Maiti saba zaidi zaopolewa mtoni Tana River

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 кві 2024
  • Miili saba zaidi imeopolewa kutoka mto tana kufuatia ajali ya boti eneo la madogo.miili hiyo imepatikana usiku wa kuamkia leo na asubuhi . idadi jumla ya waliofariki kwenye mkasa huo wa boti imefikia watu 11. viongozi wa eneo hilo wameikashifu mamlaka ya kenha na kusema kuwa ujenzi wa barabara umechukua muda mrefu zaidi. Aidha watu 12 bado wanatafutwa.Haya yanajiri huku usafiri wa boti ukisitishwa kati ya kaunti za Tana River na Garissa.

КОМЕНТАРІ • 5

  • @LucyBurunje
    @LucyBurunje Місяць тому +1

    😢 This is very painful God save our Country 🙏🙏🙏

  • @veronicaogola1179
    @veronicaogola1179 Місяць тому +1

    Mungu baba wa binguni, twaomba utusadie.

  • @monicahjoseph1476
    @monicahjoseph1476 Місяць тому

    They be working so hard to retrieve the bodies, but can't save them lives.
    Why didn't they warn people earlier on,yet they had the info???

  • @rosemarry1274
    @rosemarry1274 Місяць тому

    God hve mercy on us😢😢😢

  • @user-tr8qn8ci5f
    @user-tr8qn8ci5f Місяць тому +1

    Kenya repent, repent, repent the messiah is coming