Me tukiacha na utimu kuwa nazielewa zaidi kidogo nyimbo za upande mwengine but kiubinaadamu nampenda sana Ali Kiba. Yaani kama naambiwa nichague msanii mmoja kati yao abakie Tz na mwengine tuwape nchi nyengine basi mimi nambakisha Kiba. Jamaa ni zaidi ya binaadamu. Hafanani na watu maarufu wengi duniani kwa lifestyle yake. Much Love🥰
Alikiba MASHALLAH! Dollars nyingi hizo lkn hakutaka uswahili wa kuzichambua. Umri wako unaongezeka lkn Mungu bado Anakupa Roho nzuri na Uzuri unaongezeka wa sura na Tabia HUJISIKII. M/ Mungu Azidi Kukushushia Baraka Zake🙏
Mimi mkristu lakini Kiba anavopenda na kuheshimu dini yake hunifanya mimi nitake kukaa karibu na yes wangu,pasipo kuweka uteam kiba ana nidhamu na hapendi ugomvi
Kidini yupo sahihi tena sana kwasababu maisha yana badilika sana leo unaonyesha hivi kesho una kuwa hivi kumbuka video zako zina hifadhiwa kuna watu hawana ujue
Kiba nakupenda umelelewa vzr na mwanamke mwenzetu
Me tukiacha na utimu kuwa nazielewa zaidi kidogo nyimbo za upande mwengine but kiubinaadamu nampenda sana Ali Kiba. Yaani kama naambiwa nichague msanii mmoja kati yao abakie Tz na mwengine tuwape nchi nyengine basi mimi nambakisha Kiba. Jamaa ni zaidi ya binaadamu. Hafanani na watu maarufu wengi duniani kwa lifestyle yake. Much Love🥰
Yaan sio mtu wa kiki ni mtu ambaye yuko busy na life yake hapendi kujionyesha
😀😀😀😀
Nazani kwasababu anauendesha umaalufu wake na haumwendeshi ndo maaana anaheshimika na wengi ata mi nampenda sana
Kabisa yan n zaid ya kioo cha jamii
Me piah namkubali Sana
Alikiba wew ndo mwanamziki wa Tanzania wengine wote ni wasaniii tu,gonga like kama unakubaliana na mm
Kumbuka kama kumbuka pamoja na king kiba wetu🤣🤣🤣Allahuma amina kwa dua kiba 👏👏👏
Masha ALLA
*ALI KIBA & GABO* ni washkaji sanaaaa duh!!!!
Katoa na Blichi mashallah 👏👏👏👏👏👏
Zggh
Kibakuli anguu❣❣❣kiiiing kibaden 😍😍
Kiba nakupenda Sana msanii wangu wa pekee duniani kote sioni mwingne wakukufananisha na wewe mungu akusimamie sana
Mashallah ndio mana nampendaga kiba aiss
Dah yaan Alikiba yuko simple sn😍😍
Ila Me nampenda sana Kiba jaman ❤
Ameleleka huyu kijana na ana haya na haya n katika iman masha Allah
MashaaAllah
Wangekua upande wapili wangetaka tuone pesa walizo toa na pc zipigwe wakati wakutoa izo pesa washamba waleeee
Kiba is such a good person 🔥🔥🔥🔥🔥
From canada 🇨🇦 nampenda king kiba
Mashalla Ali kiba hongera sana
Alikiba MASHALLAH! Dollars nyingi hizo lkn hakutaka uswahili wa kuzichambua. Umri wako unaongezeka lkn Mungu bado Anakupa Roho nzuri na Uzuri unaongezeka wa sura na Tabia HUJISIKII. M/ Mungu Azidi Kukushushia Baraka Zake🙏
My forever fev king kiba 😘😍
Waleikum Salam warahmatullah wa barakatuh king kib. ❤️❤️💥👏👏
King Kiba Mashaallah 💖💖💖
Sawa Alhabsya 🌹
Ali kiba ,watu wana pesa lkn hawajionyeshi mashallah, mambo ni kama hayo
Mashaallah 😘 Mungu akuongezee unapotoa Alikiba inshaallah
Allah akujaliye Maisha marefu akupee kheri inshllah umeongeaa maneno mazito
alikiba bonjour super star the legend
Mwanangu BabuAli pamoja na utall wote ila Gabo kamzid wallah, n kwa jinsi gani Zigamba n mrefu aisee, 🙏🙏🙏
Ndio maana nakupenda sana kiba,hivyo ndivyo ulivyo hubadiliki mashallah wala husumbuki na wakati,allah akuongozi mwaego😃
Masha ALLAH
MashALLAH
Gambo ni handsome man Aki Mpole nampenda kanenepa 😍😍😍😍
Mwenyezimungu akulindieni mtotowenu Masha Allah mumleeeeee ktk maadilimema
Nasikia saut ya kikwete na tabasam lake...huyu ni king kiba waukweli big up kwako
Mashallah gabo mtu wa watu
Big up kiba wetu mpendwa
King kiba mashallah❤️❤️
Sawa namimi naandika mashaALLAH 👏👏👏👏🙌🙌🙌🙌🙌
King nakukubal sna
Waooo jmn nanai kaona tabasamu tamu la king kiba
Masha Allah ❤️❤️❤️❤️🍼 hongereni Sana m/mungu awakuzie Ampe maadiri mema ,king Alhamdullillah Kwa dua zuri mungu akupe miaka100
Ali kama Ali 😘😘😘😘
Mashaa Allah King Ameen ya Rabby
King kiba nampenda sana
Mashaallah allyy
King kama King!!
Hiyo Mashaallah ukiwa na cm inayojitambua huwa inatenganisha yenyewe pindi ukiandika ujue, salute Kiba Mash Allah 🤜🤛💪🌙⭐ Ramadhan Kareem
Alikiba sio mnafiki
Masha Allah kaka hongera
king king king kibaaaaa'
Namkubali sana King hana mambo mengi❤🙏
Mashahall ha
Awwww Ali you is so handsome 💕 msalimie phd
👏👏👏👏👏👏👏 King kama King kiba rakaaaaaaa 😁😁😁😁😁
King kama kiba 🥰🥰🥰
Masha Anllah 😍😚
kumbuka kaka umependeza mno nakadhu yako 🙏
Mimi mkristu lakini Kiba anavopenda na kuheshimu dini yake hunifanya mimi nitake kukaa karibu na yes wangu,pasipo kuweka uteam kiba ana nidhamu na hapendi ugomvi
Team kiba oyoooo
ماشاء الله.
King kiba🤞🤞🇲🇿🇲🇿
MashaAllah king kiba
Maa sha Allah
Wasanii wangu pendwa kiba na gabo mmbarikiwe sana
Lini
Duuuu....!!!. Mfalme Wa Bongo Flavour Alikiba
Tim kiba hatuna mbwe mbwe nyingi
Kiba upo smart sana kaka
Huyo ndo king buanaaaa
Hanaga mbwembwe aly,maashaAllah
Ma SHA Allah 🙏🇰🇪🇰🇪
ALLAH Awasimamie
MASHALLAH gabo mkeo mzuri
Love you kaka
Kiba kama Kiba ❤️❤️❤️❤️
Wa kwanza 👌👌
Idriss kazi kuchekesha tu 😅😅😅
Yee baba king kiba
Kiba na barnaba kings of my heart
Upo kama mm aisee
@@mariamyusuphu5434 wana mziki mtamu
@@mariamyusuphu5434 💋💋💋👍
So beautiful 👑👑❤️❤️❤️
The king himself
Kweli kumbuka umeongea point maisha hayana mwenyewe
Manshallah tabarakallah
Mansh.Allah tabarakAllah
Ma sha allah my fav star 🤴❣️💯
Masha Allah
Mashallah
Wanavyoizumu dollar 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Bakubariiiiiiii Mr Kumbuka
Mnaona mwezi unawachelewesha,,,,,,,innalillah!!!
MASHALLAH
Mash Allah
Kiba uko vizur
Amiina YaaRabby
Alikiba anatoa kwa moyo na anasmile
Hana kitu
Manshallah
Kutoa ni moyo ALIKIBA AMETOWA DOLLARS SIYO KWASIFA,HAPANA,WANGEKUA WALE,EEE AISE HONGERA KAKA KINGS FOR LIFE
Yapuppppp
Alikiba masha Allah
Fafa :King kama king manshallah
Nakupenda sana kiba mashara
MashaAllah Ali kiba ametoa dollars
MashaAllah alikiba
Anazo ila hapendi kujionyesha
Ataki shobo angekuwa mwengine angezitupa tupaaa
kiba good sana
Hata mimi mkiristo na mkubali Ali kiba kwa heshima na hekima aliyo nayo. Mpole bila kiburi
Woow nice
Nimefurahi sana kuona hivyo
KINGS4LIFE 🌍 🌎 🌍
Nampenda kiba anavoongea jmn lol😊🏃♀️🏃♀️
Nakubal
Uyu mtoto ana unakiburi Sana alafu anatoa hela Ka hajatoa yaani kiba sijapenda ujue😂😂😂
Wewe c nitaira
Kidini yupo sahihi tena sana kwasababu maisha yana badilika sana leo unaonyesha hivi kesho una kuwa hivi kumbuka video zako zina hifadhiwa kuna watu hawana ujue
Sijapenda mie
amna kiba sio kwamba anakiburi Bali ana jua anachofanya sio mtu wakujionyesha
❤❤
Handsome
Wangekua upande wapili wangetaka wapige na pc uku anatoa pesa tuone muone ally kiba akutaka ata mashauzi anaga misifa kule upande ulee sasa duuuu