Kuhama kwa askofu Minde kutoka kahama kwenda Moshi ni wito lakini ni pengo kubwa kwa wana Kahama na kanda ya ziwa kwa ujumla. Hakika Askofu amefanya maendeleo makubwa yasioelezeka. Ni mtu wa maono kwa kweli. Wakristo wa Moshi na kanda ya kaskazini mna bahati .Mtaneemeka sana kwa msaada wa Mungu. Tumuombee Afya Hekima na Maisha marefu Amen!
Amen and Amen Kenya Amen Amen and Amen and Amen and Amen and Amen and Amen⛪⛪⛪🕊🕊🕊🙏🙏🙏
Kuhama kwa askofu Minde kutoka kahama kwenda Moshi ni wito lakini ni pengo kubwa kwa wana Kahama na kanda ya ziwa kwa ujumla.
Hakika Askofu amefanya maendeleo makubwa yasioelezeka. Ni mtu wa maono kwa kweli.
Wakristo wa Moshi na kanda ya kaskazini mna bahati .Mtaneemeka sana kwa msaada wa Mungu.
Tumuombee Afya Hekima na Maisha marefu Amen!
Hakika kwetu ni furaha nanyi Mungu atawateulia kilicho chema zaidi just keep on praying...
Kwa kweli ametuachia pengo kubwa hasa katika maono yake ya Maendeleo.
Sawa sisi tunashukuru kwa ujio wake naiman ni wakati sahii na mtu sahihi kwetu
Ni kweli ni mchungaji Mwema.
O😊
Asanteee sana kwa wimbo wa makaribishoo mpo vzr
Ongera sana edga kwakupiga kinanda
Karibu xana Baba Askofu Minde na kwaya hongereni xana
asante
Karibu mchungaji mkuu wa jimbo letu
Karibu kwetu Baba karibu nyumbani Jimbo katoliki la Moshi🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Ditram Mlelwa nc
jamani wimbo mzuri sana hongereni mno Kwaya Mama wa Shauri Jema.... nami nitajiunga kwa kweli
Karibu Baba Askofu.
Karibu sana dada utatukuta