Usiwe na pumba kichwani malaika ni viumbe kama wewe kucheza nao ni upendo kama viumbe wa mungu nyote kwa pamoja kwahiyo usichukulie kama ni kitu cha hatari sana ndugu
Ali Kamwe alisema like jua iwe mvua lazima mshinde sasa mnalalamika nini matokeo yenu si mumulize ali kamwe? Mtajifunzaga lini kua mpira ni dakika 90? Wachezaji wanajua kuikamia Simba tu kwanini hamkumuita refa wenu kayoko awasaidie?😂😂😂😂😂
Tatizo limeanzia pale mlipotaka kucheza na malaika,Mungu hadhihakiwi
Usiwe na pumba kichwani malaika ni viumbe kama wewe kucheza nao ni upendo kama viumbe wa mungu nyote kwa pamoja kwahiyo usichukulie kama ni kitu cha hatari sana ndugu
Nyiee kelele hukoooo😂,, ngweeeee ngweeee vyura napenda mnavyolalamika
Uwa napenda yanavyo lalamika mpaka raha😂😂😂😂
😂😂😂😂
@ROSEJORAM 😂😂
Endekeeni kuwapiga sindano vinginevyo mtafungwa sana
Mwanahalamu wewe ufugwe wewe mpumbavu ww
Aaaah sio sindano bado kocha mpya
Laana zinawatafuna et Tupewe malaika tuchezenao dah
Mzee magoma alisema yanga tukae pamoja Kuna slow punch yanga unatakiwa kuzibwa,msipo sikiliza tunaendelea vibaya sana.
Mfunge siku mia kuomba msamaha kwa Allah kwa kutaka kucheza na maraica
Mlimzihaki Mungu nakuomba mletewe malaika mcheze nao sasa mmeletewa binadamu wenzenu mnaanza kulia.
Kabisa hili litawatafuna sana tuu😂😂
Yanga hii unaifumgaje😂😂😂hooo tumechoka kucheza na Binadamu sasa tunataka kucheza na Malaika wa Mwenyezi Mungu😮😮😮Wekeni Akiba ya maneno acheni kufruu.
Safi Sana kaka wachezaji wametuangasha kwa 100%
Yani unachongeya nikweli hawakutaka mchezo kwakubeba ibenge Yani. Wanahalibu maishayo waondoke
Na malaika vipi waje au , Allah hataki kufanyiwa mzaha tulizeni vichwa vyenu
Wamuombe Allah (sw)msamaha hakika yeye ni mwingi wa kikubali toba
@ZulphaMsangi-s9g watajijua wenyewe na mihemko Yao maana hata akili hawatumiii
Na bado
Habari ndo hiyo poleni sana
siyo hawajitumi caf wamefika na jopo la watu 50 kwa ajili ya mechi 2 wakaona kujidunga watafutwa nguvu hamna
Zile sindano ni MUHIMU walipaswa KUFUNGWA WOTE KIPINDI CHA pili
Mimi ni Simba na pia ni Man city nashkuru tumepoteza mechi 4 EPL ninaumia lkn sio sana. Ila uchungu siuoni kwakua Simba inasolve my sad.
mliambiwa mnajidunga,uchawi mnakataa leo mmefunga kwenye mikono yenu lakini wapi hapo hakuna kayoko wala nani subirini nbc tu mfanye uovyo wenu
SIMBA,SUBIRINI YAKWENU KESHO
Nafurahi kuona hawa viumbe wanaliaaa
Kilicho kufulaisha fara ww mbwa ww
Wachezaji wenu mkiambiwa wamezeeka hamuelewi,miili yao haitaki tena wamefika mwisho..mfike mahali mkubali tu
HAOOOOO GIBUSTI SC
Kibabage Hana chochote kwayanga habadiliki
Misuli ishalegezwa MASINDANO😅😅😅
TATIZO MMESAHAU LEO KUWAPIGA SINDANO WACHEZAJI WENU NDOMANA MMEFUGWA
Maneno hayo sio mageni masikioni mwa wengi. Piga aooooooooo.
Endeleeni kuwapiga sindano wachezaji wenu wazeee pumbavu zenu mnaongea sana na huyo Ally Komwe wenu.
Gamond aliharibu team, toka msimu umeanza yanga haiko sawa
Wazee yanga wachezaji hawajitumi
Tatizo nipale mlisema wakuwafunga ni malaika tu mkaomba Mungu alete malaika sasa mmekoma
Yaan kibabage anaboa kisenge anashindwa kumwaga making wa2 wakanyaw
Yani mpaka msemee
Wachezaji hawajitumi
Alaf nyinyi washabiki wa yanga ss muache tabiy za bocdei izo ni habal za wanamama
Haya Tena kibao kimegeuka safi sana. Pole watani zangu😭😭😭😭😭😭
Hahaaaaaaaa raha sana kahuruma kwa mbaaaaaali
Mmeshenyetwaaaaaa😂😂😂😂😂😂
Hay jamani kimenuk tayar huk😅😅😅😅
HUYU SIO RAMOVIC WA TS GALAXY HUYU NI JIDDENA ALIEIMBA BAMBI
hao ote wasenge
Mmekutana na malaika mnalalamika nn sasa
Malaika vipi waje??
Hiyo ndo dawa ya anaemdhihaki Muumba.Na bado mtapigwa sana.
Mnatakiwa kwenda kutubu mnataka kucheza na Malaika.
Tatizo namba moja ni injinia hersi tatizo namba 2 ni Aziz ki.. Gamondi tunataka arudishwe
Mnalalamika nini si mlitaka malaika mcheze nao hawahapo sasa tambeni tabora tu mmewashindwa itakua hilali
Muliwataka Malaika kabla hawajashuhwa mnalia vipi wakija 😂😂😂na bado
Walipeni wavhezaji hela zao za usajili Hersi tapeli
Yanga kwenye kundi lao anashika mkia underdog
Coach ndio tatzo mchezo umepoa haongei chochote
Haya andikeni Sasa balua kwamba uwanja wa taifa amuutaki
Mwandishi umenifurahisha kwakuliza wachezaji wote au wakitanzania
Hii familia leo imevurugwa😂
Nabado mpaka mseme nakochawenu ndondokap
HE KUMBE JEZI MPYA ZA YANGA NZITO NAMNA HII?
😂😂😢 uchokozi
Iyo mazembe na iliyofungwa niyanga acha kutowa povu
Hadi muombe msamaa Kwa mungu Kwa kumuomba malaika
Tatizo mnasubiri kucheza na malaika 😂😂😂😂 subirini washuke mbinguni
Mbona mapemaaaaa
Kocha mpya amekataa sindano
Tuvunje timu wanazinguaaa
Sindano zafika mwisho wake 😂😂
Sio hawapambani masindano yakuongeza maguvu yameshawazoea wachezaji saivi hayaleti alosto 😂😂😂
Na bado hamjasema,muda utaongea na tutaelewana tu na vidingi vyenu
Majina hayamwagwi, majina huwa yanamwagika😅😅😅. Mbaka msemee
Mlimbipu mungu kawapigia mazima, nabadooo 😂😂😂😂😂😂
Wachezaji hawako fit
Subili muone pila biriani keshooo
Mpira una matokeo matatu kushinda ku droo au kufungwa mbili nyumbani,
Mmeshapotea nyieee imeisha hiyo mtalaumiana saana
Qurujuaan ya magoma nabado paka mseme
😂😂😂 basi hawa kila mchezaji watamlaumu mmefungwa kapumzikeni
Mi nauliza kwanii Yanga hii mnaifungaje ? 😅😅😅😅
Na bado mtalia sana😂
Hadi mtubu dhambi ya kutaka mcheze na malaika.
Bado mj😂asema paka mseme sindano zimeisha😂😂😂😂basi basi sisi tunaumia😂😂😂
Malaika wamekuja sasa si mliomba nyie
Tatizoni wachezaji wanacheza km wapo mazoezini makuma zao
😂😂😂
Leo hamtaki malaika ?
Bado hamjasemaaaa!!!!! Mpaka mseme..
5:10
Huyu kibabage ni shida
Hiyo laana waliagiza malaika wacheze nao ndio shida hiyo
😂😂 wakujidunga fc
Tangu Baka apigwe Kadi nyekundu amekuwa mwoga kweli
Si kamshika mtu pale lau isingekuwa goli ingekuwa penalt au hujui
Kapumzikeni bhana vidume wacheze kesho 😂
Hamja wa piga sindano
Ali Kamwe alisema like jua iwe mvua lazima mshinde sasa mnalalamika nini matokeo yenu si mumulize ali kamwe? Mtajifunzaga lini kua mpira ni dakika 90? Wachezaji wanajua kuikamia Simba tu kwanini hamkumuita refa wenu kayoko awasaidie?😂😂😂😂😂
TUNASHUKURU MAANA UMEUJUA UKWELI KWAMBA SIMBA WAKISHINDA TANZANIA INAFURAHI......nyie dunganeni misindano 😂😂😂
Simba inaingiaje hapo?
Leo kikosi kapanga engener msimlaumu kocha
Mimatokeo tu tusiwaraumu
Mambo ni burdaaaaaaaaaani kabisa . Watu weweeeeeeeeeeeeee!
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂
Kumbe mnajua kuumia mbwa nyie si mlikuwa na furaha juzi tuuuu ha ha haaa ubayaaaaaaaaaaaaa ubwelaaaaaaaaaaaaaaaa
😂😂😂
Nyie si mliagiza malaika mcheze nao kweli wenye akili wawili
😂😂😂😂