Hongera sana Wana SsC KWA Hekima na Busara kwenda kumwoona Babaaenu huko Zanzibar heshima YAKO Rais Hussein mwinyi KWA mapokezi makubwa yenye Baraka kubwa!❤❤❤❤
❤ nakupenda sana rais wangu kipenz Dr mwinyi idea ya Simba umeikubali umezidi kutupa Imani ya kimichezo ktk taifa hili ama kweli msomi aitwe msomi Tuy na mwenye kuhangaika na mabenk bc ahangaike na mabenk mwisho wa siku madeni atalipa hongereni sana Wana Simba mmekuja nyumbn znz kumbe mumekuja na wazo jipya wenzenu wazee wa kuiga iga wanahaha na kuona haya yanga hawana plat form bwana ukweli usemwe munajua kutambulishana mademu tuy uwanjani hahahahaaa😂 chezea Hussein mwinyi mwenye Simba yake ubaya ubwele......
Ukiskia ubwela ndo huu vilabu vyote vya Zanzibar ccm wameshaviua sahivi wanarapia vya Tanganyika huyu ni mtanganyika ndo kwao Zanzzibar hata fifa haijulikani hata haya ccm hawana wanazid kuinakamisha Zanzibar
Ucpende kuzungumza ucyoyajua bwege weee fahamu kwamba kilichosemwa pale ikulu ni michezo na wala sio siasa mjinga weee acha kumdhihaki rais utaishia pabaya ujue hii mitandao ya kijamii mdg wangu tambua data zako zipo on unachokinena ujue nani unamzungumza mpumbavu weee.....
Mungu akubaki sana mh Rais mwinyi
Hongera sana Wana SsC KWA Hekima na Busara kwenda kumwoona Babaaenu huko Zanzibar heshima YAKO Rais Hussein mwinyi KWA mapokezi makubwa yenye Baraka kubwa!❤❤❤❤
Zanzibar inahitaji raisi kama mwinyi
Hongera mr president
Asante Mh. Rais kwa kutupatia eneo la kujenga academy lakini sisi simba wenyewe hatuna uwanja ulio kamilika, kazi ipo Mungu atufanyie wepesi.
aminia Rais wangu team ni simba tu nguvu mojaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Asante san d mwiny pia tunashukr san mashabiki wasimba
Mungu szid kukulinda na akupe umri mrefu❤❤
Mungu ataleta wepesi ishalla
❤ nakupenda sana rais wangu kipenz Dr mwinyi idea ya Simba umeikubali umezidi kutupa Imani ya kimichezo ktk taifa hili ama kweli msomi aitwe msomi Tuy na mwenye kuhangaika na mabenk bc ahangaike na mabenk mwisho wa siku madeni atalipa hongereni sana Wana Simba mmekuja nyumbn znz kumbe mumekuja na wazo jipya wenzenu wazee wa kuiga iga wanahaha na kuona haya yanga hawana plat form bwana ukweli usemwe munajua kutambulishana mademu tuy uwanjani hahahahaaa😂 chezea Hussein mwinyi mwenye Simba yake ubaya ubwele......
Asant sana mheshimiw rais kwa kuttuung mkon 🙏🙏
ASANTE SANA D MWINYI. MUNGU IBARIKI SIMBA
ALLAH AKUWEKE RAIS MWINYI, AKUPE AFYA
Hongera sana timu Yangu Simba
Safi sana Tue eneo tujenge
Simba nguvu moja ❤❤❤❤
Big up dk Mwinyi kwa kuwapa simba shavu,,na ss yanga inakuwaje dk
Safi sana Rais wetu pendwa D mwinyi
HONGERA SANA RAIS MWINYI KWAKUKUBALI OMBILA SIMBA ZNZ ITAKUWAJUU SANA TOKANA NASIMBA KUTUMIA UWANJA ZNZ MAPATOYATAKUWA JUU SANA
Congatratinion president for help us those taem ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Simba nguvu moja
Dr mwinyi👏👏👏👏
Hongera Sana raismwinyi
Thank you our president
Umetisha kiongozi
Mungu ibariki simba
Apo sawa ila goli la mama simba wamepewa au inapendelewa yanga
💪💪💪🌹🌹
Maendeleo mazuri
Wape hadi mkeo. Kura hupati wazanzibari tuna malengo yetu
Safi sana Rais, uwanja mkubwa muhim sana, hata apo kwahani panafaa
Ni academy
Ansant ila Kuna wengne hawajuh kiswahili
Simba ubaya ubwela❤
Hii itakua ndio timu ya dr mwinyi
Mungu
Ibaliki
Klabu
Ya
Simba
Simba
Nguvu
Moja
dibrah fernandez mavamboo haeli kiswahili jaman use ENGLISH FOR ALL
Kwan ilimpeleka shule ww
Simba nguvu moha
Nani kama the ngunguzi😅
Nanyie yanga ombeni uwanja
Hivi na azam wameenda ikulu
Marehemu Mwinyi alikuwa Simba na mtoto vipi?
Mangungu safari kawa mtu