Ev. Amon Mukangara- Usukaji wa Nywele na Mapabo ya Dhahabu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 24

  • @chrispenchris7634
    @chrispenchris7634 2 роки тому

    Ubarikiwe saana. Mnatufunza saana

  • @carolynemalungu718
    @carolynemalungu718 3 роки тому +1

    Asante Sana kwa mafunzo mazuri mungu akubariki.

  • @gentilbalume8216
    @gentilbalume8216 2 роки тому

    My Gamaliel. I love you Baba. Kweli umetumiwa na Mungu kuibariki DRC na Goma North Kivu kwa kipekee.

  • @kituzakalembire2072
    @kituzakalembire2072 3 роки тому

    Amen nimepata Jibu la swali langu kuhusu kusuka Mungu akubariki sana mutu wa Mungu.

  • @magnifiqueuwimana759
    @magnifiqueuwimana759 3 роки тому

    Mungu awabariki sans kwaujumbe

  • @perrywanjiru2754
    @perrywanjiru2754 3 роки тому

    Barikiwa Sana mtumishi kwa mafunzo haya ya Mungu

  • @yohanayohanasimwita3433
    @yohanayohanasimwita3433 3 роки тому

    Balikiwa sana sana na MUNGU akupatie ulizi wake imala ili uendeelee kuitenda kazi ya MUNGU kiufasa zaidi.

  • @alainmurhula05
    @alainmurhula05 4 роки тому +1

    Jambo, samahani kwa swali, mwinjilisti Amon iko wapi kwa sasa?

  • @perrywanjiru2754
    @perrywanjiru2754 3 роки тому

    AMEEEEEN

  • @wilsonlameck4046
    @wilsonlameck4046 3 роки тому

    Mwinjilisti, mie sijaelewa vizuri kuhusu ufafanuzi ulioutoa kuhusu Kol. 2:16-18 kwa mujibu wa maelezo yako ina maana Paulo hakujua juu ya vyakula safi/ halali na sabato ya Mungu kiasi kwamba awaonye watu kuwa wasiwahukumu watu wanao kula vyakula na kuhangaika namiandamo ya miezi,siku na sabato. Paulo anafundisha kuwa mambo hayo ni kivuli cha mambo yajayo, la msingi ni kukishika kichwa ambacho ni Kristo Yesu! Nijuavyo Mimi kuhukumu ni kutia hatiani au kutotia hatiani kwa kuzingatia mizania ya HAKI kwa pande mbili zinazokinzana. Hivyo Paulo asingetumia neno MTU asiwahumu iwapo alikuwa anafundisha vitu ambavyo havikuwa na tatizo kwa Wa cha Mungu. Hoja unayojenga ya kutokubali hoja ya Paulo ni kwamba wewe unafundisha ,umesahau kuwa kufundisha kunaweza kuwa kwa KWELI au UONGO/UPOTOFU!!

  • @lilianluhasi5053
    @lilianluhasi5053 3 роки тому

    Naomba namba yenu

  • @sadikibernard6498
    @sadikibernard6498 3 роки тому +1

    Wenzangu niwasaidie kidogo kuhusu mapambo kirapambpo rinaro husika nazahambu irinaginsiwa kwasababu hi kutoka 32-2-4 kuendelea ezekieri 7-20

  • @beatricebunana3841
    @beatricebunana3841 3 роки тому

    Sasa kama mme anapenda ili usuke nakuvaaa suruwali mnamusaidia je??

    • @beatricebunana3841
      @beatricebunana3841 3 роки тому

      Kwakuwa maneno ya Mungu tanasema tuwatii wa ume zetu,apo wa Mama tunafanyaje?

    • @wemamanikana9791
      @wemamanikana9791 3 роки тому +2

      Mtii mmeo katika kulitii neno la Mungu, sio kumtii hata katika kutenda dhambi.

  • @yoselinemuloko7043
    @yoselinemuloko7043 3 роки тому

    Eee MUNGU nisaidie yasinipate tena haya, nifanane nawawake wanaoukiri uchaji wako

  • @gwiterrichard7352
    @gwiterrichard7352 5 років тому +1

    poda je

  • @lilianluhasi5053
    @lilianluhasi5053 3 роки тому

    Nywele walizifanya nini? Walinyoa? Muda wote? Tueleweshe

    • @wemamanikana9791
      @wemamanikana9791 3 роки тому

      Nywele zao sio ngumu za zetu. Walizichana na kuzibana, hawakusuka.
      Sisi nywele zetu ni ngumu, ili ziwe laini lazima zitahitaji dawa, kusukwa makadhalika ili kuzilainisha. Sasa hivi vitu ni dhambi

    • @wemamanikana9791
      @wemamanikana9791 3 роки тому

      Ni bora ukate zibaki fupi ili uweze kuzichana

    • @wemamanikana9791
      @wemamanikana9791 3 роки тому

      Ili kuepuka dhambi kupitia nywele ni bora zipunguze ziwe fupi.

    • @wemamanikana9791
      @wemamanikana9791 3 роки тому

      Ili kuepukana na ushawishi vya kuweka dawa au kusuka, na kupata dhambi, ni bora zipunguze ziwe fupi ili uweze kuzichana

  • @perrywanjiru2754
    @perrywanjiru2754 3 роки тому

    AMEEEEEN