Mch Moses Magembe - MAOMBI YENYE MATOKEO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 61

  • @swahiliandculture6599
    @swahiliandculture6599 7 місяців тому +1

    Amen baba... watching From South Korea ubarikiwe baba hakika tumefikiwa huku ng'ambo

  • @StephenButotoMbarato
    @StephenButotoMbarato 8 місяців тому +1

    Mungu ni mkubwa sana. Ameeen Baba Mchungaji

  • @JoramNgaina
    @JoramNgaina 2 місяці тому

    Mungu azidi kukupa muda utufundishe kweli ya MUNGU❤🎉

  • @TamalFrank
    @TamalFrank 4 місяці тому +1

    Amen mtumishi wa Mungu, Mungu azidi kukutunza na kukutumia kwa viwango vikubwa sana 🙏🥰

  • @happinessmsuya-io1sw
    @happinessmsuya-io1sw 2 місяці тому

    Mungu atusaidie sote. ❤

  • @sifaelmdingi8060
    @sifaelmdingi8060 Рік тому +2

    Huo ndio ukweli baba Mungu Akubariki nimjifunza mambo makubwa barikiwa mpakwa mafuta wa Bwana

  • @DavidAlexandre-ui4nw
    @DavidAlexandre-ui4nw 4 місяці тому

    Tuna shukuru sana kwa mafundisho

  • @happinessmsuya-io1sw
    @happinessmsuya-io1sw 2 місяці тому

    Mungu atusaidie.

  • @tausiclavery
    @tausiclavery Рік тому +3

    Ubarikiwe sanaa Babaa na MUMGU akupe maisha mareeef

    • @annajoseph2869
      @annajoseph2869 Рік тому

      Baba Asante kwa maombi na maombez nimebalikiwa sana

  • @tumwebazemariam8085
    @tumwebazemariam8085 Рік тому +1

    Barikiwa sana baba kwa ujumbe mzuri mungu azidi kukupandisha viwango had I viwango by Daniel daudi kutoka kahama

  • @benjaminlukindo
    @benjaminlukindo Рік тому +1

    Naupenda sana ukweli wako mchungaji!! Siachi kukufuatikia unafundisha ukweli wa Mungu

  • @fidemikaeli8145
    @fidemikaeli8145 Рік тому

    Amina mchungaji wetu

  • @majimmylastedlazy-no2ok
    @majimmylastedlazy-no2ok 10 місяців тому

    Amen 🙏🙏 mungu akubariki na Asante kwa mafundisho mazuri🔥🔥🔥

  • @nedymwamonje1200
    @nedymwamonje1200 Рік тому

    Ubarikiwe sana Baba Mungu azidi kukuinua zaidi na zaidi maana kupitia wewe nazidi kuzijua siri za Mungu wangu.

  • @johnmboma771
    @johnmboma771 Рік тому

    Ujumbe mzuri sana ni haki yetu watu wa Mungu kupata matokeo ya maombi yetu matokeo ya wokovu wetu Mungu akutunze Mch Moses Magembe na watenda kz wako

  • @denismugisha2
    @denismugisha2 Рік тому +4

    Sina hofu u mtumishi wa MUNGU

  • @fatumaremy
    @fatumaremy Рік тому

    Amena bb mch Moses Mungu akubari sn

  • @dolomentfrance418
    @dolomentfrance418 Рік тому +2

    Ubarikiwe baba

  • @audaxdiana9742
    @audaxdiana9742 Рік тому

    Amina baba nakuelewaga Sanaaaaaa uko sawa

  • @abiudjustine7947
    @abiudjustine7947 2 місяці тому

    Hii ni kweli kuu

  • @johnmboma771
    @johnmboma771 Рік тому

    Napokea Jina la Yesu ❤❤❤❤❤

  • @badanibarnabas8661
    @badanibarnabas8661 Рік тому

    Amina! Nashukuru kwa mafundisho mazuri.

  • @gospelinternationalmedia
    @gospelinternationalmedia Рік тому

    Ubarikiwe sanaaaaa milele mchungaji wa Mungu aliye juu sana

  • @jumarobert4929
    @jumarobert4929 8 місяців тому

    Yan we we mchungaji ni chuma Yesu akutunze baba

  • @nancynandago3235
    @nancynandago3235 Рік тому

    Amen Pst YesuKristo Akubariki sana Nancy kutoka Kenya

  • @aictdutwa4476
    @aictdutwa4476 Рік тому

    Ubarikiwe mtumishi wa Mungu.

  • @yonammollel2836
    @yonammollel2836 Рік тому +1

    Amen

  • @erickmwenda4093
    @erickmwenda4093 Рік тому

    Safi sana mchungaji, pia naomba unisaindie kuomba familia yetu,Iko na mtu mgonjwa,

  • @raphaelmasasi634
    @raphaelmasasi634 Рік тому +1

    Baba ubarkiwe sana natamani uniambukize huduma iliyomo ndani yako

    • @salmahassan3521
      @salmahassan3521 Рік тому

      kuwa kama Elisha kwa Elia, mfuate Kila anakoenda ili upate nafasi ya kuomba útakalo

  • @johnedwardkassawa2952
    @johnedwardkassawa2952 Рік тому

    Amina Baba Mungu akubariki sana

  • @pastormatthewamabamba9902
    @pastormatthewamabamba9902 Рік тому

    Sifa kwa Bwana wetu, ubarikiwe baba kwa kazi nzuri ya ukombozi!!!

  • @Super16021985
    @Super16021985 Рік тому

    asante kwa misingi.Yesu ainuliwe kwa utumishi

  • @suzzycharles-kw4eh
    @suzzycharles-kw4eh 6 місяців тому

    MUNGU Akubariki na kukulinda baba injili Yako nikweli na hakika

    • @eunicesikawa870
      @eunicesikawa870 3 місяці тому

      Mungu akubariki sana mtumishi kwa kusimamia kweli ya Yesu Kristo.Mungu azidi kukujaza nguvu Kwa ajili ya kulifundisha kanisa lake.

  • @Yohanamsango-g2x
    @Yohanamsango-g2x 4 місяці тому

    Jamani mue mnatuonyesha na Mambo yanayotokea hapo wakati w lbada au kuomba au kukusifu tuone Roho anavyogaragaza watu hapo haha😊 🙏🙌🙌

  • @gracesolomon3815
    @gracesolomon3815 Рік тому

    My Pastor.

  • @NyolobiNkalango-ve8ns
    @NyolobiNkalango-ve8ns Рік тому +1

    Kama Mungu hawezi kusikiliza maombi ya wenye zambi ninani Sasa anayeweza kusikilizwa ukizingatia kwamwujibu wa maandiko watu wote wametenda Zambia nahivyo kupungukiwa na utukufu wa Mungu.

    • @subiramarko1789
      @subiramarko1789 4 місяці тому

      Ndio maana lazima uanze na toba..na sio kwamba hasikii hapana anasikia coz yeye ni Mungu anayejua yote..hapa alimaa nisha...hutapata majibu

  • @maximillalooyo8060
    @maximillalooyo8060 Рік тому

    Nateseka sana Niko kakuma trukana

  • @onesmoalphonce3676
    @onesmoalphonce3676 4 місяці тому

    NASHIDA YA NAMBA ZA SM

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 Рік тому

    Muwape mbinu hizo za ndacha wachungaji kwenye mitaala ni muhimu sana

  • @eliphaznkurunziza7405
    @eliphaznkurunziza7405 Рік тому

    Amina

  • @alenivyombo1919
    @alenivyombo1919 Рік тому +2

    🙏

  • @alphasamwel
    @alphasamwel Рік тому

    Ameen!!!!

  • @pastormatthewamabamba9902
    @pastormatthewamabamba9902 Рік тому

    Preach!!!

  • @oman798
    @oman798 Рік тому

    AMINA

  • @beatriceamissi5765
    @beatriceamissi5765 Рік тому

    Amena amena❤

  • @nabintunangole4884
    @nabintunangole4884 Рік тому +1

    Ongeya yote Baba muchungaji

    • @isayamalale9833
      @isayamalale9833 Рік тому

      Nikiwa nasikia mahubiri yako mchungaji nabarikiwa sana

  • @francismngano1569
    @francismngano1569 Рік тому

    Video clip inakatikakatika San tunakosa baadhi ya vitu muhimu san

  • @bobjmhina6923
    @bobjmhina6923 Рік тому

    Amen 🙏🏾🇹🇿🇹🇿🇺🇸🇺🇸

  • @petergenya7379
    @petergenya7379 Рік тому

    Such a wonderful message to live by

  • @maximillalooyo8060
    @maximillalooyo8060 Рік тому

    Nawomba namba yako

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 Рік тому

    Moses nina uangalie UA-cam mtu anaitwa ndacha kazi anyone ifanya mshilikiane

  • @Diana-sk2wf
    @Diana-sk2wf Рік тому +1

    Amen

  • @ev.elishaadamson9531
    @ev.elishaadamson9531 Рік тому

    Ubarikiwe baba