URUSI YAZIDISHA MASHAMBULIZI YAHAIDI KULIPIZA KISASI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 29

  • @thehill2099
    @thehill2099  Рік тому +4

    ua-cam.com/video/DF_ATIjmk-c/v-deo.html Bonyeza link kujiunga kwenye channel yetu mpya ili kupata habari nyingi zaidi

  • @MohammedKimweri-pp5op
    @MohammedKimweri-pp5op Рік тому

    Thanks for returning again w will be with you

  • @jonfredkewe3451
    @jonfredkewe3451 Рік тому

    Unapotea Sana my Adam Hussein

  • @daymadimbwala5227
    @daymadimbwala5227 Рік тому

    Sawa

  • @abuunusaibayussuf4829
    @abuunusaibayussuf4829 Рік тому +2

    Naona umeamua kurud tena karibu sana

    • @thehill2099
      @thehill2099  Рік тому

      Nimefungua channel nyingine ua-cam.com/video/DF_ATIjmk-c/v-deo.html Bonyeza link kujiunga kwenye channel yetu mpya ili kupata habari nyingi zaidi

  • @user-en8il5xt5j
    @user-en8il5xt5j Рік тому

    Umepoteya 𝐤𝐰𝐞𝐥𝐢

  • @sadamkhamis9043
    @sadamkhamis9043 Рік тому

    Braza mbna uliadimika sana? Km😢 ilikua ni changamoto bc mungu afanye wepesi inshallah ili uendelee kutupasha habari za uhakika..❤

  • @johndeogratias2543
    @johndeogratias2543 Рік тому

    Tupo pamoja

  • @floridpius2317
    @floridpius2317 Рік тому

    Muda mrefu sijakuona kiongozi

  • @BrotherR9
    @BrotherR9 Рік тому +1

    Ahsante kwa kurudi mkuu wangu

  • @sunnimmongo3702
    @sunnimmongo3702 Рік тому

    Unazngua adam

  • @Mumewangu
    @Mumewangu Рік тому

    Adam bin hosein ulipotea au ulikwenda kuowa

  • @jonfredkewe3451
    @jonfredkewe3451 Рік тому

    Nikajua umetekwa nikawaza namtafutaje huyu jamaa hebu weka Namba yako yasimu hapa

  • @ngendakumanajeanmarrie7490
    @ngendakumanajeanmarrie7490 Рік тому

    Adam unapotea sana ulianda wapi ?

  • @st.alvincollege6184
    @st.alvincollege6184 Рік тому

    The hill mbona ulipotea week nzm hakuna habar???

  • @user-zk1sc6vi7f
    @user-zk1sc6vi7f Рік тому

    Pamoja sana

  • @Supershopdubai-ck8td
    @Supershopdubai-ck8td Рік тому

    Umepotea mwanangu tumeanza kukuchoka bro from 🇧🇮 nawapenda san

    • @thehill2099
      @thehill2099  Рік тому

      Nimefungua channel nyingine mpya
      ua-cam.com/video/DF_ATIjmk-c/v-deo.html Bonyeza link kujiunga kwenye channel yetu mpya ili kupata habari nyingi zaidi

  • @amosmarwa5450
    @amosmarwa5450 Рік тому

    Ulipotelea wapi mkuu tumekumiss

  • @jumakhamis226
    @jumakhamis226 Рік тому

    Adamu ulikuwa wapi?

  • @toulashabib2131
    @toulashabib2131 Рік тому

    Shida gani ku change kila siku channel?

  • @cretrinomz
    @cretrinomz Рік тому

    ulikua wapi

  • @abutchsaid8641
    @abutchsaid8641 Рік тому

    Adam tunakosa habari za uhakika kutoka kwako

  • @ishipalemypasco2567
    @ishipalemypasco2567 Рік тому

    Ehee mbona kimya sana kulikon ,!?

  • @BrotherR9
    @BrotherR9 Рік тому

    Tengeneza na whatsaap group sheikh ili tufahamu mwenendo wa habari kama hutokua online kwa chalenge zitakazo kukuta kani tulitoka kule kwenye chnel ya mwaka jana then now una muda hutupatii taarifa kwa muda mrefu almost month now

    • @thehill2099
      @thehill2099  Рік тому

      Sawa shukran sana nimefungua channel nyingine baada ya hii kua burn ing hii hapa link ua-cam.com/video/DF_ATIjmk-c/v-deo.html Bonyeza link kujiunga kwenye channel yetu mpya ili kupata habari nyingi zaidi

  • @abubokande3569
    @abubokande3569 Рік тому

    Tupe no ya WhatsApp shukran kaka Adam ni kutoka kenya