CHINO APELEKWA MAHAKAMANI NA FEROOZ // ATAKIWA KULIPA MILIONI 100 // KAIBA WIMBO WANGU..

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 68

  • @ASALABOY
    @ASALABOY 7 днів тому +4

    Brow Ferroz kama ujatajilika muda Leo ata izo 100 mil ukipata aitasaidia kitu chochote Sabu umechezea Nafasi yako. Et mashabiki wanalalamika kkkkk

  • @solanzatanzania
    @solanzatanzania 7 днів тому +4

    Kwanini Chino Anaiba wimbo wa ferooz, si aje nimpe mijimbo kibao tu mingine inaliwa na panya huku 😂

  • @MfiriFulgensi
    @MfiriFulgensi 9 днів тому +7

    Tumien ubongo msitake mserereko nyimbo zawatu wameumiza ubongo

  • @RabihuHussein
    @RabihuHussein 8 днів тому +4

    Hivi vijisanii vya sasa havinaga adabu kbs, kazi kukopi tu.

  • @mudywaya328
    @mudywaya328 7 днів тому +2

    achenilohombaya utalipwa ilatutaangalia hiyongoma imeingiza shingapi kwenyedigito platform zote imeingizashingapi ukishalipwa nanyimbo ifutwe

  • @Yussuf3145
    @Yussuf3145 9 днів тому +5

    Naomba Ferooz ashinde hii kesi...in shaa Allah.. A Fan from Kenya.

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 9 днів тому +7

    Kudai haki yake ni kuzingua?kote duniani kama hamjui,hata ukitumia melody ya wimbo wa mtu,unatakiwa ufate taratibu zote,na msanii husika,sema tanzania wasanii wengine huona mambo kwa wepesi,hivi mnaompinga ferooz humu,mmewahi kaa chini kutunga hata katuni?au mnaongea tu ili mradi msikike?ferooz yuko sahihi kabisa

  • @AyoubMussa-w9s
    @AyoubMussa-w9s 6 днів тому +1

    Dogo amfate broo wayaongee HESHIMA NDO IMEKOSEKANA HAPO feruz hana matzo

  • @Lulualshagri
    @Lulualshagri 8 днів тому +3

    DAI HAKI YAKO WAMEZOEA MSELELEKO KWANINI WASIUMIZE VICHWA WENYEWE WATAKAOONGEA WAACHE WAONGEE MBONA SOGY DOGY KAPAMBANIA HAKI YAKE ACHANA NA WABONGO WANAPENDA KUSHABIKIA VITU VYA KIJINGA

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 8 днів тому +3

    Your very right Legend wanawacheka hamko na maisha huku wakitumia kazi zenu,,hongera kwako bro

  • @spartachize122
    @spartachize122 8 днів тому +3

    Kazi za msanii lazima zimfaidi msanii mwenyewe so Feruzi yupo sahihi kabisa❤much love from 254

  • @qimlaw6723
    @qimlaw6723 7 днів тому +2

    Mungu akusaidie tu ufanikiwe,wanaokulaum achana nao hawajitambui.

  • @Abby_Shawn_KE
    @Abby_Shawn_KE 8 днів тому +4

    Chino simkubali ni mmoja ya wasanii walio kwenye muongozo wa ibilisi hana kipaj yule, Mashoga tu

    • @emmanuelmayunga1518
      @emmanuelmayunga1518 8 днів тому

      Very true

    • @Abby_Shawn_KE
      @Abby_Shawn_KE 8 днів тому

      @@emmanuelmayunga1518 🤗pia kwenye sanaa nafanya mawili matatu teleza kwenye profaili yangu kuna jambo

  • @SaidiPala
    @SaidiPala 7 днів тому +2

    Kwanza chino ni mwanamuziki au ?maana kuimba kwewe hajui.

  • @dismanManota
    @dismanManota 6 днів тому +1

    Feruz kama mkongwe angempa shavu tu dogo kwani angepungukiwa nin

  • @controlTheoryChamps
    @controlTheoryChamps 4 дні тому +1

    MX-CARTER wasanii kibao wanamlalamikia kila siku

  • @rashiddymtejah7257
    @rashiddymtejah7257 5 днів тому +1

    Ferooz mnafiki sana,kumbe mshamba

  • @JacksonAmma
    @JacksonAmma 9 днів тому +7

    Ulifatwa kakah sema umemgeuka chinno na alichozingua ni kuongea na ww kienyeji ndio kilichomponza.

    • @kilelamniko9678
      @kilelamniko9678 8 днів тому

      Ndio iwe funzo, ndio wajue hakuna kufanya kazi kisela

  • @pajokakasasa
    @pajokakasasa 8 днів тому +2

    Pambania haki yako kaka,mbona Idia zipo nyingi tu,kwann acopy?

  • @FrankMeney-e6o
    @FrankMeney-e6o 8 днів тому +3

    Acha njaaa mzee maisha ni Aya Aya Mzee

    • @JosephAdam-e9w
      @JosephAdam-e9w 6 годин тому

      Feruz ananjaa anauwezo wakukulisha mwaka mzma. Usimchukulie poa

  • @bosco709
    @bosco709 6 днів тому

    Tatizo umerudi ume zeeka namziki urishaga cenchi uta weza kweri ukiritimba uriyopo kwasasa????

  • @Dundo-tv6005
    @Dundo-tv6005 8 днів тому +4

    Mmmmmmmmh kwamwenendo uhu utadidimia nakubaki jina tu. Na zilizo pita

  • @DavidMido
    @DavidMido 8 днів тому +1

    ata anayefanya interview kam ana mdhiak iv

  • @ngadumbishi1405
    @ngadumbishi1405 9 днів тому +3

    Hela ulitumia ovyo kipindi uko kwenye pitch matokeo yake unafosi kupata pesa kwenye jitihada za wadogo zako kama ungemkatalia asitumie iko kipande cha maneno yako naamini chino asingeweza kufanya umeshindwa kushiba kwenye sinia sasa unalazimisha kushiba kwenye kijiko sasa

    • @Joppa555
      @Joppa555 9 днів тому +1

      😮😮😮😮kushiba ni kushiba tu,kwanin yeye huyo bwamdogo asitunge kitu chake😂😂😂(create yo own staff)

    • @kilelamniko9678
      @kilelamniko9678 8 днів тому

      Huna akili,Mziki ni biashara bata wewe.

    • @KudrahPembe
      @KudrahPembe 6 днів тому

      Mkundu wewe

    • @ngadumbishi1405
      @ngadumbishi1405 2 дні тому

      Mkundu munyewe​@@KudrahPembe

  • @saidyallyy6103
    @saidyallyy6103 9 днів тому +2

    msenge tu we feruz ushafulia asaiv kwa starehe uzembe unata mserereko😂

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 8 днів тому +2

    Pure Talent kabisa kwenye hii game

  • @Pascaltz
    @Pascaltz 9 днів тому +4

    Salut feruzii maana hawa wasanii huwa wanajisahau kaka mm nakuunga mkono

  • @kitaraabdi9529
    @kitaraabdi9529 9 днів тому +4

    Iyo Amos Mwamakula na Azam TV

  • @sergebaleke695
    @sergebaleke695 5 днів тому +1

    Njaa mbaya sana mzee baba 😂

    • @JosephAdam-e9w
      @JosephAdam-e9w 6 годин тому

      Mzee uyu mwamba anaela afai usimchukulie powa

  • @hamzaadrin941
    @hamzaadrin941 8 днів тому

    Ukiwa mtu mzima ivi alafu ukaendekeza njaa ni tabu sana aisee kuna vitu ona aibu kidogo mbona kipande kidogo sana kimetumika mzee

  • @hamzaadrin941
    @hamzaadrin941 8 днів тому

    Kwa sheria ya mziki Huna haki kuhusu chino labda kwa huyo mwingine uliye mshitaki kwakuuza kazi zako bila rizaa yako

  • @MussaRobart-w2y
    @MussaRobart-w2y 9 днів тому +3

    Ivo ivo ferooz watoto wanazingua

  • @NgoshawaMwanza
    @NgoshawaMwanza 9 днів тому +2

    Ferouz Anasumbuliwa na Njaa, hana lolote, Awali Aliongea na Chino na walikubaliana, , umasikini ni kazi Sana

    • @maulidi8479
      @maulidi8479 8 днів тому

      Akili huna wewe

    • @Two27-uu6lc
      @Two27-uu6lc 8 днів тому

      Ulikuwepo walivyokubaliana na unajua makubaliano yao kama yalitimizwa au kelele tu

    • @NgoshawaMwanza
      @NgoshawaMwanza 7 днів тому

      @@Two27-uu6lc Fatilia Interview za Chino usikilize,

  • @kasimuhamidu8467
    @kasimuhamidu8467 9 днів тому +2

    Hak

  • @ChingaPambakalii
    @ChingaPambakalii 9 днів тому +1

    maskini mbaya sana iyo nyimbo hajakop chochote

  • @KOMASAVAOG-yb1mm9fk1r
    @KOMASAVAOG-yb1mm9fk1r 9 днів тому +1

    Umezinguwa mzee waliokushauri walikukosea saan

    • @abrahamumusa2229
      @abrahamumusa2229 9 днів тому

      Upo sahihi hana point ila anataka pesa tu hana cha maana

    • @Joppa555
      @Joppa555 9 днів тому +2

      😂😂kuzingua au kutozingua ni moja,swali ni vipande vimechukuliwa au havija,Kama ni ndio basi huna haja ya kumlaumu Sheria ya ubunifu inam'beba,kwanin bwamdogo asitunge kitu chake😊😊😊😊

    • @kilelamniko9678
      @kilelamniko9678 8 днів тому +2

      Kwanini yeye apige hela kutumia kazi za wenzake

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 9 днів тому

    Wasaniii wa bongo bana,,,unataka kutokea kwa chino ,duh

  • @AlouiseNgenDanDumwe
    @AlouiseNgenDanDumwe 9 днів тому +2

    Umaskini noma

    • @johariabdalla3319
      @johariabdalla3319 9 днів тому +2

      Watu kama nyinyi ndo wa kupigwa bunduki hadharani,mtu anapopigania haki yake ikisha nyinyi munaleta maneno ya kijinga!!mtu akipigania haki yake ni kosa!!

    • @Pascaltz
      @Pascaltz 9 днів тому +2

      Usiseme umasikin hiyo ndo kazi yake ndugu

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari 9 днів тому +1

      Huna akili hao kina Chris's brown wanashtaki atakua huyo tatizo watz wengi washamba na wajinga mnoo mfano ndo ka wewe kudai haki yako unadai kivyovyote vile haya uyo Chino anaedaiwa ni Tajiri kwan? Acheni ushamba

    • @Joppa555
      @Joppa555 9 днів тому

      Akili yako ndo imekaa kimasikini,kufuata sheria ya ubunifu haina umasikini Wala utajiri mahakama ndo itasema ukweli,AY na FA walivowasue tigo wakalipwa walikuwa masikini?

  • @manchidlizabon9278
    @manchidlizabon9278 9 днів тому +1

    Hizo njaaa kaka mda wako ushapita sas unadhan hzo milion 100 ukipewa ztakufkisha wap ckia bro pesa ya dhuruma haiwez kukufkisha popote

    • @Joppa555
      @Joppa555 9 днів тому +1

      😊😂😂mzee una akili kibaba,saazingine usidrop commee hapa Kama uwezo wako wa kujenga hoja ni mdogo,after all unaonekana lame hata hujua kuhusu hati miliki

    • @kilelamniko9678
      @kilelamniko9678 8 днів тому

      Wewe ukipewa hiyo milioni 100 utafanyia Nini,mziki ni biashara acha ujinga.

    • @manchidlizabon9278
      @manchidlizabon9278 8 днів тому

      @@kilelamniko9678
      Wewe choko nn ? Sas kma mzk biashara ndo arud kma anaweza

    • @manchidlizabon9278
      @manchidlizabon9278 8 днів тому

      Na wew kumbe ni kiazi?

    • @maulidi8479
      @maulidi8479 8 днів тому

      We zero brain 🧠