MAJENGO YA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA VICTORIA YAKAMILIKA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 19

  • @dbarrik4108
    @dbarrik4108 4 роки тому +2

    Ephraem Kibonde pumzika kwa amani kaka.

  • @shariwogolle2881
    @shariwogolle2881 5 років тому +1

    Sh ngapi nahitaji? Napataje

  • @idyjumanne9796
    @idyjumanne9796 5 років тому

    rip

  • @kennyedward3727
    @kennyedward3727 5 років тому

    Mpiga picha tuonyeshe vizuri hivyo vyumba

  • @eryca92
    @eryca92 6 років тому

    Mimi ni mteja wa hii project Victoria.. nimenunua 2bedroom. its very dissapointing the way mnavyodanganya kuhusu completion ya hii project and kila mara mnapostpone.. nimefanya site visit last year sept na this year feb but hamna change yoyote significant within all that time.. I repeat im very DISAPPOINTED.. YOU GUYS SHOULD FIX YOUR ISSUES IF YOU WANT TO BE TAKEN SERIOUSLY!!!

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 4 роки тому

    Je lift ipo? maana kama utapandisha mavitanda yako kwa ngazi mbona kifo!!

  • @beatricenicholausiwasa7601
    @beatricenicholausiwasa7601 7 років тому

    tanzania yote hingekuwa hivi kungekuwa mkuzuri sana

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 7 років тому

      Beatrice Nicholaus I was a inshallah kama yaja hivi mwanzo mzuri

    • @ShirikalaNyumbalaTaifa
      @ShirikalaNyumbalaTaifa  7 років тому

      Ahsante na karibu tunajitahidi kuifanya Tanzania kuwa ya kisasa zaidi.

  • @lucaslazaro6557
    @lucaslazaro6557 6 років тому

    natamani kumiliki yakwangu jaman

  • @mnzavachris5423
    @mnzavachris5423 7 років тому

    kuna yale ya pale Moroco njia panda piah je ya NHC

    • @ShirikalaNyumbalaTaifa
      @ShirikalaNyumbalaTaifa  7 років тому

      Yess yale ni majengo ya NHC kuna nyumba za makazi, biashara, ofisi na hoteli na kuna kila huduma ya muhimu pale mpaka Cinema halls.

    • @shindapapaya9194
      @shindapapaya9194 7 років тому

      na sisi tulio huku UGAIBUNI tupeni bei please

  • @yolakahmathews6913
    @yolakahmathews6913 7 років тому +1

    Siyo mnawapigia debe hawa NHC bila kuangalia "a bigger picture". Mradi wa Mwongozo mwaka wa nne huu sasa, longolongo tu, tumepigwa kalenda mpaka tumechoka. Bure kabisa.

    • @ShirikalaNyumbalaTaifa
      @ShirikalaNyumbalaTaifa  7 років тому

      Hakuna longo longo kazi kubwa inafanyika nenda leo Mwongozo utagundua kwamba habari unayoizungumza imeshapitwa na wakati kulikuwa na mkwamo fulani hapo kati na sasa mambo yamekamilika barabara zimepigwa pavements, umeme na kila kitu tayari bado finishing ndogo ndogo tu ndugu yetu usichoke. Ujenzi ni mchakato kukwama siyo longo longo hata siku moja.

    • @yolakahmathews6913
      @yolakahmathews6913 7 років тому

      @ Maisha ni nyumba, "Let us agree to disagree". Kwa sababu ni kweli huu ni mwaka wa nne sasa tunapigwa kalenda. Lakini mlikuwa smart kwani kwenye mkataba wenu, section 10.1 " "The purchaser shall have no claim for damages of whatsoever nature against the vendor arise out of delay of occupation".Ingependeza kama ingekuwa " The purchaser shall be able to claim back 10% of the whole cost , if they will be more that 18 months delay of occupation".Nasikia zitakuwa tayari mwisho wa mwezi huu, ila nimeshasikia hivi mara nyingi sana tu na hakuna kitu, anyway tunasubiria tuone kama itakuwa kweli mara hii.Haya basi weka picha au clip basi tuone.

    • @ShirikalaNyumbalaTaifa
      @ShirikalaNyumbalaTaifa  6 років тому

      Tumekwelewa ndugu Yolaka pole saana kwa madhila, lakini kazi imekamilika nenda kwenye nyumba yako sasa imekamilika hakuna habari ya kutokamilika kwa sasa.