Si kawaida but on this day i got home and went straight to the bathroom! Wah! Tingweba. After hiyo bathing nilipata mwanamke kwa kiti amenuna akiambia my girls vile dad yao amepata familia ingine better than yao. Should we not bathe suarly
Is Mitch related to Rachel Ruto and her daughters? Nauulizia jirani yangu hapa mwenye poor specs? Enoch shies but who's God? Gave him a real radio😍 I love these matching couples💯💞
😂😂😂😂😂 weeeeuh nimeisha I support gal child nikikumbuka nishai teta juu ya speed and my husband decided to drive kutoka Kisumu hadi kitale na speed ya 20 to 40 juu nimeongea 😂😂😂😂 kutoka hapo nilienda driving direct
Aaaaaiii yawaaa thank you so much you've made my day,,sikua nmechekaa the whole day but nyinyi ni nani?? Much love my powerful couples 💕💕💕💕 kumbe all these happens to everyone
This reminds me of the book " Men are from Mars Women are from Venus" It's never easy to understand the other gender until we go back to the common dictionary
Ebu letea hawa wanaume wetu period stimulations ndo waskieee vile tunaskianga na ady watembee ama wabebe 5litres wakiwa nazo on😂😂😂 Anyway i love you guys
Si kawaida but on this day i got home and went straight to the bathroom! Wah! Tingweba. After hiyo bathing nilipata mwanamke kwa kiti amenuna akiambia my girls vile dad yao amepata familia ingine better than yao. Should we not bathe suarly
Kwa simu nayo hadi mimi sijai penda,,,,you can't be on phone when its only the two of us,,,huwa naboeka
Nawapenda tu...we need more of this collabos....may God give me friends that are genuine
🤣🤣🤣 thank you
Next Mitch and Martha wafanye what our husbands don't understand about us😂😂😂😂😂😂this was fun
Maneno na Sehemu nyeti ni sherehe😂😂😂
Is Mitch related to Rachel Ruto and her daughters? Nauulizia jirani yangu hapa mwenye poor specs?
Enoch shies but who's God? Gave him a real radio😍 I love these matching couples💯💞
🤣🤣🤣
Hapo kwa driving wueh 😂😂😂😂..enda tu driving school
Sehemu nyeti sherehe 😂😂nimeguamilia hapo🤣🤣
Hapo kwa simu I Second with Martha and Mish,,,,😂😂😂😂heeeeee men with phones ziiii
Aaah kumbe ni wanaume wote, I thought mine was broken 😅
@@naomianyango1051 🤣🤣🤣
Weeh 🤣🤣🤣
Wanaume ata homa pekee anakaa kufa😂😂😂
🤣🤣🤣 Uongo
Martha vitu za sehemu nyeti ni sherehe I die 😂😂😂👍👍
Hapo Kwa ugonjwa I agree wanaume Wana overdue yaani hata homa unadhani atakufa the next second 😂
True😂😂😂
🤣🤣🤣 walai
Ai Enoch anaeza shout kweli?😂😂😂😂😂
Nashangaa 😂😂😂
🤣🤣🤣
Don't ever allow your hubby akufunze gari, enda driving school! You will never know how to drive😂😂😂😂
Hizo story tutaanza kupea Gen Z zikiwabore😂😂
Choose your hard. You either vibe ama tupee wengine story
Husband the best teacher,by the time they finish with,umeiva mbaya sana,lakini stresss waaaah 😅
Na watoto sasa mliamua the two families mtatupea lini😂
Hapo ndo niliambiwa soma kwa bidii then niende na speed nataka 😂😂😂
😂😂 vitu za seems nyeti ni sherehe....wee
😂😂😂😂 mama yangu Martha kibaby baby and cocomelon was just chilling next time ikuwe Mitchell na Martha ndio walete points nawapenda ❤❤❤ sana
Love 💕💕 you guys 😘😘😘😘 mko sawa mungu awasaidie mwendelee hivo tu😂
Love you guys ❤️❤️
Thank you
Didn't knew Sam is a comedian. Mwenye aliumba gari anajua mbona alieka 180😂
Miranyi ajue utamu ya udaku ni kuwa na msee anachangia....ajui udaku ya bibi na bwana vile ni tamuuu😂😂😂
Martha kujia zawadi mama vitu ya sehemu nyeti Ni zawadi well said
Weeh! Hapo Kwa why between my point you're bringing in another point
🤣🤣🤣 we Kwacha bana
Sasa simuongee tuuu kizungu kiswahili ata hamjui
Hapo kwa when a men is sick......................true i see it with my Dad all the time
Watu wananuka vile wanataka Sam really 😂😂😂😂😂😂😂😂
Women are always right during an argument 😂😂😂ata my man aligive up,tena apo kwa driving mtakosana hadi ubuy gari yako🤣🤣🤣🤨
You make me happy❤❤❤representing team strong,,,much luv our kisii family
Owada zaeni kwanza ndio tuongelee pushing Gift hao wababa wenu najua hawaezi shindwa na gifts
Mimi hapa I understand my fellow women...wanaume wabadilike 😂
Uplands driving school in Rongai kujeni tutawapea discount ❤❤❤
Enock leo umebamba😂😂😂
🤣🤣🤣
Akii you guys😅....nawapenda tu saaana😊
My fiancé cannot, will not, take me, leave alone thinking about taking me , to Eastleigh😅😅😅😅hata grocery shopping alikataa
Uyu ni mkisii ama mkale😂😂
I'm not married yet but this is fuuuunnnny😂😂😂, ntakuwa nafanya reference
😂😂😂facial expressions ya Martha
I love the conversation here... Na bado hamjaona drama.. Aki mnimention my dears.
Hawa wanaume wanaexpect tukubali makosa. Haiwezi we have tu argue manzee. Thiis husbands of ours are same
But surely 😅😅baby girls are always right 😅😅😅😅😅 we always win in an argument 😂😂😂iko kwa constitution puriiiis ,,,
🤣🤣🤣 they will learn the hard way
Hapo kwa 2000 pleeeeease🤣🤣🤣🤣mimi narelate
It's mtucocomelon ,,cocomelon for me😅😅😅
❤❤❤❤❤❤napenda hii. Aki martha
I didn't know you can sing luganda!!!😊
❤❤❤ you pple are funny.I love you guys
Still Martha na Mitchell wanajitetea 😂😂,, but nimecheka I love you guys ❤
🤣🤣🤣 lazima
Mniue basi😂😂😂😂😂😂😂 Martha is finishing me😂😂
🤣🤣🤣
Ati sehemu nyeti sherehe 😂😂😂😂
🤣🤣🤣 IK
Men even nose run, is an emergency😂😂😂
😂😂😂😂😂 weeeeuh nimeisha I support gal child nikikumbuka nishai teta juu ya speed and my husband decided to drive kutoka Kisumu hadi kitale na speed ya 20 to 40 juu nimeongea 😂😂😂😂 kutoka hapo nilienda driving direct
🤣🤣🤣🤣 weeeeh
Hii nayo ni kali😂😂
Hio point ya Sam ya ugonjwa ni uongo, Men are the ones who overdo. Women are strong
Nawapenda buree❤❤ jamani
Ii nayo ni ukweli kwanza hapo kwa simu mimi naongea nae ako busy kwa simu nyingine wanawake wote tuko sawa na hizo points
Aaaaaiii yawaaa thank you so much you've made my day,,sikua nmechekaa the whole day but nyinyi ni nani?? Much love my powerful couples 💕💕💕💕 kumbe all these happens to everyone
Sasa niulize sio Kwa ubaya , nyinyi ni wakisii?
Martha anamindirirwa😂😂😂
The miranyis👌👌😘
Hii nayo imebamba mlete part2
🤣🤣🤣 Part two Tena
Mnafaa kupata Watoto ndio awakalishe kitchen banana msipoeke
Mnanimaliza mimi 😂😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣
This is me with someone's son😂😂😂
😂😂😂Martha spare my ribs
Hapo kwa driving endeni shule tu
Pahali imefikia 🤣🤣🤣🤣
I agree with Michelle and Martha😂😂😂😂😂
Watching this video was entertaining
🤣🤣🤣 we are happy you had fun
Sanaaa😂😂😂😂
Mitchell na circumcision 😂😂😂😂ameweza
Nimeland from tiktok, how could i miss this😂😂😂.
Kumbe hii simu iko hadi kwa wenye wameoana😢
FAM KINDLY NAOMBA MNIPITIE PLZ PLZ WILL APPRECIATE❤
Nipitie nkupitie
Hiyo point ya kucheleweshwa .......women sacrifice everything for men lkn men don't understand......mbari korora piii
😂😂❤Aki angai
Life is tough 🤣🤣🤣
Nko waiting room ❤❤❤
🥰🥰🥰
You really make me happy
Mnanimalizaaa 😅😅
Best use of leisure time
🥰🥰🥰 We are glad
🤣🤣🤣🤣🤣🤣I love you my people everything shere 😂😂😂
🤣🤣🤣
From the murayas
Please some English or at least some captions for interpretation for us who are not good with Swahili.
Difficult to watch your videos they are spoken in kiswahili... English would do for other countries
Noted
Please use English so that we all benefit
Yes please always use English, I watch but I don't understand what they also say😂😂
I see you're mwenda😂😂😂😂😂kwani huelewi kiswahili how 😂😂😂😂
@@LentyValmwenda ako majuu 😅😅😅
😂😂😂waaah 😊
I like you all keep it up 😂😂
😂😂 shida kubwa sisi wanawake hua hatujui tunataka ninj exactly..
Enock akona point
Marriage si mchezo😅😅😅😅😅
Why between the point you are coming up with old stories why ?😂😂😂😂
Am late but mob love ❤️ from Lebanon 🇱🇧 part 2 waiting
We'd appreciate it if you put some sub titles at least 😊
😂 😂 😂 Your husbands is my husband
English would do for some of us
😂😂😂after hiyo bidii yote bado hakijaeleweka
🤣🤣🤣 Imagine
Ilove you gus ❤❤❤❤
It's so interesting
This reminds me of the book " Men are from Mars Women are from Venus"
It's never easy to understand the other gender until we go back to the common dictionary
I love you guys... at least I met the miranyis family at umoja ll live🤣🤣
Ebu letea hawa wanaume wetu period stimulations ndo waskieee vile tunaskianga na ady watembee ama wabebe 5litres wakiwa nazo on😂😂😂
Anyway i love you guys
🤣🤣🤣🤣 Thank you
Men don't have the required muscles for these bodily activities
❤❤❤❤
Lit🎉
I love the way Enoch comes with his points😂😂
Thank you
❤
Mbna Martha anajiitaga family 🤔😀
Juu hao hujiita Miranyi Family,so Enock akisema miranyi Martha anasema Family
Hehehe our wives are the addition needed to make a family complete. This biblical btw 🥰🥰