Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

KWA KILIMO BORA CHA MBOGA MBOGA TUMIA MBEGU BORA ZA EAST WEST SEED TANZANIA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 бер 2021
  • Kwa mahitaji ya mbegu bora za mboga mboga kutoka kampuni ya East west seed,viutilifu na mbolea kwa bei nafuu na ushauri buree kabisa karibu kwa wakala wao Dodoma Double S. AGROVET karibu na soko kuu Majengo Dodoma.
    AINA ZA MBEGU ZETU NI MBEGU CHOTARA ZA MBOGA MBOGA
    Imara F1 ndio nyanya Bora kwa wakulima,
    Kipato F1 ni mbegu ya Nyanya chotara yenye uwezo wa kupambana na magonjwa ya mnyauko wa bakteria na pia huzaa sana.
    Mkombozi F1 inaukubwa wa kilo 10-12 kwa tunda
    Tango Greengo F1,Monalisa F1
    Mbegu ya vitunguu Mars F1
    Johari F1,Mkombozi F1
    East West Seed tuna mbegu bora za papai,Tuna Red Royale F1 na Sinta F1.
    Uchaguzi sahihi wa mbegu Bora ni mafanikio kwa Mkulima
    East-West Seed inakushauri uTumia aina inayostahimili magojwa, kama inapatikana; Jitahidi kuandaa udongo ... mbegu na miche zisizo/isyo na vimelea vya magonjwa (zilizothibitishwa) ... Badilii makundi ya viuatilifu ili kuzuia uwezekano wa kujenga usugu.
    #mkulimasmart
    #shambadarasa

КОМЕНТАРІ • 20