EMANUEL KIBONA BWANA MKUBWA Official

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 гру 2024

КОМЕНТАРІ •

  • @Fay-e9q
    @Fay-e9q 18 днів тому

    Amina mbarikiwe sana bwana awainue zaidi nimefurahi kumuona classmate nahumu nimefarijika sana endelea hivohivo

  • @lightnessmitula
    @lightnessmitula 6 місяців тому

    Kazi njemaa sana baba,Mungu akubariki sana my Pastor🎉🎉🎉

  • @edfordshilla5727
    @edfordshilla5727 6 місяців тому

    Hallelujah , nakumbuka Mbali sana kuhusu huu wema wa Mungu , uendelee kustawi zaidi baba, Maombi yangu na Huima uijenge zaidi mchungaji.

  • @JovinusiButono
    @JovinusiButono 6 місяців тому

    Kazi njema Mchungaji wetu bwana azidi kukushindia kila kuitwapo leo hakika kila afanyae kazi kwa mkono wa bidii Mungu humubaliki zaidi🌎🌐🙏

  • @KelvinaNyamaswa
    @KelvinaNyamaswa 4 місяці тому

    Kongore sana pastor Wang Mungu akupandishe viwango vya juu zaid

  • @edfordshilla5727
    @edfordshilla5727 6 місяців тому

    Kazi nzuri vyombo vimetulia vzuri ujumbe unasikika na upo kwenye mpangilio mzuri mnooo

  • @PaulDaud-w6u
    @PaulDaud-w6u Місяць тому

    Ubarikiwe Sana our lovely Pastor

  • @farajasungura6663
    @farajasungura6663 4 місяці тому

    amen Mungu akubariki sanaa pastor

  • @fanueljoel4270
    @fanueljoel4270 6 місяців тому

    Kazi njema Mtumishi, Ubarikiwe.

  • @mafurumanyama2755
    @mafurumanyama2755 6 місяців тому

    Ubarikiwe sana sir kibona mlezi wetu lugufu boys HUIMA 2015/2016

  • @AkleyMayage
    @AkleyMayage 6 місяців тому

    Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu mchungaji wangu kwa kweli mungu aendelee kukutumia

  • @mbogedevis1518
    @mbogedevis1518 6 місяців тому

    Ameni
    Barikiwe sana my teacher And my spiritual guardian. ✍️

  • @mwakyusageofrey9684
    @mwakyusageofrey9684 6 місяців тому

    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu wimbo umenigusa sana

  • @JosephObadia-kx1eo
    @JosephObadia-kx1eo 6 місяців тому

    Halooo Bwana mkubwa
    Nimefurahi sana 😅😅😅😅😅
    Ubarikiwe sana mwalimu wangu

    • @geddyndege2431
      @geddyndege2431 6 місяців тому

      Kazi nzur kutoka kwa pastor

    • @emanuelkibona3742
      @emanuelkibona3742  6 місяців тому

      amen, tuendelee na huduma. Mungu pia azidi kukuinuwa Kijana wangu katika Kristo

  • @edfordshilla5727
    @edfordshilla5727 6 місяців тому

    Amen my guidance in spiritual,moral standard and how to value time as a crusual resource, I have blessed more let i join with this song to say to living God is Grace of him only. Blessed more my mentor.

  • @hurumamwanda6420
    @hurumamwanda6420 6 місяців тому

    Mungu akubariki sana mchungaji

  • @pointkonyahoja4217
    @pointkonyahoja4217 4 місяці тому

    Aminaaaa

  • @NahumSadock
    @NahumSadock 6 місяців тому

    Amen Amen

  • @LuciaJoyce-in3wu
    @LuciaJoyce-in3wu 6 місяців тому

    Barikiwa zaidi mwalimu wangu na baba yangu wa kiroho tunakupenda sana ila Sasa kwakweli naweza pata albam Ile ya zamani??? Naitamani sana au nyimbo zake tuwekee UA-cam zote itakuwa vizuri zaid albam ya moyo wa ibada yote utuwekee UA-cam au kama tunaweza kuipata ili tuinunue pia ni vizuri

    • @emanuelkibona3742
      @emanuelkibona3742  6 місяців тому

      Amen naendelea kufanyia kazi maombi yako mwanangu katika Kristo. Yesu akutunze

  • @harmonize1666
    @harmonize1666 6 місяців тому

    Nakubari Sana mwalimu wangu kibona by Paschal Eustace bakiliye

  • @faidikakidigitali
    @faidikakidigitali 6 місяців тому

    B W A N A M KU B W A

  • @AkleyMayage
    @AkleyMayage 6 місяців тому

    Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu mchungaji wangu kwa kweli mungu aendelee kukutumia