Hongera kwa kutoa maneno mazuri, hususani utangulizi mzuri kabisaa. Wengi hudhani mafanikio wanayoyapata ni kutokana na nguvu na ujanja wao, kumbe kuna kundi kubwa la watu wanaowafanya waonekane ni watu madhubuti wakisaidiwa msaada wa Mwenyezi Mungu.
woow
team kondoa tujuane apa... proud to hav u mamaa😙
Hongera kwa kutoa maneno mazuri, hususani utangulizi mzuri kabisaa. Wengi hudhani mafanikio wanayoyapata ni kutokana na nguvu na ujanja wao, kumbe kuna kundi kubwa la watu wanaowafanya waonekane ni watu madhubuti wakisaidiwa msaada wa Mwenyezi Mungu.
Hongera ndugu yangu.....
Hongera mama . Yaaan napenda unavoongea tu kwa kujiamini
Kamusese mashaallah
👏👏👏
hapa ndio maana sikuelewi mbona shukurani nyingi vitendo hakuna kondoa vijana wanateseka wapo vijiweni 2
unamsaada gani kwa wilaya ya kondoa mama mpaka urudi bungeni tena subiri 2tapambana
Ashatu kondoa tunateseka hatuna barabara munenia mpaka busi kwadelo tusemee