Serekali inajukumu lakulinda raia na Mali zao.watu kutekwa,kupotea na kuawa kuhama NCHI si hatia lazima taarifa zitolewe,alafu hii tabia ya refa kutetea timu Fulani huo ni ukiukaji wa uhuru wa democrasia .
Amani Tz ni watu wake wasiulize au kuhoji yeyote. Amani ni kuwa na Chama kimoja tu CCM. Ulinzi upo kwa Spika na wote wa ngazi za juu, wengine wakipotea ni halali kwa serikali.
Duuuuu!! hivi huyu huspika ni ........au basi daaaaaa
Jamani jaman.nini kazi ya polis.?????.viongoz nyie hata hofu yaMungu jaman
Soka je mmemshikilia au amejipoteza au Diwani na Mkuu wa Mkoa kasema akamatwe? Masaa 24 yamepita, Sasa?
Serekali inajukumu lakulinda raia na Mali zao.watu kutekwa,kupotea na kuawa kuhama NCHI si hatia lazima taarifa zitolewe,alafu hii tabia ya refa kutetea timu Fulani huo ni ukiukaji wa uhuru wa democrasia .
😢😢😢
Wangekua wanakaa nawapiga kura wao wangepata siri.kinachoendelea kwenye majimbo yao. Wanafanyia kaz ya kwenye mitandao
Wabunge wote wanausika kujua wanaopotea. Maana wanatoka kwenye majibo yao. Mbunge hajui ata barozi wa shina lake.mwekit wa taw lake.
Huyu ni yule wa kipind cha MAGU au.
Amani Tz ni watu wake wasiulize au kuhoji yeyote. Amani ni kuwa na Chama kimoja tu CCM. Ulinzi upo kwa Spika na wote wa ngazi za juu, wengine wakipotea ni halali kwa serikali.
Sipika tulia na kasim majaliwa acheni ujinga mbuuzi utekaji ni nyinyi serikali ndo maana hutaki
Mmmh
Hapo kweli jamani spika kasema kweli asa hao waliotolewa kafara na mganga uko singida nao utasema walitekwa na serikali?
Wejinga kweli kwani mbona mnakwepesha police kuwateka watu
Iyo movie mganga kagangwa,kukwepesha shutuma