MUNGU akitaka kukufanya uonekane ni dakika tu. Hii ndo maana halisi ya NJIA ZA MUNGU HAZICHUNGUZIKI NA MAWAZO YAKE SI SAWA NA YA MWANADAMU. MUNGU haangalii mtu kama sisi tunavyomuona. Sisi tunaangalia sana na kuhukumu kwa namna mtu anavyoonekana huku tukisahau kuwa MUNGU anaangalia kilichopo ndani ya mtu. Kuna Jambo kubwa la kujifunza hapa. Kabla hujamuita mtu chokoraa, kibaka, mvuta bangi n.k. Jiulize je, kwa MUNGU nae yuko hivyo hivyo??????? 😢.
ogopa sana muhuni akiamini katika mungu nomaaaaaa❤
MUNGU akitaka kukufanya uonekane ni dakika tu. Hii ndo maana halisi ya NJIA ZA MUNGU HAZICHUNGUZIKI NA MAWAZO YAKE SI SAWA NA YA MWANADAMU.
MUNGU haangalii mtu kama sisi tunavyomuona. Sisi tunaangalia sana na kuhukumu kwa namna mtu anavyoonekana huku tukisahau kuwa MUNGU anaangalia kilichopo ndani ya mtu. Kuna Jambo kubwa la kujifunza hapa. Kabla hujamuita mtu chokoraa, kibaka, mvuta bangi n.k. Jiulize je, kwa MUNGU nae yuko hivyo hivyo??????? 😢.
Nimependa mwisho mmemalzia na Tano 👊❤️🫂
Pamoja sana mwamba❤
Alhamdhulillah mungu tu😢😢
😭😭😭
Ok pow
Movie ya misuko suko kuja jamaa alikua anaitwa Mr chaku , alimpola seba mkoba yule mwamba sio yuko wapi kafanana sana na huyu mwamba
Hilo swali mwe kwa nini umepata mapengo? Jamani tunakoelekea si kila mtu atapata
Alipata ajali ya boda
Kwa kweli
ua-cam.com/video/pHAcFbBPTDY/v-deo.htmlsi=EPkV9v0-HB1nJt4G