Kikubwa zaidi ni hiyoo Kodi sio wanaotorosha maana mwekezaji mngempa uwezo wa kucompete na wafanyabiashara wa Kenya kwenye suala la bei ya mifugo,hawawezi wakatorosha lkn watawauzia tuu wale wa Kenya kwan si wapo pale mivaf
Wafugaji wa Tanzania wasitozwe kodi yo yote wanapouza mifuko yao hapo kiwandani.Hii itasaidia wenye kiwanda kununua kwa bei nafuu kidogo.Mauzo ya nje hayatozwi kodi,hivyo hakuna sababu ya mwenye kiwanda kulalamika kodi.Muhimu ni kuweka records sahihi za jamani ya manunuzi,gharama za uzalishaji na thamani ya mauzo ya nje ili waweze kulipa corporate tax iliyo sahihi.Ngozi zote ziuzwe kwa Rostam,kiwanda kipya cha Morogoro.
Huyu mkuu wa wilaya asilazimishe watu wauze wapi ng'ombe zao, acha watu wauze wanapopata faida, kaa chini na wauzaji mjue tatizo liko wapi, sio minguvu nguvu tuu huku ng'ombe sio zako
Mwehu wewe , basi wacha na mifugo yao wakagugie huko kenya , na wewe ni mkenya kaa uzuri karibuni viwanda mwenu vitakuwa out of business . TZ iyooo anaanza kupaaa, na kama baharini inang"oa nanga kwenda uchumi juu kabisa
@@whatisthetruth.8793 Usilete uzalendo wa kipuuzi kwenye biashara za watu, let the market decide sio mkuu wa wilaya au umbwa kama wewe with no brain, Kama price ni nzuri watauza tuu lakini I hope umbwa kama wewe will never be in position of authority maana mtafanya kila mtu kuwa maskini
@@kamanda007 akili za kuchangiwa wewe , mkuu wa wilaya kesho amua sasa utafanya nini sasa bwana tundu lisu ? Bweka tuu wee sie tunajenga taifa letu leo na kwa kizazi kijacho
Safi kabisa, hii Sera ya viwanda ikiendelezwa itatatua suala LA ajira, Isimamiwe Sana kwa nguvu zote.
Nzuri sana
Kikubwa zaidi ni hiyoo Kodi sio wanaotorosha maana mwekezaji mngempa uwezo wa kucompete na wafanyabiashara wa Kenya kwenye suala la bei ya mifugo,hawawezi wakatorosha lkn watawauzia tuu wale wa Kenya kwan si wapo pale mivaf
Wafugaji wa Tanzania wasitozwe kodi yo yote wanapouza mifuko yao hapo kiwandani.Hii itasaidia wenye kiwanda kununua kwa bei nafuu kidogo.Mauzo ya nje hayatozwi kodi,hivyo hakuna sababu ya mwenye kiwanda kulalamika kodi.Muhimu ni kuweka records sahihi za jamani ya manunuzi,gharama za uzalishaji na thamani ya mauzo ya nje ili waweze kulipa corporate tax iliyo sahihi.Ngozi zote ziuzwe kwa Rostam,kiwanda kipya cha Morogoro.
Ushauri mzuru wa kizalendo
Ndio maana wakenya wanapiga viatu sana , wanaona tutafungwa nyingi sana kama tukiweka mpira chini.
Kodi iangaliwe
Huyu mkuu wa wilaya asilazimishe watu wauze wapi ng'ombe zao, acha watu wauze wanapopata faida, kaa chini na wauzaji mjue tatizo liko wapi, sio minguvu nguvu tuu huku ng'ombe sio zako
Mwehu wewe , basi wacha na mifugo yao wakagugie huko kenya , na wewe ni mkenya kaa uzuri karibuni viwanda mwenu vitakuwa out of business . TZ iyooo anaanza kupaaa, na kama baharini inang"oa nanga kwenda uchumi juu kabisa
@@whatisthetruth.8793 Mwehu ni wewe unayetaka kuwalipa wafugaji 500 wakati upande mwingine wanalipwa 1000, fuga wa kwako uuze mpuuzi wewe
@@kamanda007 mwehu ushaAmbiwa bei imeongenzwa au ndio huna uzalende bwana Tundu lisu toa ushauri wakizalando sio wa kipumbafu