Mashambulizi ya Lissu Dhidi ya CCM Kuelekea Uchaguzi wa Serikali ya Mitaa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 29

  • @LumolaSteven
    @LumolaSteven День тому +1

    Hotuba nzuri Mhe. Makamu Mwenyekiti 👏

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 День тому +1

      Sawa kabisa ila tu aache kuchafua jina zuri sana la Magu linalojulikana kama jina la ujasiri na uthibutu... Africa na duniani.

  • @BungeyiSaiboku
    @BungeyiSaiboku День тому +3

    Waizi sana ccm wahuni

  • @malackedson7706
    @malackedson7706 День тому +3

    Safi kamanda

  • @BungeyiSaiboku
    @BungeyiSaiboku День тому +3

    Tuko pamoja kamanda lisu

  • @robertngilante9621
    @robertngilante9621 День тому +1

    Lisu mimi nakukubari sanaaa unaongea vitu vyenye maana kwa watu wasiojua maana hususani watanzania piples🎉

  • @EmmySanga-h3o
    @EmmySanga-h3o День тому +1

    Pamoja

  • @IsackRyangera
    @IsackRyangera 19 годин тому

    Sana Jemadar wetu wapelekee moto waukweli

  • @tibbsminja2575
    @tibbsminja2575 День тому +1

    Mwenyekiti Mbowe na Mnyika, Kigaila mmeanzia wapi hii maneno na kampeni. Kila la heri.

  • @victorrobert7797
    @victorrobert7797 День тому +1

    Walisomba hata wanafunzi ili waongeze idadi ,hawana jipya CCM

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 День тому +3

    Bado wataengua tukae chonjo kukabiliana nao

  • @victorrobert7797
    @victorrobert7797 День тому +2

    CCM wamechoka

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 День тому +1

    Mlilaghaika na vicheko kwa sababu mlipenda mambo laini na lugha laini. Nchi haiongozwi kwa lugha laini laini za ulaghai bali misimamo migumu, maamuzi magumu, na lugha ngumu na uthibutu wa kutenda kama alovyokuwa mzee Magu.

  • @JohnMabustar
    @JohnMabustar День тому +1

    Nyie chanzo vp mbona mheshimiwa akiwa anatema madini mnakatakata kulikon tena

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 День тому +2

    Siyo ya tarime tu ni wote

  • @nyamwalevenance5994
    @nyamwalevenance5994 День тому +1

    Mnataka kuwa watakatifu kuliko Papa

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 День тому +1

    Magufuli aliuza hifadhi zetu? Aliuza bandari? Aliuza misitu? Aligukuza watu? Sasa mbona tena unasema ati wanafanana hawana tofauti na mama mbona unajichanganya? Unatukoroga bana. Unatumia jina Magu vibaya pale panapokufaa Ile unaligeuza kuwa zuri pale panapokufaa wewe.
    Magu mwache pambana na walio hai.

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 День тому

    Ifike mahali wananchi wajielewe na kuielewa sera ya taifa..
    Bado 80% ya white paper ileee inatamalaki na hii ni zao la elimu ya shule za kata

  • @EliaMunuo-u7o
    @EliaMunuo-u7o День тому +2

    Huna la ziada ww

    • @AndrewKisava
      @AndrewKisava День тому

      Elia unawashwa ee mbona unakereka sana subiri uhuni wenu na uovu wenu uwekwe hadharani jinga pumbbavu

    • @MatokeoJoseph.Fonkol
      @MatokeoJoseph.Fonkol День тому

      acha upuuz wewe

    • @EliaMunuo-u7o
      @EliaMunuo-u7o 20 годин тому

      @@AndrewKisava lisu hana sera ni matusi tu

    • @EliaMunuo-u7o
      @EliaMunuo-u7o 20 годин тому

      Ikulu hamtakaa muione

    • @EliaMunuo-u7o
      @EliaMunuo-u7o 20 годин тому

      @@MatokeoJoseph.Fonkol unashabikia vichaa

  • @nyamwalevenance5994
    @nyamwalevenance5994 День тому

    Mbwa akionesha meno usidhani anacheka

  • @FredMramba-hx3gl
    @FredMramba-hx3gl День тому

    Wakulia lazima wazichape

  • @malackedson7706
    @malackedson7706 День тому +1

    Safi kamanda

  • @malackedson7706
    @malackedson7706 День тому +1

    Safi kamanda