia umeo nililia sana 😢😢😢alafu mwaka mmoja

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 6 місяців тому +1

    Yanga 🎉🎉🎉

  • @user-kw1rq5is2g
    @user-kw1rq5is2g 6 місяців тому +2

    uongozi wa Yanga nashauri, picha za vikosi vilivyochukua ubingwa kwenye hayo makombe yoote ziwekwe ikiwezekana na majina ya kila mchezaji

  • @mhandomhina5503
    @mhandomhina5503 6 місяців тому +2

    Haya nyie wa Bunju Z mjipambanue kiume Kama wenzenu maana hata ofisi ya kupeleka na kutunza makombe muwe nayo. Kuliko KUANGALIA matusi Kama haya.

  • @mbarakasijaona7638
    @mbarakasijaona7638 6 місяців тому +2

    Big club najivunia kuwa shabiki wa yanga

  • @vangraphixvan8320
    @vangraphixvan8320 6 місяців тому +3

    🎉🎉🎉🎉

  • @user-jz8zh8pq4h
    @user-jz8zh8pq4h 6 місяців тому +1

    Bacca jmn km si yy Leo mwenye aibu kumbe kakiamua kanaongea hatar

  • @IsayaUrio
    @IsayaUrio 6 місяців тому +3

    Alafu kakijana kamoja kamejaa UTI kanasema tunakaloga😊😊😊

  • @hollaramadhani1354
    @hollaramadhani1354 6 місяців тому +1

    Simba na nyinyi onyesheni vikombe vyenu 😃

  • @mbarakashabani3574
    @mbarakashabani3574 6 місяців тому +2

    😮😮😮😮😮

  • @kassimchuo5290
    @kassimchuo5290 6 місяців тому +1

    Yanga rahaaaaaaaaaaaaaa bhanaaaaaaaaa😂😂😂This is yangaaaaaaaaaa.....

  • @user-ux9hy8kf9c
    @user-ux9hy8kf9c 6 місяців тому +1

    Atareeeeeee

  • @user-fw7rh6di6f
    @user-fw7rh6di6f 6 місяців тому +1

    1997 hilo kombe liheshimiwe

  • @sabrinakassimu
    @sabrinakassimu 6 місяців тому

    ila baka 😅😅 et ivi alikya hamna timu nyengine

  • @mealsbymana6561
    @mealsbymana6561 6 місяців тому +2

    🔰💚💚💛💛

  • @simonfrank282
    @simonfrank282 6 місяців тому +1

    Ushamba fc mnapoanzia wengn ndio wanaishia

  • @SILVANUSMAHANDA
    @SILVANUSMAHANDA 6 місяців тому +3

    Nashauri ifunguliwe milango ya utalii iwe kama museum

  • @abdallahkambangwa7215
    @abdallahkambangwa7215 6 місяців тому

    😅😅😅😅

  • @saliieking7279
    @saliieking7279 6 місяців тому

    Bacaaaaaaaaa

  • @yohanaally4544
    @yohanaally4544 6 місяців тому +2

    😅😂😂😂😂😂

  • @user-vj7no2tp7x
    @user-vj7no2tp7x 6 місяців тому +2

    😂😂😂😂😂😂

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 6 місяців тому

    Bacca 97 ndo umezaliwa?du!

  • @amanimustapha2089
    @amanimustapha2089 6 місяців тому +2

    Utopolo fc

    • @user-dd3ek5fh5g
      @user-dd3ek5fh5g 6 місяців тому +2

      😂😂😂😂Unateseka ukiwa wapi??😂😂😂😂 Dunduka

    • @mirajiali3926
      @mirajiali3926 6 місяців тому

      Makolo fc dunduka watasema na wao tayari yawashakuwa na ofisi mwaka1 1989 madunduka peleni basi na nyinyi pale clubuni kwenu wachezaji wenu au ndio mshawahi walepeka mwaka 1960

  • @Katamba255
    @Katamba255 6 місяців тому +1

    😂😂😂