rapper awampendi sababu wanajua kuchambua issue ni kwamba lunya ni mchanaji bora ila sina hakika kama ni mwana hip hop bora sababu kuna vigezo mwana hip hop anapaswa kuwa navyo mfano Maada lazma iwe inampa msikilizaji thamani au kumbalisha awe positive sasa Lunya hana maada mpya he rapper on him self 95% ila midondoko mitamu aichoshi tatizo ni kuwa wata awanufaiki na sanaa yake zaidi wana injoy kwahivyo ni haki yake kuwa atakavyo ila aibalishi ukweli kwamba kuwa mwanahiphip bora kuna sifa na vigezo vyake
Simon mdiga LUNYA ni rapper bora sanaa lakini anahitaji vigezo kadhaa kuwa mwana hip hop bora kama jamaa alivyo andika hapo KUNA RAPPER na Emcee japo wote ni rappers lakini sio kila rapper anavigezo vya kuwa EMCEE na mara nyingine mtu anaweza akatamani kuwa emcee ila upeo wake ukawa autoshii na mwingine upeo anao ila ameamua kufuata soko lepesi Mana soko kama ra Kendrick lamer EMINEM au NAS na jayzee lazima uwe Junius na ujitume na kuumiza kichwa SASA RAPPER WETU WENGI ni majinius na wanajituma kama ilivyo lunya ila awataki kuumiza kichwa kuhusu content ngumu wanaumiza kichwa kwenye mitindo ili shabiki zao tuinjoy Ndiomana tunawapa sifa zao zisizo zao hawapati
Lunya can spit ila subject matter ile ile ni vigum sana kwa rapper mwenzako akuskilize ukichana kuhusu wewe tu yani different beat but always spitting about yourself, it's not wack ila it's boring n lack of creativity.. congrats for winning this is not hate it's constructive criticism.rappers ambao wanakubalika sana ni ambayo Wana address social issues zinazo tokea mtaani na zinagusa jamii kwa upana,Prof j ,fidq,mwana fa hawa majaa walikua Wana address issues za jamii ndo maana sijawi skia mtu akisema ni wack
But Zama zinabadilika mzee! Huwezi linganisha Zama za hao uliowataja na Zama hizi za kina lunya! Lakini pia usisahau kuwa majigambo Ni sehemu ya hip hop! Sio lazima kila mtu arap kuhusu matatizo ya jamii! Na hata ukisikiliza vizuri tungo za lunya ndani unaweza pata elimu pia kupitia changamoto anazopitia ambazo huamua kuweka lines moja au mbili kwenye tungo zake! Kwa hiyo nafikiri mtu anayesema kumsikiliza lunya kunaboa Ni ukosefu tu w ufahamu wa mziki wa hip hop au Ni wivu tu! Dogo Ni mkali!
@@georgeburchard4872 mmh mjigambo ni part of hip-hop lakini si kila wimbo ujusifie bro afu ukose hara track moja yaku address issues nyngine sio lazima matatizo tu
Hamna kituu wewee.. Young Lunya ndio kusemaa 🔥, Acha wasenge wabwate tuu
Una weza baba ngoma ziedelee wa Tanzania ndo ivo wanao kuchukia ww watembezee fire
My favorite artist the best rapper 🔥🔥💪💪💪
Tunakubali young lunya
Lunyaaa anaweza jmn dah muachen aendelee kutusua
Noma sana
Session moja apige drill
Nyimbo zake sizijui
mbuzi 🐐
BIG UP LUNYA BLEXX 👊👊👊
Lunya we ni mashine unauwa
Goat 🐐 moto ziliee
Lunya🔥🔥🔥
Mbuziiiiii🔥🔥🔥🔥🔥
Japo sielewi kiswahili but namkubali sana huyu kijana
Unataka ujuwe kiswahili gn
rapper awampendi sababu wanajua kuchambua issue ni kwamba lunya ni mchanaji bora ila sina hakika kama ni mwana hip hop bora sababu kuna vigezo mwana hip hop anapaswa kuwa navyo mfano Maada lazma iwe inampa msikilizaji thamani au kumbalisha awe positive sasa Lunya hana maada mpya he rapper on him self 95% ila midondoko mitamu aichoshi tatizo ni kuwa wata awanufaiki na sanaa yake zaidi wana injoy kwahivyo ni haki yake kuwa atakavyo ila aibalishi ukweli kwamba kuwa mwanahiphip bora kuna sifa na vigezo vyake
Umeandika sana Na kunatofauti kati Ya Rapper na Mcee!...
@@t.o.d7281 kwer
Umerudi hapo happo kuwa nimkali flow zake azichoshi
Simon mdiga LUNYA ni rapper bora sanaa lakini anahitaji vigezo kadhaa kuwa mwana hip hop bora kama jamaa alivyo andika hapo KUNA RAPPER na Emcee japo wote ni rappers lakini sio kila rapper anavigezo vya kuwa EMCEE na mara nyingine mtu anaweza akatamani kuwa emcee ila upeo wake ukawa autoshii na mwingine upeo anao ila ameamua kufuata soko lepesi Mana soko kama ra Kendrick lamer EMINEM au NAS na jayzee lazima uwe Junius na ujitume na kuumiza kichwa SASA RAPPER WETU WENGI ni majinius na wanajituma kama ilivyo lunya ila awataki kuumiza kichwa kuhusu content ngumu wanaumiza kichwa kwenye mitindo ili shabiki zao tuinjoy Ndiomana tunawapa sifa zao zisizo zao hawapati
Kwan emnem nirapper au ni mcee
Coz au tofaut ya rapper na mcee nini ?
Très authentique en Live
Lunya can spit ila subject matter ile ile ni vigum sana kwa rapper mwenzako akuskilize ukichana kuhusu wewe tu yani different beat but always spitting about yourself, it's not wack ila it's boring n lack of creativity.. congrats for winning this is not hate it's constructive criticism.rappers ambao wanakubalika sana ni ambayo Wana address social issues zinazo tokea mtaani na zinagusa jamii kwa upana,Prof j ,fidq,mwana fa hawa majaa walikua Wana address issues za jamii ndo maana sijawi skia mtu akisema ni wack
But Zama zinabadilika mzee! Huwezi linganisha Zama za hao uliowataja na Zama hizi za kina lunya! Lakini pia usisahau kuwa majigambo Ni sehemu ya hip hop! Sio lazima kila mtu arap kuhusu matatizo ya jamii! Na hata ukisikiliza vizuri tungo za lunya ndani unaweza pata elimu pia kupitia changamoto anazopitia ambazo huamua kuweka lines moja au mbili kwenye tungo zake! Kwa hiyo nafikiri mtu anayesema kumsikiliza lunya kunaboa Ni ukosefu tu w ufahamu wa mziki wa hip hop au Ni wivu tu! Dogo Ni mkali!
@@georgeburchard4872 mmh mjigambo ni part of hip-hop lakini si kila wimbo ujusifie bro afu ukose hara track moja yaku address issues nyngine sio lazima matatizo tu
Noma
Lunya🎆🎆🎆🎆
Nakubali lunya💯💯
Your on fire 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 brooo
MBUZI UNYAMA XANA👏👏👏👏
Jah blees lunya
MBUZIIIII
Nomasana 👍👍👍👍👍👍💪💪💪💪🙏
Mbuzi 🐐
Dat iz my bwoii 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Dogo uyu🔥🔥
Haters hawajawahi kosa lunya mbuziii keep shining nigga💪🏿💪🏿🔥🔥🔥🔥🔥
Iunya unatisha brother wanao sema hujui wasenge big up 🎤🎤🎤
Apanisala makabisa,lakinimuniya biliye luya ajikaze,asapoti ulepeti?anaji itaka luya?apaniko Congo Bukavu,atanamiye nikoshabiki wake Sana?
Nimnyama lunyaaa 2pa madude mzee
Ooooh my
Dnt say rap man!! Tell me rapper gani hasikiki maneno...twister best bt nt reapeated verses en u hide in them yo. Tuzo za sasa imepoteza heshima yake
Mbuzi
Piga kazi lunya achana nao hao!
Mbuzi kama mbuzi😋😋😋😋😋🙏🏾🙏🏾🙏🏾
We ni mkali boi asikuambie mtu
Haaatarii
First one
Naqbar saaana mbuz unajuh
Piga kAzi mwanangu usijari Makelele ya walimwengu SiSi tushakupenda
Tazama uyu kama lunya kabisa👇👇🙄
ua-cam.com/video/NHDS6XodPo0/v-deo.htmlsi=8ZmSzTr62UQkSNgJ
Wimbo wake hata hatuujui lakini KABEBA tuzo
Nd najiulz namimi
mimi naujua tena session zote 1 upto 4,collaborations and remix jamaa mkali mfatiliane mtamuelewa anadeserve
Mashairi yak ni kujisifiasifia tu kila bars msikilize gifted son ngoma inaitwa kabla haujaja halaf nd utajua lunya ni feck ila ckufosi tufanane
Bongo nzima sijaona kama wewee
Huyu mwamba nimkali kuzidi madogo wote wanao chana hata huyo cantry wizz hamuezi huyu dogo
Rapper mkali bongo hakuna kama nikki mbishi unju
Huyu ni rapa mbovu kabisa sema kwa watu wasio ielewa hip hop nd watasema mkaliiii ila ni feck
Sooo true👊🏿
Hater
Rapper nikki mbishi bongo hii hakuna ka yeye huyu mbuz anaungaunga tu mistari
Hd Msasa official KITANZI gusa maandish ya blue ukasikie nilivyomfunika MBOSO KHAN ua-cam.com/video/Cdyxj5ymOR4/v-deo.html
Unaskia mbuzii wakikuletea mambo ya kijinga we yachukue2 mzee
ua-cam.com/channels/Z_sYl6Dt68ceTD2ea6zGNg.html mmenifrqhisha wangu kwetu😁😁😁
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA ILI UPONE KANSA.DAWA YA KANSA
*#*#
ua-cam.com/video/ZgfBwGAJlrQ/v-deo.html