Mazingaombwe!
Вставка
- Опубліковано 30 кві 2013
- Wakaazi wa kijiji cha Kiembeni eneo la Ioma kaunti ya Mombasa bado wanastaajabia tukio lisilo la kawaida ambapo paka mmoja amekuwa akitoa sauti za kimaajabu ajabu kwa muda wa siku nne zilizopita baada ya kukwamisha kichwa chake kwenye mtungi mmoja wa maji. Wakaazi wa eneo hilo wamemhusisha paka huyo na ushirikina na hadi sasa juhudi za kumuokoa paka huyo kutka kwenye mtungi huo wa maji hazijafua dafu.
The kitty is obviously in distress. Ushirikana upi badala wakate mtungi wamwokoe huyu kiumbe.
Small minds.
This video broke my heart. They should have saved the poor cat.
Lol paka alikua na kiu ya maji...so alihisi harufu ya maji kwenye mtungi ndio akaingiza kichwa ili akunywe. Kutoka ikawa shida,sio mambo na uchawi!
Sure
nyinyi ni mafa.. sana na unarepoti kutoka citizen,kwendaaa...
please help that cat
Watu wote hapo iq yao ni -200🤔
huyo paka simgepasua hiyo mtungi ama muichome musaidie paka, uchawi ya nini aaargh
Huyo jamaa kisha anatingisha mtungi haivuti
Wapubavu sana! Badala msaide paka mwangalia ka sinema ka ni mtoto mwangalia hivyo hivyo?
Aki si they just help the poor kitty,,, uafrika utatumaliza aki 😩😩
kukojolewa kichwani hahaha
yan nmecheka aih, kuamini nayo
kweli kuna kabila jinga hii Kenya
Si wakate mtungi waitoe
Nonsense save that cat
I really hope that the cat was freed
Waache usenge wanashindwa kumsaidia paka uyo wanamtizama
Wapatiye paka maji
just help the goddam cat...oviosly the poor kitty is in agony.
poor cat.
4 days animal activist wako wapi
Wakenya mnamambo
Mjinga wa kwanza ni huyo mwanahabari wengine wafuate,badala ya kusaidia paka,akate mtunge paka aende,yuko busy na licamera lake,jinga sana.sini ajali tu.hakuna maajabu hapo,kumbe kuna wajinga kweli..nimeamini..
Nonsense.......silly believes
Really!!!!! Ujinga ni ujinga tu
le chat
dah badala ya kumsaidia wanaangalia tuu
silly people poor cat
Rghv
This is stupidity of the villagers cause its accidental the cat is innocent
When you do not come from a place and you see no one helping, first ask why they are not helping before you rush in. I worked in a place where a man's house caught fire and two people rushed to help him. The next night the houses of the two caught fire and 5 people went to help them, the next night, houses of the five caught fire, no one came to help them because they now understood what was happening. No more fires happened afterwards.
Hao wajinga wasaidie paka...........foolish Kenyans
Your making videos and animals Is dying there. U have to cut it and help the innocent animals
This video broke my heart. They should have saved the poor cat.
Eti jmn😢