Mwl Musa Chiwanga // Mbele ninaendelea&Napenda kuimba fadhili zako.29/04/2023.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лют 2025
  • Tenzi za Rohoni Mbele ninaendelea & Napenda kuimba fadhili zako,ni wimbo ulioshika nafasi ndani ya moyo wangu mnamo tar 29/04/2023. Siku ya Jumamosi katika maombi kufunga na kuomba,katika Eneo la Mjini Iringa.
    Ni heri kumwambia BWANA akupe hatua nyingine ya kuendelea mbele zaidi mahali popote ulipo katika maisha yako, inawezekana Kuna vitu vimekwama maishani mwako,Lakini jifunze kumwimbia BWANA kwa kumpa shukurani nyingi maishani mwako,haijarishi umepitia changamoto nyingi kiasi Gani.
    MUNGU AKUBARIKI NA KUKUTUNZA SANA.🙏🙏🙏

КОМЕНТАРІ • 4