Full Party Wema Sepetu, Kajala, Lulu, Wolper na Aunt Ezekiel waonyesha Jeuri ya Pesa Mbele ya Uwoya

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024
  • Unaweza kututembelea instagram @bingoonlinetz
    #bingoonlinetz
    #sisisiowepesi #TunakupaKwaWakati
    Ahsante kwa Kuiamini na ku SUBSCRIBE BINGO ONLINE TZ Na kuifanya ifikishe Subscribers Milioni 1

КОМЕНТАРІ • 76

  • @filbert9138
    @filbert9138 2 роки тому +11

    Inshallah mwenyez mungu Amjalie wema mtoto ,natamanii sana kuona hivyoo

  • @rosekaiza2716
    @rosekaiza2716 2 роки тому +11

    Nimeumia sana pale wenzie wema wanapoitwa majina ya watoto wao alafu wema anaitwa jina la mmbwa wake yaani mama manunu ee mwenyez mungu mjaalie mtoto hata mmoja tu

    • @estherkiwona3348
      @estherkiwona3348 2 роки тому +2

      Yaaani nimejikuta nakua emotional 😭 mungu ampatie tuuu kwa kweli

    • @allthingdranabeauty
      @allthingdranabeauty 2 роки тому +3

      Mmbwa kaumbwa na Mungu pia ni mtoto kwa kimmbwa tena kuna nchi mbwa ni kam mtoto tu ipo siku atapata mtoto Mungu wetu ni mwema

    • @winfridagama5832
      @winfridagama5832 2 роки тому +1

      Mungu atampa kwa Jina la mwenyezi Mungu

  • @sandradzombo2728
    @sandradzombo2728 2 роки тому +21

    Ewe mwenyezi Mungu mfungue Wema apate mtoto awe mama kama wenzake Amen

  • @allthingdranabeauty
    @allthingdranabeauty 2 роки тому +2

    Yaelekea uwoya anapenda utamaduni wa kinageria sana nyimbo adi kusalimia mtoto kamfundisha kam wanageria

  • @lovenessitiku6293
    @lovenessitiku6293 2 роки тому +2

    Tunapnd ivo mmpendane cc ni wa 🇹🇿love u

  • @allthingdranabeauty
    @allthingdranabeauty 2 роки тому +2

    Wema anavyocheza😂😂😂🥤❤️

  • @albelikane7005
    @albelikane7005 2 роки тому +1

    Mungu awazidishie upendo🇸🇦🇧🇮

  • @maryamalhabsi4364
    @maryamalhabsi4364 2 роки тому +3

    Maa shaa Allah 😍😍😍😍😍😍 mmependeza

  • @nataliakenny9499
    @nataliakenny9499 2 роки тому +5

    Nakuombea upate mtoto ucjeitwa tena mama manunu kwani we sio mama wa mbwa,,japokua mbwako unampenda

  • @aminadjuma6574
    @aminadjuma6574 2 роки тому +5

    Nawapenda bure jaman adi machozi yananitoka yafurah

  • @joycemwaikambo2162
    @joycemwaikambo2162 2 роки тому +1

    Umependeza my 😍😍😍😍😍

  • @teddyndungurusabnu4792
    @teddyndungurusabnu4792 2 роки тому +8

    Sasa ile juzi walikua wanacheza na akili yetu

  • @manasadunia3458
    @manasadunia3458 2 роки тому +1

    Mmependeza😍😍😍😍😍😍

  • @brendasimba7751
    @brendasimba7751 2 роки тому

    Embrace the love

  • @salhasaid9667
    @salhasaid9667 2 роки тому +1

    Ma Sha Allah...

  • @user-eg4yo8fr3q
    @user-eg4yo8fr3q 2 роки тому

    Hii team haijakamilika yuko wapi mange kimangi au wanaona atawakomoa n wing lake wao wamenda jifunga vitamba utasema wanajituka mitungi ya maji ndo ukorofi huoo

  • @zaiiomary8970
    @zaiiomary8970 2 роки тому +2

    madamu wema toka kajipunguza kawa kama mim vileee😂😂 jamani

  • @asmutabasli3590
    @asmutabasli3590 2 роки тому

    Pisi kali zakanumba wotehao waritembea nae💞💞💞❤️💞🤣🤣😂

  • @agneskadzo6105
    @agneskadzo6105 2 роки тому

    Hapa raha tuu..

  • @suzanamwangingo2995
    @suzanamwangingo2995 2 роки тому +1

    Mungu azidi kumwangazia klishi

  • @doreensamwely8740
    @doreensamwely8740 2 роки тому +1

    Kwan Jacklin kashind kuvaaa date na wenzake😀😀😀

  • @gracekaaya2636
    @gracekaaya2636 2 роки тому

    Kikubwa ni kutafuta hela aise

  • @shikoshania953
    @shikoshania953 2 роки тому +2

    Wema ana mvuto waajabu💞💞💞💞

  • @sweetie8861
    @sweetie8861 2 роки тому

    Ongeleni jmn

  • @salomemgongo9591
    @salomemgongo9591 2 роки тому +3

    Mmependeza sana 6 women's ❤❤❤

  • @kamalbashir5127
    @kamalbashir5127 2 роки тому +3

    Mmezeeka

  • @kavurhamushi7491
    @kavurhamushi7491 2 роки тому

    Kwa mara ya kwanza nawaona wasanii wa kitanzaniya kuvala vizuri ivi

  • @ashashafy2424
    @ashashafy2424 2 роки тому +2

    maake kwanz apo ncheke😆😆sasa uyo krishna wa jadu ndo kavaa nini jaman

  • @zainabomar7191
    @zainabomar7191 2 роки тому +1

    Mumetisha the drama Queens together you will always stand devided you fall so much love the big six

  • @ngoshawaboma6180
    @ngoshawaboma6180 2 роки тому +1

    nguvu ya uwoya iyoo

  • @allthingdranabeauty
    @allthingdranabeauty 2 роки тому +1

    Sio kila siku unachangia tu watu huu ndio urafiki 😂🥰

  • @fetychina3273
    @fetychina3273 2 роки тому +6

    Mama manunu a.k.a mama MBWA ingependeza sana unatafuta mtoto aliekosa wazazi ukalea na ukaitwa mama fulani na Mungu atakubaliki sana lkn sio mbwa sorry

    • @mustafaalsulmai8503
      @mustafaalsulmai8503 2 роки тому

      Acheni mdomo

    • @deboraezekiel784
      @deboraezekiel784 2 роки тому +2

      Usiongee vibaya hivi Mungu wetu sote

    • @fetychina3273
      @fetychina3273 2 роки тому +4

      @@deboraezekiel784 sijaongea vibaya Deborah nimeongea kwa hisia sana kwanini asitafute yatima akalea na akaitwa mama fulani kuliko kulea mbwa?yatima wapo wengi sana na Mungu atambriki

    • @thebosslady9001
      @thebosslady9001 2 роки тому

      @@fetychina3273kwel umeongea point yy enda chukua mbwa alea hovyo kabisa mungu kamnyima mtoto mpk akili maskin

    • @fetychina3273
      @fetychina3273 2 роки тому

      @@thebosslady9001 kwakweli

  • @muhammadshadadi8832
    @muhammadshadadi8832 2 роки тому

    Pisi za kanumba
    Yule jamaa alifaiidi saana

  • @hawaynatimam982
    @hawaynatimam982 2 роки тому

    Ako ka wema

  • @lulually5209
    @lulually5209 2 роки тому

    Huyu lulu nguo asingeweka mpasuo angependeza sana lkn mpasuo umeharibu

  • @ashayusuf8381
    @ashayusuf8381 2 роки тому

    💥💥💥🥰🥰🥰

  • @khdigahk4246
    @khdigahk4246 2 роки тому +1

    Ramadhan kareem

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 2 роки тому +1

    Irene age kama unakuja inakataaa vile

  • @HalimaHalima-id2cb
    @HalimaHalima-id2cb 2 роки тому

    ❤❤❤❤❤❤

  • @annachales9623
    @annachales9623 2 роки тому +1

    Iren naeee kumvalisha mtoto lisket hata hajapendeza bhaaana

    • @bahatisunga1642
      @bahatisunga1642 2 роки тому +1

      Ni Mila za kikwao kwa Baba yake Naigeria

  • @aliclauclau4208
    @aliclauclau4208 2 роки тому

    RAHA SANA WAMESHIKANA WAKAWA NGUZO MOJA❤

  • @lulually5209
    @lulually5209 2 роки тому

    Wema maskini bora angebaki na mwili wake angewafunika wote lkn ndio bas tena

  • @shadrackjuliuskaboya5239
    @shadrackjuliuskaboya5239 2 роки тому +2

    *W W A K L BONGE LA JINA HAPA MJINI YAANI WEMA WOLPER ANTIEZEKIEL KAJALA LULU*

  • @vj8313
    @vj8313 2 роки тому

    Wema ebu nenepa kidogo kah wenzio wote nyamanyama zipo

  • @lulually5209
    @lulually5209 2 роки тому

    Chawa aristote mbona haonekani

  • @charityjoshua6135
    @charityjoshua6135 2 роки тому

    Yani wema

  • @laymashabani832
    @laymashabani832 2 роки тому

    🤣🤣🤣Eti mama manunu

  • @queenmilan2024
    @queenmilan2024 2 роки тому

    sasa birthday ya mtoto baada asheherekee na watoto wenzake eti Wakulla wazima ndio wanasherehekea