PLANET BONGO - DAKIKA 10 ZA MAANGAMIZI NA NIKKI MBISHI
Вставка
- Опубліковано 8 вер 2024
- Itakua hivi kila ifikapo J3 ndani ya Planet Bongo ya EA Radio, atadondoka Mkali wako wa Rapp na natakiwa aflow ndani ya dakika 10 none Stop
Weka Comment yako Umemuonaje Baba MALCOM / Unju A. K. A NIKKI MBISHI unadhani nani afuate next week?
3 years now sijawah kuichoka hii session ya nikki mbishi is one of my favourity na hua nachanaga yoote mpk matangazo qmmk
Hahaha umetisha mwanangu
mungu akipenda mlete songa
YANI MKITAKA kipindi kiangaliwe kila siku nyi waleti ao wanyamwezi tu kutoka tamaduni muone yaani au ndo wasaani
Wasiojua hip hop ndo wata dislike...... ........ bunjuuu
noma sana Nikki mbishi hatali umeuwa sana
one the incredible tafadhali atimbe mjengoni
wiki ijayo one the incredible adondoke
tha's what i was waiting for,next hasim dogo please
wap king Kong,chid benziiiiiii
Dah tz Hanna na walah hatokei tena kama ngwea albart kwa hzi kazi
Adondoke Motra the future
One incredible next please
niki umefanya chini ya kiwango maza fanta
Bro yupo vizur sana kaza brother
young killer ahusike
adondoke chindi kingkong muskie maangamiziii
The best Nikki Mbishi.... NIKKI MKONGWE WANAMUITA NIKKI KITIMEE.....
Dulaaaaaa mlete one bna
we fundii sana ,,,sijui kwnn huwikii
let love this, all the way from toronto, big up Dulla,
peace and goodness
Noma noma noma mzee wa comecial nakomesha
Shiit, Kali mpk BHAASIII
Baba Laoooooooooooooooooooooooooooo @NikkiMbishi Baba Malcom
I need Stamina
Jaman uno
Nikki Mbishi is master of Rap
yan no;1 country boy 2;zillerrrrrrr
acheni kukalili ngwea Alisha kufa wapeni sapoti walio hai uyo ngwea alivyo kufa mlikuwa amsapoti saivi kafa ndo nyoko nyoko nyingi
Noma sana nikki mbishi heshima kwa broo
Unjuu bin unuque kuchaa wa hip hop
aaaaahhh tunamtaka DIZASTA VINA ...HAPO
wack kinoma, mleteeni one incredible vs young killer msodoki
Ndomana kila wakikuaa hufi mbishi
One the incredible hausike this week
Hey Hey babe hu
arudi mangwear aje hapa kwenye dakk 10 jmn
good mzee I real feel what you up to brah
Baba malcom
kazingua kinoma
we mkal sanaaaa
Hujafika tulipozoea mkuu...ila still umewakilisha...TAMADUNI MUSIC FOUNDATION.
Dah... DJ umemkata sana Unju
2024
ooooooooooneeeeeeeeee incredible
One incredible aje plz
one the incredible should be there....
Brazaaaa umepunguzaaaa usongo wa rap Nikk dah!!! Umeniangushaaa pakubwaa
Mzee wa 'commercial' nawakomesha/ na nachana zote ziwe special au za kushonesha
Noma sana
2pac wa bongo
big up .usi force 2fanane
Anajua Sana mbishi
Noma sanaaaaaa
K,pozi jina langu unyama kwako nick mbishi umetisha
fireee baba malcom
hakuwa na wazo la freestyle ikiwa tunaelewa ni king wa freestyle #TZ
MLETENI STEREOOOOOOOOOOOOOOO
Dull mnyamwez sana mkali wangu 👊
nakubal mbixhi iko poah
Tuleteeni kimbaumbau Zaiid Yao
we mkali ciku zote ,,ila kwenye ukweli nitasema,, umefanya chini ya kiwango
dj sama kazingua sana. tunakuomba tena Unju
Nikki umeliangusha chama umefanya chini ya kiwango haukua na kujiamini kwa kutosha.
Tamanduni music wahuni kinomaaa
Hata nikitaka kuwa rapa sijui mc ashaniwakilisha Kama kaingia kichwani kwangu acha hawe chama langu Niki mbishi tandi boy utingo
yupo vizuri
tunamtaka songa
Fanyen mpango songa adondoke kipande ichooo
ujamaa noma anajuwa anacho Fanya asee
Noma kk unju
ahaaas unju
povu tu hana cha maana
2022march💪
Huyu dj kapiga bit vibaya kinoma afuu anabadili badili kila saaa
Peace Of Mind..
Ngwaer, , God zilla, , Chid benz KING KOOONG, ,, hakuna kama hivi vichwa hawa wengine miyayusho tuuuuuu
some how braza
Nakukubaliiii mbaya mbovu...but kwa hii umezingua..Dakika ya 5...unduliza Can I go more...?kwani ulikuwa aujui kipindi kina muda ganii...??
Summer anaznguaga thana anachezea thana
ameshuka kiwango
nakubal kak mkubwa u kill it,,de show was hot
Runduno chamq Rangu Hip pop for rever
Nicki hapa pembeni incredible utaburst
Nomaaaaaa
Muweke Motra the future....
Leo ume zingua Nikki
nc
unadi s sana ukuda huo
anajua mpaka anatenda zambi😂😂
Unamuweka nani sasa
muachie songa
Big Masasi Isack p the my ndo kiboko yao nik umepuyanga
Enzi za block 6 na block 7........mnanikumbusha mbali saaana mnajua
Mbish noma
legend🔥🔥🔥 ambao hawajui hiphop ndo mawack
Nimekula
nomaaaaa
muda mdogo bwana Nikki Show yake irudiwe
hizi dakika kumi sijawahi zielewa..watu wanachana verse zao ama nisho ya freestyle ndio tujue wakali wenye pumzi na akili ya mitindo huru..?
anaimba mi stari ya kuandika
unju bin unuki
The best nikki kitimee