WAMILIKI WA NYUMBA ZA NHC ECO RESIDENCES WAKITOA USHUHUDA WA FAIDA WANAZOPATA KWENYE MAKAZI HAYO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 вер 2024
  • Fuatana na Mtangazaji wetu Ephraim Kibonde akizungumza na baadhi ya wamiliki wa nyumba za makazi ECO RESIDENCES wakitoa ushuhuda wa faida wanazopata kutokana na kununua na kuishi kwenye makazi hayo yaliyojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), utaweza kumsikia Mwenyekiti wa Wamiliki hao, YAHYA OMARI MASARE.

КОМЕНТАРІ • 1

  • @mamahustru
    @mamahustru 6 років тому

    Mdada anamapozi mpaka raha.