Ibada ya Maombi ya kumshukuru Mungu Kwa nusu ya kwanza ya Mwaka//28.07.2024//Mwl Musa Chiwanga

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лют 2025
  • Napenda kumshukuru Mungu kwa matendo yake makuu aliyotenda kwangu na kwa familia yangu,ndani ya miezi 6 ya kwanza ya Mwaka 2024,Zaidi ya yote Nikushukuru wewe unayeendelea kufuatilia kazi hii ya injili na MUNGU wa MBINGUNI akubarikini sana 🙏

КОМЕНТАРІ • 10