Mm nawapenda sana ila sijuwi movie or kipindi inaelekea wapi Aisha mungekiwa mnaansika hii ni episode flani so inakuwa rahisi hufwatilia. Maoni yangu kwenu ni mutie bidii hakuna kitu kizuri huja rahisi thank u and the PETE mates as a whole am watching from Qatar 🇶🇦
Nimimi asilia ya pete ni funzi watu mwengine wangechanganya na kikifundi kuleta uasilia zaidi mimi nikiwa kama mchifundi twawera mchinena ntuinjizie luga yeru ya funzi
Langu ni kukupongeza da.Aisha...kazi nzuri.nlikupenda tangu kwenye" watatu".salimie Kongo na Regina.mi ni Momo Abbas,kuna day ulikuja hme na my bro.Mohammad Abbas(Dee).
Nimimi, Aisha Mwajumla, zidi kutamba...
Naipenda sana sehemu yako
Asante dada nimimi nifurahia movie zenu nimetamani Sanaa kujiunga nanyi
MashaAllah dada napenda sana unavyoigiza ni mwanamke mwenye msimamo thabiti unaejielewa na usopenda mtu kuonea na ni jasiri pia hongera sana
Asante
@@aishamwajumlah8493ur so cute mashaallah
Upo vizuri sana, hata kwenye uhalisia uwe hivo
Nimimi mama w busara.Nakupendaje kazi nzuri daa kutufurahisha wakenya
Huyu Dada mashaallah tena anamchukulia maid Kama MTU Wa kawaida yani nampenda Sana🙌🙌🙌🙌
Maa Shaa Allah Hongera sana Aisha,Uko Sawa Sana Kwa Pete Maa Shaa Allah.
Nimimi mimi ni fanc wako san a nakukubali sana naomb namb zako mpnz tuongee
Ma sha Allah kwanza nimzur bila hata kujipodoa
mpaka sasa, i must admit, Nimimi is so much ahead of the pact, na si siri!!
Sister Aisha you look so beautiful ,yaaaani umecheza vizuriiii uhusika wako naenjoy nikiwa naaangalia pete
Twakupenda daa nimimi
Nakupenda dadangu uko vizuri
naitwa Daana nikiwa Dubai nafanyakazi zandani nawapenda sana Aisha najifunza bingi kupitia kwako
asante sans Molla awafanyiye wepesi kwakila jambo
Nakupenda ni mimi
My best actress nimimi! I admire your head scarfs the way you do them. Waweza nifunza
I love this woman I'm from Burundi love you sister
Wow. All the way from Burundi. Thank u
Jamani Asanteni kwa support nawapenda pia tena sana
Twakupenda pia inshaallah mungu akubariki.... hata mm natama kuwa km ww
Mashaallah upo vizuri karibu oman
Dada Aisha wewe ni mkali Tuna kupenda sana huku pemba❤❤❤
I love your parting shot.... *discipline#
Uko vizuri nimimi
Upo vizuri Aisha, beautiful
Nami pia nampend sana💗💗ndani ya damu dadangu
MashaAllah daa uko chonjoo sana...bravooo daa toto la pwaniii 👌👌👌
Mi mpenda mno huyu dada 💕💕 Allah amuweke
Bigp sana nimimi yani una ekiti hakika kwenye sekta yako nakupenda sana 💋🌹💪
Penda sana dada Aisha unapendeza sn mavazi yko mashallah
Shukran
Masha Allah daa uko vizuri
Asante
Mtoto wa maana ukimweka kwa nyumba unakwenda kazini unajuwa umeweka kitu cha maana kwa nyumba....
Nimempenda sana.
Japo filamu nimeiona late BT Aisha yu r the best kivyangu mm nimevutiwa sana hyo part yako ulivyocheza hongera dada
Asha post kwajili ya mama angu anakupenda sana uko vzr allah akupe umri mrefu wenyekheri na ww
Nakupenda wajina
Nimimi mwanangu yupo ukunda anapenda sana mambo ya drama
Mashaa Allah nampenda Sana ni Mimi mungu akuzidishie dada
Khadija Ali nikiwa saudia,nakupenda sana
I like this madam
Which car do you drive
Nakupenda Alisha kaza buti unafaa sana
mashallah kazi nzuri dada isha
Asante
Jmn napend kiswahil cha kenya ....walah #much love from Tz
Karibu Kenya.
Jaman nampenda huyu dadaa mashallah
Asante
Aisha Mwajumlah 😍😍😍😍
Nimimi wallah sichoki kumuangalia ❤
Dada mzur
Love u wajina aisha nakupenda Nimm❤
Haki nakupenda dadangu hasa hapa kwa bikiongozi pete jamon unaniuaaaaaaa😍
Alf mabruq
Maa shaa allah
Nakupend nimimi umempeleka mbura hadi rah
upo vizur sister
Nimimi nice ukopoa kwenye pete
Mashaallah mashaallah na kupenda sana Da Aisha.... Naomba namba yako niwe Dada yako na mimi
tunakupenda sana nimimi
Mashaaallah dada nakupenda xnaaaa upo vzr
Ur the best ,nakupenda sana from Doha
Masha Allah twakupenda dada
Manshaallah Nakupend nimimi 😍😍😍
Mashaallah nampenda Sana huyu ni Mimi
I love your moves in Pete
Mashaallah nakupenda nimimi
Aisha ukovizuri😀😀😀
Mm nawapenda sana ila sijuwi movie or kipindi inaelekea wapi Aisha mungekiwa mnaansika hii ni episode flani so inakuwa rahisi hufwatilia. Maoni yangu kwenu ni mutie bidii hakuna kitu kizuri huja rahisi thank u and the PETE mates as a whole am watching from Qatar 🇶🇦
Nimimi asilia ya pete ni funzi watu mwengine wangechanganya na kikifundi kuleta uasilia zaidi mimi nikiwa kama mchifundi twawera mchinena ntuinjizie luga yeru ya funzi
KATika pete haki nimimi nakupenda mno akja sudi
Nakupenda dada angu, uko juu
Wajina
Mashallah wajina
Aisha loveee u mmy
Jamani hichi mi kisiwa gani nataka kwenda
Aisha kuna kitu hujatuambia abt ur marital status plz say smthng abt it
Am from Kenya
Nduguye huyu.
Anatumia jina gani IG?
Da somu nakupenda alafu hiyo sura naifananisha tulikuwa na madam wetu wa ng'ombeni primary cjui mwafahamiana?
Jamani hemu usinilize. Alikua yuwaitwa nani?
@@aishamwajumlah8493 Alikuwa yuajiita madam mwajumla mnene mrefu alikuwa akiishi likoni
@@aishaabdallah4560 Yah, that was my mum.
@@aishamwajumlah8493 ok. Ata sauti zafanana ...MashaaAllah
@@aishamwajumlah8493 ..pole da yote n amri ya mungu hatuna budi kuikubali
Maswali yako wapi?
Hicho kisiwa cha funzi kipo sehemu gani huku kwetu Mombasa?
Mimi pia Naitwa aisha kama wewe ila napenda Sana mpira, naomba uniambie kama itawezekana tukibeba epl nije tufanyie sherehe yetu huko?
Ila nawakubali Nyote hadi yule mbea sudi hahahahahahhaa, nna maswali mengi ila wacha tu Sema hiyo mandhari ya hapo kisiwani Nimeipenda Sanaa, Ynwa.
DADA NAKUPENDA SANA SAMAHANI NITUMIE NAMBA YA SIMU
Langu ni kukupongeza da.Aisha...kazi nzuri.nlikupenda tangu kwenye" watatu".salimie Kongo na Regina.mi ni Momo Abbas,kuna day ulikuja hme na my bro.Mohammad Abbas(Dee).
Umeolewa