TIMBWILI la NACCOZ, MFAUME Ataka KUPIGANA 'Live' STEJINI, Team NDONGA Wacharuka, KIVUMBI Chatimka..

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • TIMBWILI la NACCOZ, MFAUME Ataka KUPIGANA 'Live' STEJINI, Team NDONGA Wacharuka, KIVUMBI Chatimka..
    USIKU wa 'SAFARI YA BEACH' umezinduliwa rasmi Septemba 15, katika viwanja vya Faru Mpakani Mabibo jijini Dar es Salaam, ambapo mabondia wote watakaopigana wamekutanishwa uso kwa uso.
    Pambano hilo litachezwa Oktoba 28, 2023 katika fukwe za Msasani jijini Dar es Salaam.

КОМЕНТАРІ • 8

  • @tushuhassan3809
    @tushuhassan3809 11 місяців тому

    Mfaume mfaume team ya wachambaji

  • @saloomidd1084
    @saloomidd1084 11 місяців тому +1

    Mabondia wana maneno aisee yaani kila siku napata misemo mipya"Maji ya ugali hayaonjwi","maji ya moto hayaunguzi nyumba"

  • @jamalisebarua9594
    @jamalisebarua9594 11 місяців тому

    Wahuni wamekutana vibaka hao wote waizi wa simu

  • @coolruler6820
    @coolruler6820 11 місяців тому

    Nakoz ni wahuni tuu,,,Hakuna bondia hapo, ukiona mabondia wanachonga ngenga sana hamnaga kitu,,,,igeni mfano kwa Class acheni ndondo

    • @johnngongi4810
      @johnngongi4810 11 місяців тому

      Sio kweli chief kwenye ngumi swala la kuongea au kutokuongea haimaanishi anaajuwa au hajui kuongea sana ni kalama tu ambayo Mungu amekupa tu!!

  • @user-tn5fv4vc7i
    @user-tn5fv4vc7i 11 місяців тому

    Wamchangan wana tabu sana

  • @festopaul7549
    @festopaul7549 11 місяців тому

    Watu wanavibe hatar

  • @user-dy2qn2xc3x
    @user-dy2qn2xc3x 8 місяців тому

    Ata mohammedi ali alikua anaongea shit