🚨Uchambuzi Crownfm,Mazito Alikamwe atakiwa KULIPA Billion 3 kwa Sandaland,Kashifa ya jezi ya Simba.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 гру 2024
  • Mwanasheria na baba ake Alikamwe wafunguka sakata la Alikamwe na Sandaland. #football #alikamwe #ahmedally

КОМЕНТАРІ • 71

  • @kichefuchefu2382
    @kichefuchefu2382 День тому

    Mbna simba Wanasema jez zayanga ni Vitenge

  • @HusseinHussein-f7n
    @HusseinHussein-f7n День тому +1

    huwezi kuelewa maan wew sio mfanya biashara eti

  • @emlongetcha88
    @emlongetcha88 День тому +1

    Hata AZAM nao wangeamua kumshitaki Ally Kamwe... Kwa Deformention wangemtoza faini kubwa zaidi ya hiyo Billion 3. Ally aache utoto afenye kazi yake kwa weledi tu

  • @hamisihmchachulamchachula7904
    @hamisihmchachulamchachula7904 День тому

    Huyu anatabia za kishoga sana yaani daah,sio Bure Ali atakuwa anafilwa tu maana hawezi kuwa hivi

  • @MajiMoto-w5t
    @MajiMoto-w5t 7 годин тому

    Mmesikiliza vzr hizo kauli za Ali?hakuna kesi hapo

  • @SuleimanHarun-v4l
    @SuleimanHarun-v4l День тому +1

    Ieleweke kuwa akiomba radhi maana yake amekubali kosa bado sheria inaweza chukua mkondo wake

  • @nacetsiringa1334
    @nacetsiringa1334 16 годин тому

    Ahmed Ally aliita jezi zetu ni vitenge na sisi tumshitaki?

  • @athuman7480
    @athuman7480 День тому +1

    Dogo anakiburi sana

  • @HusseinHussein-f7n
    @HusseinHussein-f7n День тому

    Mutajuwa wenyew shida ya Ali kamwe anatumia nguvu kubwa ili aonekane yey ni bora kuliko Ahmedy Ali,Ali kamwe hana nizam ya mpira kwan ameshawakashf watu wangpi

  • @marystambuli8045
    @marystambuli8045 2 дні тому +2

    Sisi yanga tuliambiwa jezi zetu ni vijora lakn jezi ziliuzika na zkaisha. Na wala GSm na Sheria Ngowa hawakushtaki.

  • @Mtangazaji
    @Mtangazaji День тому

    Mwanasheria ameongea mambo ya msingi sana, bahati mbaya miongoni mwetu tunaliangalia kishabiki.

  • @mbarakasijaona7638
    @mbarakasijaona7638 2 дні тому +1

    Simba njaa na matambala yao

    • @RashidiMwiga
      @RashidiMwiga День тому

      Nyie msio kuwa na njaa mbona mna madeni Kila kona?

  • @williamnyasa3834
    @williamnyasa3834 День тому

    Hata kama siyo Mwanasheria hapo hamna kitu

  • @MauBonde
    @MauBonde 2 дні тому

    Tutaandamana sasa mana hatuwezi kufikishana huko kwenye utani wa jadi

  • @mwikamwika4851
    @mwikamwika4851 2 дні тому +1

    Shida ya huyu dogo imeingia kwenye mtego wa kibiashara badala ya kishabiki wa utani wa jadi.
    Kijana amejisahau hajui Kesho Yake. Huo ujinga hata manara hakuufanya alijua athari za kibiashara.
    Yeye alipaswa kutafuta lugha na maneno ya kuzitangaza biashara za mwajiri wake bila kuathiri biashara ya MTU mwingine

  • @jamespeter5882
    @jamespeter5882 2 дні тому +1

    Hujaona kwa kuwa biashara siyo yako

  • @maandaziimakavuu3790
    @maandaziimakavuu3790 День тому

    Kwa ushauri wangu msameheni hii italeta vita kwa timu zetu pia iyo ela nyingi!!?

  • @AgnessGerard
    @AgnessGerard День тому

    Majez mabayaaaa kwn uongooooo

  • @andrewmaiga4331
    @andrewmaiga4331 День тому

    Kosa lipo kwa kuchafua brand ya SANDA. Ni bora kuwa na break.

  • @JohnKapalamula-z9j
    @JohnKapalamula-z9j День тому

    Hakuna shida hapo ila mijezi nimibaya sana

  • @raphaelchauwele3547
    @raphaelchauwele3547 День тому

    Mwandishi yanga ishawahi kufanyiwa hivyo kwa jersey zote mbona hakuna aliyewahi kuwachukulia hatua Simba na Yanga sio watu wa vita ni watan wa jadi

  • @ottomogella
    @ottomogella День тому

    Kaishiwa uwezo wa kudesign atrend anatafuta kick atrend

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 2 дні тому +1

    Madunduka wakisema wachezaji wetu wana pga. Sindano mbona sanda ali anasifu jez ya taifa majez yana doda

  • @allymtinga1692
    @allymtinga1692 2 дні тому

    Kwani uyu mtoto anajielewa uchawa hatari

  • @GidionPeter-k8y
    @GidionPeter-k8y 2 дні тому +2

    😂😂😂😂

  • @panchovalentino3576
    @panchovalentino3576 2 дні тому

    Jezi Zao Mbaya kinoma noma Ukweli nDo Uooo 😅😂😁😆🤣

    • @QchiefuBarnaba-u3q
      @QchiefuBarnaba-u3q 2 дні тому

      Sasa jezi zetu mbaya nyie zinawahusu nini

    • @swadahamningo1948
      @swadahamningo1948 2 дні тому

      Kama timu La yanga mechi 3 mfululizo linapigwa tuu

    • @mbarakasijaona7638
      @mbarakasijaona7638 2 дні тому

      Njaa mbaya hakuna cha brand hapo mnatapatapa jezi mbaya

    • @swadahamningo1948
      @swadahamningo1948 День тому

      @@mbarakasijaona7638 Kama timu la yanga linapigwa mechi 3 mfululizo litimu lao linanjaa

  • @BiutyMaokola
    @BiutyMaokola 2 дні тому

    Ss yanga tuluambiwa jezi zetu za vitenge kwani GSM aja kosa ela

    • @mckobatz5861
      @mckobatz5861 2 дні тому

      Kama ni kweli tuache sheria ifanye kazi

  • @FurahaAngetile-m4w
    @FurahaAngetile-m4w 2 дні тому

    Washenzi sana makolo tunakoenda mpira zitakuwa zinapigwa ngumi kwa ujinga huu wa kutaka msisemwe ila msifiwe tu

  • @immaabukuku7180
    @immaabukuku7180 2 дні тому +4

    Je kama alikamwa angekua aliwapa compliment nzuri yenye faida kibiashara angepiga mahesabu ya faida aliyomuingizia kwenye biashara na angemlipa alikamwe kwa kusababisha positive impact kwenye biashara yake

    • @Kain-n3i
      @Kain-n3i День тому

      Vp ulitaka iweje hapo

    • @gilbertchilewa-su2hc
      @gilbertchilewa-su2hc День тому +1

      Ishu ni kwamba ukiwa hujatuma ukitoka positive ni faida kwa muhusika na kukutumia ni hiyari yake ila ukitoka negative pia hujatuma na muhusika na kwakuwa inaharibu basi kushitakiwa ni kawaida. Nikuulize swali kumpongeza raisi ulishawahi kuona vyombo vya Dola vinatoka kukusifia kwa kumpongeza raisi, lakini ukimtukana nn kinatokea. Punguza ushabiki fikiria pia kwa upande wako mtu akijaribu kukashifi BIASHARA yako utaipokeaje.!?

    • @Khalidniya380
      @Khalidniya380 День тому

      Kwani wew ulita iweje?

    • @kombewilliam2063
      @kombewilliam2063 21 годину тому

      Kwan katumwa na nan

  • @sosthenesmaemba
    @sosthenesmaemba 2 дні тому

    Yani nyie mna shida, Yeye kaongelea SANDA, hapo unasema SANDALAND, kuweni makini, brela watatwambia kama kuna kampuni imesajiriwa inaitwa SANDA, Hapo sawa, kama walisajili SANDALAND, basi watasema hiyo sanda inafanyaje kazi bila kusajiliwa, waangalie wasije daiwa na Selikari, pia kuna mtu aliita watu maiti wakiniandaa na mchezo , tumakinike ndugu zangu.

  • @lusajomwakasonda785
    @lusajomwakasonda785 День тому

    Unajua msiseme hamuoni kosa, kosa hapo lipo sema nyunyi hamuelewi mambo ya biashara,..huyo dogo tatizo ana uwezo mdogo wa kuchanganua mambo, a a mihemuko yakijinga kiasi huwa anajikuta anaropoka ujinga, ameshawahi kumfananisha Juma Mgundana andazi

    • @user-ls8rn4tz5m
      @user-ls8rn4tz5m День тому

      Wewe kolo tulia mliita jezi zetu vitenge mkaita Tena vijora lakini hawakwenda kushitaki

  • @salimumwenguvu2248
    @salimumwenguvu2248 2 дні тому

    Mzee Alishamwambia😂

  • @RashidiMwiga
    @RashidiMwiga День тому

    Shida ya huyu dogo anashindwa kujua yeye ni afisa habari hatakiwi kuwa mropokaji hayo mambo ya uropokaji ni ya washabiki siyo kiongozi kama yeye.

  • @graceliwanda1533
    @graceliwanda1533 День тому

    Kasema jezi feki

  • @chemstry409
    @chemstry409 2 дні тому +2

    ALI HUNA BABA HAPO NA WALA USIMTAFUTE WALA NINI HANA MPANGO KABISA HUYO MZEE....

    • @mckobatz5861
      @mckobatz5861 2 дні тому

      Kama hana baba we ndio umedondosha lenda kwa mamaake Ali?😂😂😂

    • @chemstry409
      @chemstry409 2 дні тому

      @mckobatz5861 kiswahili kigumu sana ukikiendea pupa matokea yake yatakuwa kama wewe ulivyo andika...

    • @mckobatz5861
      @mckobatz5861 2 дні тому

      @@chemstry409 hakina ugumu wowote ukiwa na upeo mkubwa kilimwengu unajua lugha ya kuzungumza na watu kulingana na upeo wao. Ungekuwa na hekma ulipaswa kumshauri dogo aombe radhi ushabiki usiwe na nafasi ktk mambo serious kibiashara watu wamefanya uwekezaji wapate faida mtu akikosea na akapewa room ya kuomba radhi baba anasisitiza hilo we unasema asimtafute babaake tena kwa lugha ya kuudhi "huna baba usimtafute huyo mzee" just imagine

    • @chemstry409
      @chemstry409 2 дні тому

      @mckobatz5861 Ali hapaswi kumuomba radhi mtu yoyote yule brother...how many people there been abused Jezi za Yanga and no one complained so why now???? Sanda anatoa Jezi za National timu na Ali kamwe ni miongoni mwa watu walio nunua Jezi hizo na hajasema kuwa ni mbaya amesema Jezi za Simba Mbaya kwa sababu ni Utani wa Jadi tulioukuta toka kwa Wazee wetu sasa Sanda kama anaona utani hawezi basi akauze bidhaa zingine lakini ambazo hazina mambo ya Utani..lakini huku kwenye Yanga na Simba brother Utani upo na utaendelea sana tu....Sanda asitake kutupeleka huko....

    • @bakanga1410
      @bakanga1410 День тому +1

      ndg watu wanawekeza kwenye mpira na ushaambiwa mpira ni biashara sasa ww karagabao..watu wanalipa kodi hata serikali haitaki kuharibiana brand

  • @HabibuMuhunzi
    @HabibuMuhunzi День тому

    Jmn muoneeni huruma uyu mtoto

  • @mbarakasijaona7638
    @mbarakasijaona7638 2 дні тому +1

    Jezi mbovu hakuna kitu hapo jezi mbovu njaa zitawasumbua Sana Simba hakuna kitu hawajitambui mikia hawa

  • @hamlali66
    @hamlali66 День тому

    Hakuna tatizo hapo kwa maana ya UTANI

  • @RashidiMwiga
    @RashidiMwiga День тому

    Bado mchome nae anatakiwa afundishwe adabu kama hii.

  • @MauBonde
    @MauBonde 2 дні тому

    SASA utani wa jadi uko wapi

    • @swadahamningo1948
      @swadahamningo1948 2 дні тому +1

      Utani wa jadi yanga na simba nasio sanda na brand yake muelewe viazi nyie

  • @HamisiRamadhani-p2d
    @HamisiRamadhani-p2d День тому

    Jamani tuwe wawazi mijezi Yao Kwa kweli ni mbaya kama ni nzuli mbona hawazitaki na sio siri

    • @Kain-n3i
      @Kain-n3i День тому

      Vp nawew tuandike maelezo ya kisheria

  • @SuleimanHarun-v4l
    @SuleimanHarun-v4l День тому

    Huyo dogo ameshazoea kusema ovyo na kwa kweli anaharibu tasnia ya utangazaji

  • @ChifuMwakatobe-o8x
    @ChifuMwakatobe-o8x 2 дні тому

    Huo ni utani